Spika Ndugai adai tena kuwa Lissu alishalipwa pesa zake zote

Spika Ndugai adai tena kuwa Lissu alishalipwa pesa zake zote

"Na hata huyo mtu wao alilipwa
kila kitu, ila zilipoingia benki...
Atoe maelezo hela zililipwa lini bank gani account na ngapi na Jin la account. Aliezichukua ni nani ikiwa ziliingizwa kwenye a/c ya Tundu. Akitoa maelezo hayo tutaelewa ukweli vinginevyo ni yaleyale ya chuki binafsi zisizokuwa na maelezo.
 
Aweke ushahidi hadharani wa hiyo pesa yote aliyolipwa na breakdown husika huyo mpuuzi.
"Na hata huyo mtu wao alilipwa
kila kitu, ila zilipoingia benki..
iliyopo makini na haimuonei mtu, hakuna hata mmoja anayeidai"
amesema Spika Ndugai
 
"Na hata huyo mtu wao alilipwa
kila kitu, ila zilipoingia benki
walizichukua zote, na kama mtu
kaishiwa huko ulaya alipo si
aseme tu, bunge ni taasisi
iliyopo makini na haimuonei mtu, hakuna hata mmoja anayeidai"
amesema Spika Ndugai
Haya yalisemwa lini??
 
Bunge linalojadili kujiongezea posho ni bunge takataka kabisa.

Kila taasisi wakianza kujadili kuongezewa mishahara wakati wa kazi...
Nchi hii ya ajabu kweli. Mtu ambaye ni takataka ndio Spika wa Bunge la nchi na mtu asiye takataka yupo mtandaoni na jina bandia analalamikia maamuzi ya Spika takataka. Ahahahahahahahh!!!
 
Mimi niulize tu,kamati ya maadili ya bunge,inaweza kufunga mtu,kuhukumu kifo,etc?
 
Hahah...ningeshangaa sana kama Ndugai angeliacha hili lipite hivi hivi...
 
Maneno ya mkosaji
Kama la akina Mbowe limetenguliwa basi aamini hata yaliyopo bungeni yatatenguliwa
Asijitutumue kuona ni mungu mtu
Wakati wa majigambo dharau kebehi unayoyoma
Katiba Mpya itakuchakaza mpaka utoke kinaniii
Kuwa mpole utajiepusha na mengi ndunga yai
Usimtishe kwa matumaini yako hewa ya katiba mpya. Tueleze hayo madai ni ya lini?
 
Back
Top Bottom