Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Adui siku zote muombee njaaKuna kitu hakipo sawa kwa Mheshimiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Adui siku zote muombee njaaKuna kitu hakipo sawa kwa Mheshimiwa.
Nyinyi ni wazushi wazee wa zengwe wachochea ugonvi mpo wengi humu janviniIkiwa ni wiki chache zimepita tangu serikali iweke marufuku ya wanafunzi kusoma wakati wa likizo ili wapate muda wa kupumzika na kujifunza stadi mbali mbali za maisha wakiwa nyumbani, spika Job Ndugai amepinga vikali zuio hilo akidai kuwa linachelewesha maendeleo.
Spika Ndugai amesema wananchi wa kongwa walikuwa wamejipanga wanafunzi kusoma wakati wa likizo huku wakiwa tayari kujitolea kwa chakula pamoja na motisha kwa walimu ambao wangejitolea kufundisha wanafunzi hao na hivyo amedai kwamba kitendo cha serikali kuweka zuio ni kuchelewesha maendeleo kwani wanafunzi wanaosoma wakati wa likizo ni madarasa ya mitihani pekee.
Katika hatua nyingine, spika Ndugai amedai kuwa watu wanamdharau kwakuwa yeye ni 'mgogo' huku akiwashukia vikali vijana wenye digrii kuwa ndio wanaoongoza kwa kumtukana mitandaoni.
Huyo waziri amechemka vibaya sana maana kama ni tuition ni hiari ya watoto na wazazi wao.Hapa kuna Point Tatu...
Moja kwanini hao waalimu wasihakikishe vitu vinamalizika within a given time ?
Mbili Walioweka muda wa Likizo walikosea ?
Tatu Serikali isipinge kwa wale wanaohitaji ziada / marudio ila muda wa likizo usitumike kufanya kile ambacho inatakiwa / ingetakiwa kufanyika wakati wa masomo
Kama wewe ni mgogo pole sana mkuuUgogo unaingiaje hapo sasa
Maneno kama hayo ndiyo yanafanya adharaulike sasa
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mie nipo kwetu mkojani nala zangu kashataHii wiki ya Job..wachamba wima mkae kwa kutulia.
#MaendeleoHayanaChama
Nyinyi ni wazushi wazee wa zengwe wachochea ugonvi mpo wengi humu janvini
Itapendeza iwapo ndugai ataanzisha shule yake ya uongozi
Majibu...Hapa kuna Point Tatu...
Moja kwanini hao waalimu wasihakikishe vitu vinamalizika within a given time ?
Mbili Walioweka muda wa Likizo walikosea ?
Tatu Serikali isipinge kwa wale wanaohitaji ziada / marudio ila muda wa likizo usitumike kufanya kile ambacho inatakiwa / ingetakiwa kufanyika wakati wa masomo
We mbangubangu unasemajeKama wewe ni mgogo pole sana mkuu
Kama ni madaraka makuu ndiyo tayari anayo maana anaongozo moja ya mhimili unao ogopwa sana hapa TANZANIAWe mbangubangu unasemaje
Me na Dodoma tofauti ndugu
watu aina ya ndugai hawafai kupewa madaraka makubwa
Kwa sababu yeye mwenyewe anajiona kama hafai ataishia kuumiza watu ili kujipa ukuu ambao anahisi hana jambo ambalo hamna mwenye habari nalo
Hata uwe msandawe hamna anayejali hilo fanya kazi
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Hayana cha kuongea kwa sasa yapo kama mazuzuHahaaaa!!!hakika mataga yatabaki kuwa mataga tu
Kama darasa moja lenye mwalimu mmoja linatoa wanafunzi wenye ufaulu tofauti bila shaka kuna uhitaji tofauti wa ufundishaji katika hili Spika yuko sahihiHapa kuna Point Tatu...
Moja kwanini hao waalimu wasihakikishe vitu vinamalizika within a given time ?
Mbili Walioweka muda wa Likizo walikosea ?
Tatu Serikali isipinge kwa wale wanaohitaji ziada / marudio ila muda wa likizo usitumike kufanya kile ambacho inatakiwa / ingetakiwa kufanyika wakati wa masomo
Ondoa hiyo point ya tatu..mengine yote sawa nakuunga mkono. Muda unatosha kabisa. Utumike huo, ziada ni ujanja ujanja tuHapa kuna Point Tatu...
Moja kwanini hao waalimu wasihakikishe vitu vinamalizika within a given time ?
Mbili Walioweka muda wa Likizo walikosea ?
Tatu Serikali isipinge kwa wale wanaohitaji ziada / marudio ila muda wa likizo usitumike kufanya kile ambacho inatakiwa / ingetakiwa kufanyika wakati wa masomo
😂😂😂😂😂😂😂Mpuuzi mkubwa huyu mzee ndiyo maana hataki Kongwa watu wapate degree
Huyu jamaa hafai kuwa spikaIkiwa ni wiki chache zimepita tangu serikali iweke marufuku ya wanafunzi kusoma wakati wa likizo ili wapate muda wa kupumzika na kujifunza stadi mbali mbali za maisha wakiwa nyumbani, spika Job Ndugai amepinga vikali zuio hilo akidai kuwa linachelewesha maendeleo.
Spika Ndugai amesema wananchi wa kongwa walikuwa wamejipanga wanafunzi kusoma wakati wa likizo huku wakiwa tayari kujitolea kwa chakula pamoja na motisha kwa walimu ambao wangejitolea kufundisha wanafunzi hao na hivyo amedai kwamba kitendo cha serikali kuweka zuio ni kuchelewesha maendeleo kwani wanafunzi wanaosoma wakati wa likizo ni madarasa ya mitihani pekee.
Katika hatua nyingine, spika Ndugai amedai kuwa watu wanamdharau kwakuwa yeye ni 'mgogo' huku akiwashukia vikali vijana wenye digrii kuwa ndio wanaoongoza kwa kumtukana mitandaoni.
Haki ya kupumzika ni muhimu sana kwa wanafunzi wote,kama hawakuweza kukamilisha syllabus kwa muda uliopangwa ni kosa la wasimamizi wa elimu.Ikiwa ni wiki chache zimepita tangu serikali iweke marufuku ya wanafunzi kusoma wakati wa likizo ili wapate muda wa kupumzika na kujifunza stadi mbali mbali za maisha wakiwa nyumbani, spika Job Ndugai amepinga vikali zuio hilo akidai kuwa linachelewesha maendeleo.
Spika Ndugai amesema wananchi wa kongwa walikuwa wamejipanga wanafunzi kusoma wakati wa likizo huku wakiwa tayari kujitolea kwa chakula pamoja na motisha kwa walimu ambao wangejitolea kufundisha wanafunzi hao na hivyo amedai kwamba kitendo cha serikali kuweka zuio ni kuchelewesha maendeleo kwani wanafunzi wanaosoma wakati wa likizo ni madarasa ya mitihani pekee.
Katika hatua nyingine, spika Ndugai amedai kuwa watu wanamdharau kwakuwa yeye ni 'mgogo' huku akiwashukia vikali vijana wenye digrii kuwa ndio wanaoongoza kwa kumtukana mitandaoni.
Inawezekana anafanya mazoezi ya Yeye mwenyewe ku-act kama kambi rasmi ya upinzani bungeni.Ndugai Sasa anapinga kila kitu