tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Yah ncha kali....kigumu chenye ncha kali au...?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah ncha kali....kigumu chenye ncha kali au...?
Ndiyo, maana hawana mamlaka ya kujiteua.mwenye mamlaka ya uteuzi(kamati kuu ya chadema)imewakana.fikiria kila mtu akiamua kujiteua mwenyewe kwenye nafasi za uteuzi.nini kitatokea?Mkuu kina Mdee kutumia haki yao ya kikatiba kwenda kuapa kuwa wabunge kulingana na asilimia walizopata kwenye uchaguzi mkuu ni kuangamiza taifa?
Ndio wameanza kumtafuta!Kikwetu tunasema ingoma inogilee.
Mi naomba niulize swali kwani Alie peleka majina ya hawa wabunge 19 NEC bado chadema hawajampata?
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Wewe ndio mjinga.
Mmeambiwa mkawaulize NEC mbona mnambwelambwela bwashee?
Huyu Ndugai anafikiri watanzania wote wanatokea KONGWA nini? Sisi wananchi tunajua kuwa Bunge ni dhaifu na spika ni kibaraka wa Magufuli
Wewe mbwiga wa Mombasa nimekuuliza mzee Msekwa ni nani?
Aende basi akawatoe mashujaa 19 wa Chadema pale bungeni.
Spika Job Ndugai amewaambia nendeni mahakamani ndio mtajua hamjui!
ARV zimetafuna ubongo
Lini umehama Mombasa bwashee?Acha ujinga wewe wa kujifanya unanifahamu pimbi wewe!!! Mimi na Mombasa wapi na wapi JUHA wewe!? Leo humjui Msekwa ni nani? Kwanini unadhani waandishi wa habari walienda kumuuliza maswali hayo yeye badala ya kwenda kwa chakubanga polepole!?
Lini umehama Mombasa bwashee?
Leo mtukufu Spika Ndugai amewaambia muende mahakamani kama nyie ni vidume kweli na huko mtawakuta akina mama 19 wanawasubiri ndiposa mtajua hamjui!