Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo mkuuUmemaliza kulia baada ya kusikiliza hotuba ya Maalimu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo mkuuUmemaliza kulia baada ya kusikiliza hotuba ya Maalimu?
Wamefukuzwa kwa sababu gani?Kwani katiba inasemaje,Kama wabunge wakifikuzwa uanachama?
Mbona Lipumba alivyowafukuza wabunge wa viti maalumu,sipika hakusubilu maamuzi ya mahakama?
Huyo Ndugai haimuhusuWamefukuzwa kwa sababu gani?
Kipengele kipi cha katiba? Sidhani kama uko sahihiKosa kubwa la ndugai ni kujifanya kichwa maji.Kikatiba akipewa taarifa rasmi na katibu mkuu wa chadema kwamba wale wabunge 19 Sio wanachadema, spika anapaswa kuwaondoa bungeni.Uhalali wa kuwafukuza chamani yeye haumuhusu
Huo ndo ukweli wenyewe, ukitaka kubisha we bishana tu, ndo maana kina Sofia Simba na wale wabunge wa cuf walivyotimuliwa uwanachama waliondoka bungeni Mara moja. Ndugai aweza kuwa na chuki na mbowe, lakini Hilo ni swala la katiba yetu.Kumbuka hatuna wagombea binafsiKipengele kipi cha katiba? Sidhani kama uko sahihi
Kama mtikilaHahaha huyu spika ataingia kwenye historia na kusomwa kwenye kozi za sheria vyuo vikuu huko mbeleni.
Spika Ndugai amesema aliwaapisha wabunge 19 wa CHADEMA baada ya kupokea majina kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na pia kuyasoma majina hayo katika Gazeti la Serikali...
Kwani wewe hukuwepo hapa nchini mpkaa unauliza uchaguzi gani?
ARV zimetafuna ubongoNdugai atakuwa na tatizo kichwani siyo bure
Nakubaliana na ww kwa 100%ARV zimetafuna ubongo
Ni baada ya NEC kumtaarifu Spika. Sema mambo yalienda fasta sanaHuo ndo ukweli wenyewe, ukitaka kubisha we bishana tu, ndo maana kina Sofia Simba na wale wabunge wa cuf walivyotimuliwa uwanachama waliondoka bungeni Mara moja.Ndugai aweza kuwa na chuki na mbowe, lakini Hilo ni swala la katiba yetu.Kumbuka hatuna wagombea binafsi