Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ndiyo maana Kongwa hataki watu wasomeHahaaaa!!!!!Niny wenye degree achen kumtukana boss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana Kongwa hataki watu wasomeHahaaaa!!!!!Niny wenye degree achen kumtukana boss
Naona anasogea sogea kwenye ishu ya kusomesha wazazi.
Kaongea point ya maana sana , serikali imetoa order ya kipuuzi sana lazima ipingwe , kama watu wanataka kusoma kwa ziada acha liwe swala la hiari na gharama kwa wanaotaka ila kuzuia ni jambo lisilokubalikaHuyu Pimbia ana virus vinamsumbua walai
Ikiwa ni wiki chache zimepita tangu serikali iweke marufuku ya wanafunzi kusoma wakati wa likizo ili wapate muda wa kupumzika na kujifunza stadi mbali mbali za maisha wakiwa nyumbani, spika Job Ndugai amepinga vikali zuio hilo akidai kuwa linachelewesha maendeleo.
Spika Ndugai amesema wananchi wa kongwa walikuwa wamejipanga wanafunzi kusoma wakati wa likizo huku wakiwa tayari kujitolea kwa chakula pamoja na motisha kwa walimu ambao wangejitolea kufundisha wanafunzi hao na hivyo amedai kwamba kitendo cha serikali kuweka zuio ni kuchelewesha maendeleo kwani wanafunzi wanaosoma wakati wa likizo ni madarasa ya mitihani pekee.
Katika hatua nyingine, spika Ndugai amedai kuwa watu wanamdharau kwakuwa yeye ni 'mgogo' huku akiwashukia vikali vijana wenye digrii kuwa ndio wanaoongoza kwa kumtukana mitandaoni.
Ndiyo maana Kongwa hataki watu wasome
Huo Ugogo ni moja tuu ya sifa za kijinga alizo nazo huyu Ndugai. Ujinga mwingine mkuu unao fanya tumfharau ni kulifanya bunge kuwa sehemu ya serikali. Badala ya kuisimamia serikali. Pia upumbavu wa mirembe ni pale alipo chukuwa wabunge wasio na chama kuwaacha bungeni na kutumia pesa zetu kuwalipa. Lazima udharauliwe. Hata kaburi lako lita dharauliwa. Muda una kimbia sna. Hutakuwa spika milele..Ikiwa ni wiki chache zimepita tangu serikali iweke marufuku ya wanafunzi kusoma wakati wa likizo ili wapate muda wa kupumzika na kujifunza stadi mbali mbali za maisha wakiwa nyumbani, spika Job Ndugai amepinga vikali zuio hilo akidai kuwa linachelewesha maendeleo.
Spika Ndugai amesema wananchi wa kongwa walikuwa wamejipanga wanafunzi kusoma wakati wa likizo huku wakiwa tayari kujitolea kwa chakula pamoja na motisha kwa walimu ambao wangejitolea kufundisha wanafunzi hao na hivyo amedai kwamba kitendo cha serikali kuweka zuio ni kuchelewesha maendeleo kwani wanafunzi wanaosoma wakati wa likizo ni madarasa ya mitihani pekee.
Katika hatua nyingine, spika Ndugai amedai kuwa watu wanamdharau kwakuwa yeye ni 'mgogo' huku akiwashukia vikali vijana wenye digrii kuwa ndio wanaoongoza kwa kumtukana mitandaoni.
Hahahaaa... Anaweza tangaza vita huyu.Jamaa akae mbali na media anaweza kuharibu mambo
Kwamba mama kawaroga wote sio. Karibu tucheke kihutu😂😂Sema kuna kitu hakuko sawa kwa mama. Waliyo chini ya mama wanalopoka watakavyo. Hawana mpangilio wa kuongeza kama viongozi wa serikali moja.
Mshukuru Mungu kwa yanayoendelea.... Hawa wamewafanyia watz udharimu gizani sasa Mungu anawalazimisha watoke hadharani ili watz wajue na kuelewa...Kwa nini siku hizi anapambana sana na serikali yake? Tena kiongozi mkubwa kama yeye haileti picha nzuri kwa jamii na serikali. Kama kuna tofauti zao wakae chini kama chama wazimalize kuliko kuongea namna hii ni kujishushia heshima.
watoto wengi wameharibikia kwenye hizi tutions mitaani! Na haziongezi kitu chochote kwenye jamii zaidi ya mimba na maambukizi ya VVU! Mtoto anapokuwa shuleni afundishwe, asome aelewe , akifika nyumbani ajifunze stadi za maisha! Mitoto inamaliza shule haijui hata kujipikia yaani ubongo umelala kuwaza kuajiriwa tu sababu ya mikono kuwa soft! Swali, wanachofundishwa shuleni nikibaya na wanachofundishwa mtaani ni kizuri!!?Ikiwa ni wiki chache zimepita tangu serikali iweke marufuku ya wanafunzi kusoma wakati wa likizo ili wapate muda wa kupumzika na kujifunza stadi mbali mbali za maisha wakiwa nyumbani, spika Job Ndugai amepinga vikali zuio hilo akidai kuwa linachelewesha maendeleo.
Spika Ndugai amesema wananchi wa kongwa walikuwa wamejipanga wanafunzi kusoma wakati wa likizo huku wakiwa tayari kujitolea kwa chakula pamoja na motisha kwa walimu ambao wangejitolea kufundisha wanafunzi hao na hivyo amedai kwamba kitendo cha serikali kuweka zuio ni kuchelewesha maendeleo kwani wanafunzi wanaosoma wakati wa likizo ni madarasa ya mitihani pekee.
Katika hatua nyingine, spika Ndugai amedai kuwa watu wanamdharau kwakuwa yeye ni 'mgogo' huku akiwashukia vikali vijana wenye digrii kuwa ndio wanaoongoza kwa kumtukana mitandaoni.
katika hili sawa..sio upuuzi wake uleIkiwa ni wiki chache zimepita tangu serikali iweke marufuku ya wanafunzi kusoma wakati wa likizo ili wapate muda wa kupumzika na kujifunza stadi mbali mbali za maisha wakiwa nyumbani, spika Job Ndugai amepinga vikali zuio hilo akidai kuwa linachelewesha maendeleo.
Spika Ndugai amesema wananchi wa kongwa walikuwa wamejipanga wanafunzi kusoma wakati wa likizo huku wakiwa tayari kujitolea kwa chakula pamoja na motisha kwa walimu ambao wangejitolea kufundisha wanafunzi hao na hivyo amedai kwamba kitendo cha serikali kuweka zuio ni kuchelewesha maendeleo kwani wanafunzi wanaosoma wakati wa likizo ni madarasa ya mitihani pekee.
Katika hatua nyingine, spika Ndugai amedai kuwa watu wanamdharau kwakuwa yeye ni 'mgogo' huku akiwashukia vikali vijana wenye digrii kuwa ndio wanaoongoza kwa kumtukana mitandaoni.
Hakina ukweli wowote kwa sababu hajui hata maana ya likizo. Kwani wafanyakazi wakiwa likizo wanaenda ofisini?Anachokisema kina ukweli au ni Propaganda? Tuanzie hapo kwanza
Kama wanamjali basi wampe bonus na siyo kumfanyisha kazi wakati wa likizo. Hivi mbona walimu wanadharauliwa sana? Kwani wao hawatakiwi kusafiri wakaenda vijijini kwao kusalimia.Mwl akipewa posho ya laki 2 nje na mshahara wake akafundisha kuna tatizo?
Nenda grocery ya jirani unywe soda nitakuja kulipa!Watoto w
watoto wengi wameharibikia kwenye hizi tutions mitaani! Na haziongezi kitu chochote kwenye jamii zaidi ya mimba na maambukizi ya VVU! Mtoto anapokuwa shuleni afundishwe, asome aelewe , akifika nyumbani ajifunze stadi za maisha! Mitoto inamaliza shule haijui hata kujipikia yaani ubongo umelala kuwaza kuajiriwa tu sababu ya mikono kuwa soft! Swali, wanachofundishwa shuleni nikibaya na wanachofundishwa mtaani ni kizuri!!?