Spika Ndugai: Asiyetaka tozo ya kizalendo atupe njia mbadala ya kupata fedha

huyu naye bata kweli.. akameze vidonge huko
 
Ni kweli tunahitajika kuwa Wazalendo kwa Taifa letu kwa kulipa kodi.
Vyanzo vipya vya kodi vinaweza kuwa

1.Tozo ya Uzalendo kwenye VIP lounges, matamasha makubwa, viwanjani /mpirani ,Night Clubs & Casinos.

2.Tozo ya uzalendo kwenye Sherehe za Harusi.

3.Tozo ya uzalendo kutoka kwa Taasisi za Dini, Mashirika yasiyo ya Kiserikali NGO.

4.Tozo ya Uzalendo kwenye madini hasa kwa Wachimbaji wadogo wadogo waliwezeshwa.

5.Tozo ya Uzalendo kwenye mishahara na marupurupu ya Wabunge.

6.Kubana matumizi na posho zitolewazo kwa Watumishi wenye mishahara.

7.Tozo ya Uzalendo kwenye Highways kwa wenye kuhitaji kuendesha kwa speed kubwa vigezo na masharti vizingatiwe.

8.Tozo ya Uzalendo kwa wale wote waliosomeshwa na Serikali wakatumia Elimu yao kwa manufaa ya nchi nyingine.

9.Uundwe mfuko maalum kwa Watanzania waliopo nje ya nchi ili waweze kuichsngia nchi yao kama wataona inafaa.

10.Tozo ya Uzalendo kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii.

11.Tozo ya uzalendo kwenye michezo ya kubahatisha /Betting.

12.Tozo ya uzalendo kwa wenye kuvunja sheria za usalama barabarani.

13.Tozo ya Uzalendo kwa Viwanda vya kutrngeneza mvinyo/vileo kwani vinafaidika ilihali wajenga nchi wanakuwa maskini na wengine kupoteza maisha kwa ajali na wengine kushindwa kuhudumia familia sababu ya ulevi.

14.Tozo ya uzalendo kwa Wataalamu wetu wote wa ndani ama kupitia bodi zao za kitaaluma,Bodi za usajili wa makampuni/Viwanda au vyovyote vile ilimradi tu na wao wanapatiwa Kazi za kufanya ili kukuza Uchumi na kuendelea kufundisha wataalamu wengine.
 
Mkuu afadhali umekemea huu upumbavu. Umejaa sana humu jukwaani haswa baada ya kifo cha JPM. Wanavyoombea watu wafe utadhani wao kwa sasa wanaishi mbinguni na duniani kwa wakati mmoja.

Ni aina fulani ya mawazo ambayo ni ya kipuuzi sana.
Hawa jamaa washapoteana mzee, after 2025 ndiyo watafutika mazima. Ukiona kamanda kama Mdee pamoja na damu yote aliyomwaga kwa ajili ya chama lakini anaamua kujiondoa ujue hapo ndani kuna tatizo kubwa
 
Inaleta kinyaa kiongozi wako akiwa abaongea haya ile hali yy atumbua tu kodi zetu. Hivi hajui kuwa tozo zitapunguza miamala..? Tutatuma pesa kwa njia za zamani kupitia mabasi kuwalelemea ndugu na jamaa zetu kama zamani
 
Empty head.


 
Spika Ndugai aelewe kuwa wananchi wana mzigo wa tozo la nduguzake OMBAOMBA mijini, na linavoongeza hili tozo la miamala, mzigo unazidi kua mkubwa!
 
Kun
Mkuu afadhali umekemea huu upumbavu. Umejaa sana humu jukwaani haswa baada ya kifo cha JPM. Wanavyoombea watu wafe utadhani wao kwa sasa wanaishi mbinguni na duniani kwa wakati mmoja.

Ni aina fulani ya mawazo ambayo ni ya kipuuzi sana.
Mkuu afadhali umekemea huu upumbavu. Umejaa sana humu jukwaani haswa baada ya kifo cha JPM. Wanavyoombea watu wafe utadhani wao kwa sasa wanaishi mbinguni na duniani kwa wakati mmoja.

Ni aina fulani ya mawazo ambayo ni ya kipuuzi s7ana.
Kuna mwana jamii forum mmoja alikuwa akishabikia sana vifo kwa wenzie kwa uzi wa kijeuri ameondoka kwa resperatory failure complications. Waacheni tu wajigambe. Hakuna bingwa wa kifo
 
Naona uwezo wa kufikiri umefika mwisho, hebu tuwasaidie kidogo, tukilipia kadi za nida kwa elfu 20 tu, hazina itapata 1000bn mara mbili ya fedha tunazotegemea kukamua miamala, tukibadili kadi za machinga zikawa za kieletronic na zikatozwa elfu 50, tutapata 800bn+.

Tukishirikiana na sekta binafsi kuendesha shule za primary na sekondari serikali itajitua mzigo wa 600bn kwa kuzipa ruzuku kidogo nazo zikapunguza ada serikali itapumua kukimbizana na madawati na madarasa.

Tuki ubinafsisha mradi wa uda kwa shabiby serikali itajitua mzigo wa 400bn wa kukimbizana na mayutong yenye gearbox mbovu, tukiwakopesha magari wakuu wa mikoa wilaya na wakurugenzi kama wanavyopewa wabunge tutajitua mzigo wa 600bn, tukipunguza idadi ya wabunge kutoka 360+ wa sasa hadi wabunge 90+ tutajitua mzigo wa 300bn, tukimuuzia Diamond ile ndege ya rais G550 ambayo sijawahi mwona rais akiitumia kwani "hapa kazi tu" ndio anavinjari nayo maza. Kwa maana nyingine sio lazima tuongeze kodi tunaweza punguza matumizi ili ile kodi kidogo itosheleze mahitaji.
 
WaTanzania what is going on,is a full scale government psy-op,,mmepewa Tozo,Mbowe na sasa Habari Za taharuki ya covid ,these things are related!!!keep your eyes on the prize...
 
muda mwingine neno huwa tusi kutegemea ulivyolitamka, hivi wangesema hizi tozo ni chagizo la ujenzi wa bwawa la nyerere na wakaanzisha kipindi maalumu kwenye tv tukawa tunaona ujenzi unavyoendelea sote tungekubaliana nalo, mbona tunatozwa railway development levy wakati tunapoingiza magari nchini na hatulalamiki, ni kwasababu tunaona SGR ikijengwa. Tanesco tunaponunua umeme tunatozwa ada ya REA nakweli tunaona nyumba za nyasi zikiwekewa umeme mbona hatulalamiki.
 
Kwakuwa kuna ushabiki wa kipumbavu linapotokea suala lolote iwe kisiasa, iwe mambo ya haki za kikatiba au za kisheria, iwe masuala ya utawala bora na utawala wa kisheria. Hivyo hakuna atakayekuwa na ubavu wa kupinga kile ambacho kimeshapitishwa na bunge la CCM, nami pia kama raia mwema kwa moyo mkunjufu kabisa nasema hongera wabunge kwa ubunifu kwani taifa linahitaji pesa nyingi sana ili wafanye yale waonayo ni muhimu na wafikirie zaidi bado kuna maeneo mengi ya kuongeza tozo au kodi whatever the fvck the difference is ili wazidi kukusanya pesa mpaka tufanikiwe kuvuka kutoka uchumi wa kati mpaka uchumi wa juu.
Nchi huendeshwa kwa kodi/tozo[emoji1][emoji1]
Viva Jobu nntu ya dili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…