Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Co zama za yule iblis nw
Kwani hawawezi kuitwa- wakikataa wanafungiwa kutumika ndani ya mipaka ya Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hawawezi kuitwa- wakikataa wanafungiwa kutumika ndani ya mipaka ya Tanzania
Mkuu nchi na taifa bado lipoCo zama za yule iblis nw
SPIKA NDUGAI: HAKUNA ANAYELIDAI BUNGE, "KAMA MTU AMEISHIWA HUKO ULAYA SI ASEME"
Spika wa bunge Job Ndugai amewaonya wanaotoa taarifa za upotoshaji zenye lengo la kulichafua bunge kuacha kufanya hivyo kwa kuwa sasa hatua zitaanza kuchukuliwa ikiwemo kuitwa kwenye kamati ya maadili ya bunge
Spika Ndugai ameyasema hayo bungeni Dodoma leo Juni 25,2021 wakati akitolea ufafanuzi wa orodha inayozagaa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha majina ya waliokuwa wabunge wa bunge la 11 likiwemo la Tundu Lissu kuwa wanalidai bunge hivyo walipwe
Spika amesema taarifa hiyo ni ya uongo kwa kuwa ilikuwa ya mwaka 2018 na kwamba hakuna mbunge wala aliyekuwa mbunge hata mmoja anayelidai bunge
"Na hata huyo mtu wao alilipwa kila kitu, ila zilipoingia benki walizichukua zote, na kama mtu kaishiwa huko ulaya alipo si aseme tu, bunge ni taasisi iliyopo makini na haimuonei mtu, hakuna hata mmoja anayeidai" amesema Spika Ndugai
==========
"Na hata huyo mtu wao alilipwa kila kitu, ila zilipoingia benki walizichukua zote, na kama mtu kaishiwa huko Ulaya alipo si aseme tu, Bunge ni taasisi iliyopo makini na haimuonei mtu, hakuna hata mmoja anayeidai"
Amesema Spika Ndugai
===========
Spika Ndugai akiwa Bungeni leo Ijumaa Juni 25, 2021 amekanusha Tangazo lilitoka na kuelezea madai ya wabunge wanaolidai Bunge.
Spika Ndugai: Jana kuna tangazo fulani lilitoka la majina mengi kwamba limetolewa na TRA, katika majina yale mengi ya wizara mbalimbali yapo na majina ya wabunge wa Bunge la 11 lililomaliza muda wake.
Kumbe lengo lao ni kumfatilia mtu mmoja tu wanayemtaka wao kuonyesha ana madai fulani bungeni lakini Orodha imetolewa ndefu na wakaanza kumshambulia Spika na kuchonganisha na kadhalika.
Tangazo hilo ni la uongo, ni tangazo lilikuwa la mwaka 2018 huko nyuma na malipo hayo yalisharekebishwa na niwaambie wabunge wa Bunge ambalo limemaliza muda wake maana wengine hali ni mbaya huko, sasa walipoona lile tangazo, simu ya spika imejaa bwana tuna madeni tunadai kwako.
Hakuna anaedai Bunge, hakuna. Katika chombo ambacho kinafanya kazi vizuri, kimojawapo ni bunge. Hakuna anaedai na kama mtu ameishiwa huko Ulaya au wapi si aseme tu kuliko kusingizia Bunge kila wakati kwamba kuna madai, hakuna anaedai, hayupo na hata huyo mtu wao alilipwa kila kitu.
Ndugai ishi vizuri na watu sponsor yu udongoni, kuna maisha baada ya u-spika!SPIKA NDUGAI: HAKUNA ANAYELIDAI BUNGE, "KAMA MTU AMEISHIWA HUKO ULAYA SI ASEME"

Pole sana, vi hoja vingine ni vioja tupu.Safi Sana,hapa ndugai nimemuelewa Sana ,nilitaka kushangaa eti lissu alipwe!! Kwa pesa ipi na kwa lipi?,akae huko huko kwa mabwana zake
Malkia wa mipasho.
Sio kila mtu ni CDM ila ndugai ana chuki Sana, hata u speaker umemzidi hakitendei haki kiti Cha u speaker wallah.Chadema pia acheni tukunga uzushi mitandaoni.
Kama mlijua ile document ilikua ya 2018, mka crop majina tu ila hamkuweka full pdf document ili kuwapumbaza wafuasi wenu nyumbu spika amewaumbua.
Tena mwingine asiyetakataka anasoma comments za takataka na ku comment 😂😂Nchi hii ya ajabu kweli. Mtu ambaye ni takataka ndio Spika wa Bunge la nchi na mtu asiye takataka yupo mtandaoni na jina bandia analalamikia maamuzi ya Spika takataka. Ahahahahahahahh!!!
Kama kuna taasisi inayohitajika ipigwe chini ni hili bunge la mayatima chini ya yatima mkuu Ndugai ambaye kama si uvumilivu na ukondoo wa Watanzania hakutakiwa kuendelea kukinajisi kiti cha uspika hata kwa dakika moja zaidi.Pigo takatifu kwa huyu mtu linakuja tu
Kwako linakuja lini?Pigo takatifu kwa huyu mtu linakuja tu
Aonyeshe makaratasi kwani ugumu uko wapiSPIKA NDUGAI: HAKUNA ANAYELIDAI BUNGE, "KAMA MTU AMEISHIWA HUKO ULAYA SI ASEME"