Spika Ndugai ageuka kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni

Spika Ndugai ageuka kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni

Kishenge nakumbuka ni mtaa mmoja uko BK.

Hilo bunge la CCM siku hizi hata sifuatilii sijui nini kinaendelea
 
Si mlisema kuwa watanzania wamesusia kuangalia bunge kumbe nyie nyumbu mnalifuatilia bunge kwa uakaribu zaidi[emoji2957][emoji2957][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hivi wale UVICO 19 mbona wamepwaya sana?
Hayo wala si ya kuyazungumzia yanadhani pesa tu inaweza kukupa heshima,,,kumbe vitu vidogo vinakufanya uwe mbuzi flani hivi au lipaka shume
Kishenge nakumbuka ni mtaa mmoja uko BK.

Hilo bunge la CCM siku hizi hata sifuatilii sijui nini

Dola ya Roman ilipotea duniani
Dola ya Ottomans ilipotea duniani
Ijekua kidola cha CCM !
Bahati mbaya wanaongozwa na mazuzu/ccm
 
Si mlisema kuwa watanzania wamesusia kuangalia bunge kumbe nyie nyumbu mnalifuatilia bunge kwa uakaribu zaidi[emoji2957][emoji2957][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Kuna vichekesho vya bure mle ndani me lazima nkaongeze siku za kuishi
 
Mwenyekiti wa taifa baba,Kaka ,mjomba wetu ,binamu yetu Freeman aikaeL mbowe

Alituasa acheni wafu wajizike wenyewe nakweli wamejizika tunasubiria kuwajengea makaburi yao
 
Hahaaa coment zinanipa raha ,mm kwa upande wangu huwa siangalii bunge kbs kifup siwaelew
 
Hii Picha kama Ndugai, kawafungia wapinzani

1636044033264.jpeg
 
Spika dhaifu Mh.Ndugai amegeuka kuwa kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani bungeni,,,Hii inatokea pale ambapo Ndugai anasimama kila mara kuziba pengo la wapinzani baada ya kuona Mazuzu yaliyomo bungeni+ yeye hayana uwezo wa kujenga hoja za kulivusha Taifa,,,Tunayakumbusha kwamba wala yasijali tumeshayaachia shamba yale yatakavyo,,,sisi wananchi tunajipambania
Waendelee kujadili nguvu za kiume.. Sie tuna jipanga kuwaondoa mazuzu bungeni.
 
Ila Mungu fundi jamani, dhalim alifikiri ataishi milele kuwatesa wapinzani
Yaani Mungu hupanga mambo yake kwa wakati. Jiwe alipanga bunge lake ili atawale milele. Mungu kamuambia mpumbavu wewe. Leo nataka roho yako.
 
Back
Top Bottom