Spika Ndugai adai tena kuwa Lissu alishalipwa pesa zake zote

Pesa za Tundu Lissu zililipwa Ila benki wakachukua.

Je lissu alikuwa na account bank gani?


Na hizo pesa ni kiasi gani ?

Benki gani ina mamlaka ya kuchukua pesa za mtu tena mbunge?

Hili jambo haliwezi kupita hivihivi
 
Bank alikuwa na madeni, hata wewe ukikoppa bank ukashindwa kufanya marejesho siku ukiweka pesa wanakata yote. Hata hivyo haikuwa pesa nyingi mil 12 tu
 
Hapa alidakwa akiwa chemba anaagalia sinema ya ngono ya madada wa bongo movie. Jamaa anahusudu sinema za X huyu sijapata ona hapa bongo. Nafikiri anaweza kuwa wa pili maana anayeongoza ni Kikwete na hana mfano.
Gwajima ndio stering mwenyewe
 
Hivi huyu pimbi kwanini Lucifer asimchukue tu akaungane na dikteta dhalim?
 
Kumbe Lissu alishakanusha Sasa nongwa ya nini. Halafu Kama hatuko biassed mbona hakuna comment au hata thread Moja jueleza hilo.
 
Kabla haiamuliwa kuwa Ni mtoro mtumishi atalipwa stahiki zake zote. Nafikiri hayo Ni matakwa ya sheria mpaka pale itakapoamuliwa
 
Ndugai hajapona ugonjwa wake kichwani, dah Mungu si atusaidie tu kwa huyu coconut head aliyeharibu bunge.
Kuna maombi ya huyu Mkenya, tuyaelekeze kwa saboofer!
 

Attachments

  • 4438C16A-997D-4188-819A-D1C2556FE827.MP4
    15.1 MB
Mara nyingi watu wanakosea sana kwa kugeuza misemo ya wahenga

Eti wanasema "... DUNIA HADAA WALIMWENGU SHUJAA ... "

Badala ya kusema " ... WALIMWENGU HADAA DUNIA SHUJAA ..."

Kama unabisha muangalie Ndugai sasa hivi ndio utajua watu wanakosea sana misemo ya wahenga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…