Spika Ndugai adai tena kuwa Lissu alishalipwa pesa zake zote

Tuna spika kimeo haijapata kutokea.
Ongea yake, tazama yake, vinatoa taswira ya upumbavu uliyomjaa.
sahihi, jambo jingine hako kajamaa nikalimbukeni sn ka madaraka...kanaongea utadhani kenyewe ndo kanatoa pumzi ya watu kuishi.
Gafla tu amejisahau aliponea kwenye tundu la sindano kule India!
 
Kweli huyu ana file Mirembe kama alivyokiri mwenyewe.... no question about it.

Kinachonishangaza. Watanzania wanamwachaje-achaje mtu wa namna hii aendelee "kuijsaidia" na kukinajisi kiti kitukufu cha spika hivi hivi miaka yote hii?

Kwa kweli Watanzania ni makondoo waliopitiliza - sidhani kama kuna taifa kama letu kokote katika sayari hii!
 
Mkuu Hero,
Kalibu kuficha ujinga ili familia yako ipate Cha kujifunza.
Ujinga huwa haufichwi bali huondolewa weye mwelevu 😜!
Kodi nilip6ni kwa maendeleo ya jamii yetu Tanzania na siyo kumpa msaliti 😠!
 
Sijakuekewa madam yani na yeye azungushwe mpaka Zanzibar, kisha hitimisho wilayani kongwa.
Ingependeza Sana ingetokea speaker ana chuki inayo mtafuna moyoni na atajitaftia maradhi ya moyo, hawa viongoz wa kikristo Wana miroho mibaya Sana ndio maana hawadumu mda mrefu.
 
huyu spika ni takataka kabisa naona swala la Lissu kuwa hai linamtesa sana na ni mtu wa chuki sana dhidi ya Lissu, Mbowe na wapinzani wengine ila ipo siku atalipia uovu wote anaoufanya"only time will tell" hata Omary Alli Bashiri alikuwa raisi ils sasa yuko wap uongozi ni koti la kuazima kesho linavaliwa na mwingne
SPIKA NDUGAI: HAKUNA ANAYELIDAI BUNGE, "KAMA MTU AMEISHIWA HUKO ULAYA SI ASEME"

Spika wa bunge Job Ndugai amewaonya wanaotoa taarifa za upotoshaji zenye lengo la kulichafua bunge kuacha kufanya hivyo kwa kuwa sasa hatua zitaanza kuchukuliwa ikiwemo kuitwa kwenye kamati ya maadili ya bunge

Spika Ndugai ameyasema hayo bungeni Dodoma leo Juni 25,2021 wakati akitolea ufafanuzi wa orodha inayozagaa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha majina ya waliokuwa wabunge wa bunge la 11 likiwemo la Tundu Lissu kuwa wanalidai bunge hivyo walipwe

Spika amesema taarifa hiyo ni ya uongo kwa kuwa ilikuwa ya mwaka 2018 na kwamba hakuna mbunge wala aliyekuwa mbunge hata mmoja anayelidai bunge

"Na hata huyo mtu wao alilipwa kila kitu, ila zilipoingia benki walizichukua zote, na kama mtu kaishiwa huko ulaya alipo si aseme tu, bunge ni taasisi iliyopo makini na haimuonei mtu, hakuna hata mmoja anayeidai" amesema Spika Ndugai

==========

"Na hata huyo mtu wao alilipwa kila kitu, ila zilipoingia benki walizichukua zote, na kama mtu kaishiwa huko Ulaya alipo si aseme tu, Bunge ni taasisi iliyopo makini na haimuonei mtu, hakuna hata mmoja anayeidai"

Amesema Spika Ndugai

===========

Spika Ndugai akiwa Bungeni leo Ijumaa Juni 25, 2021 amekanusha Tangazo lilitoka na kuelezea madai ya wabunge wanaolidai Bunge.

Spika Ndugai: Jana kuna tangazo fulani lilitoka la majina mengi kwamba limetolewa na TRA, katika majina yale mengi ya wizara mbalimbali yapo na majina ya wabunge wa Bunge la 11 lililomaliza muda wake.

Kumbe lengo lao ni kumfatilia mtu mmoja tu wanayemtaka wao kuonyesha ana madai fulani bungeni lakini Orodha imetolewa ndefu na wakaanza kumshambulia Spika na kuchonganisha na kadhalika.

Tangazo hilo ni la uongo, ni tangazo lilikuwa la mwaka 2018 huko nyuma na malipo hayo yalisharekebishwa na niwaambie wabunge wa Bunge ambalo limemaliza muda wake maana wengine hali ni mbaya huko, sasa walipoona lile tangazo, simu ya spika imejaa bwana tuna madeni tunadai kwako.

Hakuna anaedai Bunge, hakuna. Katika chombo ambacho kinafanya kazi vizuri, kimojawapo ni bunge. Hakuna anaedai na kama mtu ameishiwa huko Ulaya au wapi si aseme tu kuliko kusingizia Bunge kila wakati kwamba kuna madai, hakuna anaedai, hayupo na hata huyo mtu wao alilipwa kila kitu.
 
Ndugai hajapona ugonjwa wake kichwani, dah Mungu si atusaidie tu kwa huyu coconut head aliyeharibu bunge.
Chadema pia acheni tukunga uzushi mitandaoni.

Kama mlijua ile document ilikua ya 2018, mka crop majina tu ila hamkuweka full pdf document ili kuwapumbaza wafuasi wenu nyumbu spika amewaumbua.
 
SPIKA NDUGAI: HAKUNA ANAYELIDAI BUNGE, "KAMA MTU AMEISHIWA HUKO ULAYA SI ASEME"

Spika wa bunge Job Ndugai amewaonya wanaotoa taarifa za upotoshaji zenye lengo la kulichafua bunge kuacha kufanya hivyo kwa kuwa sasa hatua zitaanza kuchukuliwa ikiwemo kuitwa kwenye kamati ya maadili ya bunge

Spika Ndugai ameyasema hayo bungeni Dodoma leo Juni 25,2021 wakati akitolea ufafanuzi wa orodha inayozagaa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha majina ya waliokuwa wabunge wa bunge la 11 likiwemo la Tundu Lissu kuwa wanalidai bunge hivyo walipwe

Spika amesema taarifa hiyo ni ya uongo kwa kuwa ilikuwa ya mwaka 2018 na kwamba hakuna mbunge wala aliyekuwa mbunge hata mmoja anayelidai bunge

"Na hata huyo mtu wao alilipwa kila kitu, ila zilipoingia benki walizichukua zote, na kama mtu kaishiwa huko ulaya alipo si aseme tu, bunge ni taasisi iliyopo makini na haimuonei mtu, hakuna hata mmoja anayeidai" amesema Spika Ndugai

==========

"Na hata huyo mtu wao alilipwa kila kitu, ila zilipoingia benki walizichukua zote, na kama mtu kaishiwa huko Ulaya alipo si aseme tu, Bunge ni taasisi iliyopo makini na haimuonei mtu, hakuna hata mmoja anayeidai"

Amesema Spika Ndugai

===========

Spika Ndugai akiwa Bungeni leo Ijumaa Juni 25, 2021 amekanusha Tangazo lilitoka na kuelezea madai ya wabunge wanaolidai Bunge.

Spika Ndugai: Jana kuna tangazo fulani lilitoka la majina mengi kwamba limetolewa na TRA, katika majina yale mengi ya wizara mbalimbali yapo na majina ya wabunge wa Bunge la 11 lililomaliza muda wake.

Kumbe lengo lao ni kumfatilia mtu mmoja tu wanayemtaka wao kuonyesha ana madai fulani bungeni lakini Orodha imetolewa ndefu na wakaanza kumshambulia Spika na kuchonganisha na kadhalika.

Tangazo hilo ni la uongo, ni tangazo lilikuwa la mwaka 2018 huko nyuma na malipo hayo yalisharekebishwa na niwaambie wabunge wa Bunge ambalo limemaliza muda wake maana wengine hali ni mbaya huko, sasa walipoona lile tangazo, simu ya spika imejaa bwana tuna madeni tunadai kwako.

Hakuna anaedai Bunge, hakuna. Katika chombo ambacho kinafanya kazi vizuri, kimojawapo ni bunge. Hakuna anaedai na kama mtu ameishiwa huko Ulaya au wapi si aseme tu kuliko kusingizia Bunge kila wakati kwamba kuna madai, hakuna anaedai, hayupo na hata huyo mtu wao alilipwa kila kitu.
Malkia wa mipasho at the best level.
 
Spika mppumbavu kuwahi kutokea kila siku vijembe pumbavu zake.
 
Back
Top Bottom