Spika Ndugai asema Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mahakama pekee wanaweza kumuambia kuwaondoa Bungeni Wabunge 19 wa Viti Maalum CHADEMA

Inanikumbusha mchezo uliotaka kufanywa Ubungo na kwengine. Safari ijayo atatokeza mtu anaejulikana wa kijani au Chadema jina ambae atachukua fomu za uteuzi kwa jina la Chadema halafu atatangazwa kuwa ameshinda bila kupingwa.

Spika atamuapisha na kama Chadema watasema hawamtambui, wataambiwa waende Mahakamani. Wakipatikana kumi kwa njia hiyo Kambi Rasmi ya Upinzani ya Kijani itakuwa imepatikana.

Amandla...
 
Lihabari lirefu mno lakini halieleweki ila comments fupi tu zinaeleweka

Comment namba tatu inafafanua kwa ufupi na inaeleweka zaidi kuliko thread yenyewe
 
Majibu ya spika ni marahisi sana kwa maswali magumu.
Hoja hapa ni kua wamevuliwa uanachama ndani ya chama chao..na katiba inasema mtu akivuliwa uanachama sio mbunge tena..hili swali mpaka sasa halijapata majibu...je hao 19 ni wabunge kupitia chama kipi..?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Huyu jamaa kilaza sana, tunavyofahamu ni chama ndo kinapeleka majina tume, Sasa huyu jamaa hachoki kutema pumba zake tu
 
Hivi huyu Ndugai yupo sawa sawa kweli au ana depression inayomfanya kila akizungumza anatoa maneno ya hovyo yasiyoendana na hadhi yake?
 
Mkuu kina Mdee kutumia haki yao ya kikatiba kwenda kuapa kuwa wabunge kulingana na asilimia walizopata kwenye uchaguzi mkuu ni kuangamiza taifa?
Ndiyo, maana hawana mamlaka ya kujiteua.mwenye mamlaka ya uteuzi(kamati kuu ya chadema)imewakana.fikiria kila mtu akiamua kujiteua mwenyewe kwenye nafasi za uteuzi.nini kitatokea?
 
Spika anaona aibu anarudisha mpira kwa tume. Chadema watawasilianaje na tume wakati hawakuwatumia majina.
 
MPUMBAVU mkubwa wewe! Msekwa ni lini alienda NEC ili kujua hao COVID19 ni Wabunge halali au la? 😳😳😳
Wewe ndio mjinga.


Mmeambiwa mkawaulize NEC mbona mnambwelambwela bwashee?
 
Acha ujinga wewe wa kujifanya unanifahamu pimbi wewe!!! Mimi na Mombasa wapi na wapi JUHA wewe!? Leo humjui Msekwa ni nani? Kwanini unadhani waandishi wa habari walienda kumuuliza maswali hayo yeye badala ya kwenda kwa chakubanga polepole!?
Wewe mbwiga wa Mombasa nimekuuliza mzee Msekwa ni nani?

Aende basi akawatoe mashujaa 19 wa Chadema pale bungeni.

Spika Job Ndugai amewaambia nendeni mahakamani ndio mtajua hamjui!
 
Ndo matatizo ya kutofanya chaguzi zenye uwazi na za kuaminika.
 
Acha ujinga wewe wa kujifanya unanifahamu pimbi wewe!!! Mimi na Mombasa wapi na wapi JUHA wewe!? Leo humjui Msekwa ni nani? Kwanini unadhani waandishi wa habari walienda kumuuliza maswali hayo yeye badala ya kwenda kwa chakubanga polepole!?
Lini umehama Mombasa bwashee?

Leo mtukufu Spika Ndugai amewaambia muende mahakamani kama nyie ni vidume kweli na huko mtawakuta akina mama 19 wanawasubiri ndiposa mtajua hamjui!
 
Narudia tena JUHA wacha kujikweza kama vile unanifahamu. Eti mtukufu ndugai ana utukufu gani huyo jizi kubwa lilichota bilioni 28.7 hazina eti za matibabu India? Ni ugonjwa upi huo unatibiwa kwa $12 millions? Acha kuchafua neno utukufu!
Lini umehama Mombasa bwashee?

Leo mtukufu Spika Ndugai amewaambia muende mahakamani kama nyie ni vidume kweli na huko mtawakuta akina mama 19 wanawasubiri ndiposa mtajua hamjui!
 
Speaker anapaswa kupingwa kwa facts. Kuna loophole sehemu flani hivi na CCM wanataka kuitumia vizuri.

Kama Katiba imesema kwamba mbunge akifukuzwa uanachama na chama chake anakuwa amepoteza sifa za kuwa Mbunge, nini kinapaswa kifanyike na nani afanye mara tu baada ya mtu kufukuzwa?

Hivi taarifa ya chama kwa waandishi wa habari kwamba so and so wamefukuzwa inatosha kumfanya speaker achukue hatua? Chama kinapaswa kufanya nini zaidi ya hiyo press conference?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…