Spika Ndugai apinga agizo la Serikali kuzuia wanafunzi kusoma wakati wa likizo, aahidi kulifikisha Bungeni

Kwa nini siku hizi anapambana sana na serikali yake? Tena kiongozi mkubwa kama yeye haileti picha nzuri kwa jamii na serikali. Kama kuna tofauti zao wakae chini kama chama wazimalize kuliko kuongea namna hii ni kujishushia heshima.
 
Siku hizi amekuwa mpinzani bungeni... wakati wapinzani wapo alikuwa kila siku anawafukuza bungeni
 
Job Ndugai anastahili kupewa kofia ya PhD kutoka chuo kikuu cha Kata Cha Dodoma(Dodoma University) kwa namna anavyojitoa kuwatetea wananchi kwa moyo wake wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona watoto karibu wanarudi shule , mbona wazo lomechelewa, au hakujua kama yalikuwepo maelekezo juu ya Hilo?
 
Mpuuzi mkubwa huyu mzee ndiyo maana hataki Kongwa watu wapate degree
 


Kwa sasa hivi Ndugai anapinga kila kitu!
 
Bila shaka tatizo ni walimu kukubali kufanyakazi bila malipo wakati wa likizo sijui hawana kazi za kufanya nyumbani kwao au ni nini. Walimu tujitafakari tunatumika vibaya.
Mwl akipewa posho ya laki 2 nje na mshahara wake akafundisha kuna tatizo?
 
Hahaaaa!!!!!Niny wenye degree achen kumtukana boss
 
Ndugai ni kichaa achana naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…