Hana jipya huyu mgogo
Huyu mgogo anaangalia upande mmoja tu wa kuwaongezea kazi waalimu lakini hazungumzii kuwaongeza mshahara utakaoendana na kuongezewa kazi!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana jipya huyu mgogo
Akikazia mawazo ya wabunge kama kawaida yake nimemsikia Spika ameitaka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kuwaongezea masomo ya kufundisha walimu kwa maana ya kuwafundisha kuyafundisha tangu wakiwa vyuoni hasa vyuo vikuu ili kupunguza uhaba wa walimu na kuongeza tija kwa Wanafunzi.
Akitolea mfano wa Balozi Mbelwa Kairuki alichomsimulia kule China mwaka jana, Ndugai amesema kuwa kule China vijana wanajua mambo mengi sio kama hapa Tanzania ambapo kijana anajua kazi moja tu kama ni fundi ujenzi ni ujenzi tu na kama ni kuchomelea ni kuchomelea tu.
"Kwanini mwalimu wa high school nafundisha somo moja" eti mmesomea kufundisha somo moja tu ili iweje na uhaba huu wa walimu alihoji speaker Ndugai.
Anatakiwa afundishe masomo matatu, manne au hata kuendelea hali iliyoibua hoja ya mkwamo wa walimu wanaongojea kazi Serikali na kujiuliza watakwenda wapi? Kama wazo la Spika litafanyiwa kazi.

Wanataka kuwafanya cheap labour. Wasiwaajiri walimu waliyobobea masomo husika tutaendelea na 'education suicide' nchini.Speaker kaongea pumba kwanini asishauri serikali iajiri maelfu ya walimu walioko mtaani?
Kuliko kulundikia hao walimu mzigo.
Serious mkuu?Kwa kifupi anatuambia serekale haina pesa za kuajiri.
Tubanane na hawa waliopo.
Sisi hapa wizarani tumeshaanza lifanyia kazi. Soon linashushwa kwa maafisa elimu kwa utekelezaji.
Hakuna anayetaka kutumbuliwa kwa sasa. Tutajua mbele ya safari.
Akili kichwani mwako na future ya mtoto wako. Mwalimu hata ukimpa masomo 13 atafundisha hadi bible ila matokeo yake sasa...Walimu wanasemaje kwa hili ?
Wewe akili zitakurudia mshahara ukichelewa kutoka!!Haina shida,ndugai yuko sahihi. Maana walimu wa shule za msingi wanafundisha masomo yote ndo maana hakuna uhaba wa walimu katika shule za msingi.Ndugai ni akili kubwa ,kumuelewa hadi uwe na PhD,na nionavyo Mimi kwa Tanzania ya sasa hatuhitaji madaktari wa meno,sijui figo,moyo nk. Ni upotevu wa pesa haiwezekani daktari yeye kazi yake ni kutibu meno tu au macho,ni matumizi mabaya ya raslimali watu,daktari wa meno inapidi pia asomee ubongo,figo nk.ili kuwa na matumizi sahihi ya raslimali watu.
Safi sana,kuna wakati viongozi wetu huwa wanatoa maoni /kauli hadi unashindwa kujua hii kauli ilitolewa na huyu kiongozi akiwa katika khali gani.
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Hii ni blues huruki ruki unacheza ndani ya boksiFikiria unaambiwa ufundishe Physics, Chemistry, Biology na Mathematics A-level.
Mziki wake unauonaje?
You said it allWanataka kuwafanya cheap labour. Wasiwaajiri walimu waliyobobea masomo husika tutaendelea na 'education suicide' nchini.
Basi kupunguza gharama pia waziri mmoja ashikilie wizara 5 na jibu watalielewa mbele ya safari.
Yani watu wakipata madaraka makubwa wanakuwa wajinga kwelikweliWanataka kuwafanya cheap labour. Wasiwaajiri walimu waliyobobea masomo husika tutaendelea na 'education suicide' nchini.
Basi kupunguza gharama pia waziri mmoja ashikilie wizara 5 na jibu watalielewa mbele ya safari.
Mheshimiwa spika wakishafundisha hayo masom 5 hawa walimu ambao hawajaajiriw watafundisha nin? Au kwao ajira ndo imetoka ivo?Hiyo ni kauli ya kiongozi wa bunge, kwamba mwalimu mmoja afundishe masomo matano tofauti.