Spika Ndugai adai tena kuwa Lissu alishalipwa pesa zake zote

Spika Ndugai adai tena kuwa Lissu alishalipwa pesa zake zote

Stahiki gani alizolipwa Lissu?

Huyu spika wakati akitangaza kumvua Lissu ubunge sababu iliyotolewa ni kwamba bunge halina taarifa za wapi alipo (mtoro).

1. Sasa leo tena anasema alilipwa, iweje bunge lilipe stahiki za mtoro?

2. Kama alilipwa stahiki maana yake bunge lilikuwa na taarifa za wapi alipo, kwa nini alivuliwa ubunge?
 
"Na hata huyo mtu wao alilipwa
kila kitu, ila zilipoingia benki
walizichukua zote, na kama mtu
kaishiwa huko ulaya alipo si
aseme tu, bunge ni taasisi
iliyopo makini na haimuonei mtu, hakuna hata mmoja anayeidai"
amesema Spika Ndugai
Dah..!!!! Yani si mchezo.. Jamaa si hajui aliko Lisu..!!??
 
Ziliwekwa bank gani zikombwe wakati sisi tulikuwa tunaeka huko hizo mili4 mpk 8 na anazipata? huyu jinamizi huyu
 
Zilichukuliwa na nani?
Lini?
Ushahidi kuwa kalipwa?
 
Sasa kama waliweka kwenye akaunti ya Lisu waliozichukua huko ni nani?!

Au anataka kusema waliweka kwenye akaunti ya Chadema?!

Ukweli utakuja julikana tu.
 
Spika katoa ufafanuzi mzuri na kwa wakati.
 
Back
Top Bottom