Spika Ndugai apinga agizo la Serikali kuzuia wanafunzi kusoma wakati wa likizo, aahidi kulifikisha Bungeni

Huyu Pimbia ana virus vinamsumbua walai
Kaongea point ya maana sana , serikali imetoa order ya kipuuzi sana lazima ipingwe , kama watu wanataka kusoma kwa ziada acha liwe swala la hiari na gharama kwa wanaotaka ila kuzuia ni jambo lisilokubalika
 

Ni kazi yake. Spika simama.
 
Huyu mtu Ni ngumu kumwelewa,he is not fine in his brain.
Ova
 
Tution enzi ya intenet inshangaza. Elimu yote ipo kiganjani.
 
Huo Ugogo ni moja tuu ya sifa za kijinga alizo nazo huyu Ndugai. Ujinga mwingine mkuu unao fanya tumfharau ni kulifanya bunge kuwa sehemu ya serikali. Badala ya kuisimamia serikali. Pia upumbavu wa mirembe ni pale alipo chukuwa wabunge wasio na chama kuwaacha bungeni na kutumia pesa zetu kuwalipa. Lazima udharauliwe. Hata kaburi lako lita dharauliwa. Muda una kimbia sna. Hutakuwa spika milele..
 
Hii shida tayari.. Mpelekeni huyu jamaa APPOLO ...
 
Kama ni subwoofer basi hii ni Seapiano...
 
Sema kuna kitu hakuko sawa kwa mama. Waliyo chini ya mama wanalopoka watakavyo. Hawana mpangilio wa kuongeza kama viongozi wa serikali moja.
Kwamba mama kawaroga wote sio. Karibu tucheke kihutu😂😂
 
Kwa nini siku hizi anapambana sana na serikali yake? Tena kiongozi mkubwa kama yeye haileti picha nzuri kwa jamii na serikali. Kama kuna tofauti zao wakae chini kama chama wazimalize kuliko kuongea namna hii ni kujishushia heshima.
Mshukuru Mungu kwa yanayoendelea.... Hawa wamewafanyia watz udharimu gizani sasa Mungu anawalazimisha watoke hadharani ili watz wajue na kuelewa...
 
Watoto w
watoto wengi wameharibikia kwenye hizi tutions mitaani! Na haziongezi kitu chochote kwenye jamii zaidi ya mimba na maambukizi ya VVU! Mtoto anapokuwa shuleni afundishwe, asome aelewe , akifika nyumbani ajifunze stadi za maisha! Mitoto inamaliza shule haijui hata kujipikia yaani ubongo umelala kuwaza kuajiriwa tu sababu ya mikono kuwa soft! Swali, wanachofundishwa shuleni nikibaya na wanachofundishwa mtaani ni kizuri!!?
 
Naomba anayejua
Anitajie majina ya watoto wa huyu mhuni ndugai na shule wanazosoma
 
katika hili sawa..sio upuuzi wake ule
 
Mwl akipewa posho ya laki 2 nje na mshahara wake akafundisha kuna tatizo?
Kama wanamjali basi wampe bonus na siyo kumfanyisha kazi wakati wa likizo. Hivi mbona walimu wanadharauliwa sana? Kwani wao hawatakiwi kusafiri wakaenda vijijini kwao kusalimia.
 
Nenda grocery ya jirani unywe soda nitakuja kulipa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…