Spika Ndugai adai tena kuwa Lissu alishalipwa pesa zake zote

Spika Ndugai adai tena kuwa Lissu alishalipwa pesa zake zote

Safi Sana,hapa ndugai nimemuelewa Sana ,nilitaka kushangaa eti lissu alipwe!! Kwa pesa ipi na kwa lipi?,akae huko huko kwa mabwana zake
 
Spika Ndugai ametishia kuanza kuwaita kwenye kamati ya maadili ya bunge wale wote wanaopotosha kwenye vyombo mbalimbali vya habari hasa mitandao ya jamii kuhusu habari ya bunge...
Ndungai ni wa kupuuzwa tu
 
Spika Ndugai ametishia kuanza kuwaita kwenye kamati ya maadili ya bunge wale wote wanaopotosha kwenye vyombo mbalimbali vya habari hasa mitandao ya jamii kuhusu habari ya bunge...
Mwambie ukimwi hauna dawa aendeler kumeza mbolea kwa hisani ya serikali ya ccm...marukanga yake yamepanda mpka kwenye ubongo n kichwa kua na manundu
 
Naomba kuuliza jamani, huyu ni mzima kichwani kweli?

Mbona kila kukicha ni uswahili tu umemjaa!

Hizi ni lugha za kuongea ktk issue inayohitaji majibu makini?

RIP S.Sitta, Mama Makinda uko wapi? hebu mfunde kdg huyu mtu.
 
Safi Sana,hapa ndugai nimemuelewa Sana ,nilitaka kushangaa eti lissu alipwe!! Kwa pesa ipi na kwa lipi?,akae huko huko kwa mabwana zake
Kwa vile ww umezoea mabwana (ccm) unadhani kila mtu yupo kama ww?!.
 
Back
Top Bottom