Spika Ndugai atangaza kutambua Ubunge wa Cecil Mwambe aliyejiuzulu Ubunge na uanachama CHADEMA

Spika Ndugai atangaza kutambua Ubunge wa Cecil Mwambe aliyejiuzulu Ubunge na uanachama CHADEMA

Kumbe
kisheria hiyo ndiyo point
Kumbe idara za serikali zinawezakuacha kutimiza wajibu wake kwa makusudi fulani ili kuipa serikali manufaa fulani ya KISIASA!? Imagine huyo mwambe ndio angekuwa mbowe lema sugu au msigwa je wangepata favor hiyo?
 
Huyo ni Ndugai yule aliyempiga mgombea mwenzake rungu la kichwa. Akili yake inaweza kuwa ipo au haipo kutegemeana na mazingira au kutegemeana na amri anayopokea kwa yule aliye mafichoni chattle. Kwa hiyo haishangazi.
 
Anamdhalilisha hadi Katibu mkuu Bashiru Ally aliyempokea na kumpa kadi hadharani kwamba yeye Ndugai hamtambui Bashiru.

Kweli ndani ya ccm awamu hii kumevurugika kama Sodoma na Gomora, ambako ilifikia hatua hata sokoni ukiinama unatiwa kidole na yeyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania ni viumbe wa ajabu.
Tunaonyeshwa kila aina ya sarakasi na viongozi wetu lakini tumetulia tuu kama maji ya mtungi
 
Haijawahi kutokea Ndugai akawa na akili! Ndugai kwa ufupi ni punguani! Nahisi hayo ni madhara yanayotokana na ulaji wa viwavi jeshi kwa muda mrefu!
 
Anamdhalilisha hadi Katibu mkuu Bashiru Ally aliyempokea na kumpa kadi hadharani kwamba yeye Ndugai hamtambui Bashiru.
Kweli ndani ya ccm awamu hii kumevurugika kama Sodoma na Gomora, ambako ilifikia hatua hata sokoni ukiinama unatiwa kidole na yeyote.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hata nae huyu katbu mkuu ashawehuka kwa sasa!
Ukitaka kuthibitisha, hebu atafutwe aulizwe juu hilo suala uone atakavyojamba!
...yaani hawa viongozi sijui wote now day wanapuliza jani...!?



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Watanzania ni viumbe wa ajabu.
Tunaonyeshwa kila aina ya sarakasi na viongozi wetu lakini tumetulia tuu kama maji ya mtungi
Bora hata wewe una bunduki Mimi Nina nail cutter tu hapa
 
Duh, wapinzani washindwe wenyewe tu kwenye majukwaa.wanaongezewa point nyingi sana
 
Ndugai ni kichaa aliepewa majukumu ya kuongoza moja ya mhimili muhimu na sensitive wa nchi. he is such a stupid.
Mihimili miwili tu tiyari inaongozwa na vichaa na ule wa tatu umebaki mateka wa vichaa. Ndugai anajaribu kujipendekeza kwa kichaa mkuu ili aweze kubaki na uspika bunge lijalo
 
Spika Ndugai amesema anamtambua Mwambe kuwa bado ni mbunge wa Chadema, Mwambe alijitangaza kuwa amekiacha chama cha Chadema na kujiunga na CCM hivyo akasema si mbunge wa Chadema tena.

Katika hali ya kuikomoa Chadema, Spika Ndugai amesema hajawahi kusikia kuwa Mwambe alijiunga na CCM baada ya kuiacha Chadema! Katika kuthibisha akisemacho Spika Ndugai amemuita Mwambe aende Bungeni kuhudhuria vikao.

Mwambe aliyeacha kuhudhuria vikao vya Bunge si mtoro kwa sababu ni mbunge wa Chadema kutokea CCM.
Mh. Ndugayi anaweza kuwapa wapinzani sababu tosha za kumwekea pingamizi endapo atagombea kwa kupitia CCM. Wakusanye tuu vielelezo toka Bungeni maana kule kupokelewa CCM kabla na sasa akienda Bungeni kukaa upande wa upinzania atakuwa amerejea CDM
 
Spika Ndugai amesema anamtambua Mwambe kuwa bado ni mbunge wa Chadema, Mwambe alijitangaza kuwa amekiacha chama cha Chadema na kujiunga na CCM hivyo akasema si mbunge wa Chadema tena.

Katika hali ya kuikomoa Chadema, Spika Ndugai amesema hajawahi kusikia kuwa Mwambe alijiunga na CCM baada ya kuiacha Chadema! Katika kuthibisha akisemacho Spika Ndugai amemuita Mwambe aende Bungeni kuhudhuria vikao.

Mwambe aliyeacha kuhudhuria vikao vya Bunge si mtoro kwa sababu ni mbunge wa Chadema kutokea CCM.
Anahisi anaikomoa Chadema kumbe anajitia aibu ya maisha.
 
Back
Top Bottom