Spika Ndugai aumizwa na chama cha siasa kutoleta Wabunge wa Viti Maalum, adai zingekuwa nafasi za wanaume wangelishafika

Nime note [emoji1000] pembeni : 1.February mnaanza.... 2.Mnayo koramu... Haya babaa sisi tunaye Mungu, nyie pangeni yenu....
 
Sasa anaumia nini huyu ndu.guy wakati hicho ndicho bosi wake (Jiwe) anachokitaka?! Kwamba wawepo CCM peke yao mjengoni kwa kuwa wapinzani wanazuia maendeleo!

Namshauri wabadili kanuni bungeni nafasi zote wajaze CCM kusudi nchi tupate maendeleo.
Uchungu wake ni kwamba watakosa wa kuwapiga vijembe bungeni, kuwafukuza, kuwakejeli etc
 
Nilitegemea hili Bunge halitaongelea wasiokuwemo kama kanuni zinavyowataka kumbe tutaendelea kusikia jina la Zitto Kabwe hadi 2025?
Mkuu yaani hawajazoea kujenga hoja bila vijembe, imagine akina Kibajaji au Msukuma au Juliana Shoza wataongea nini bungeni bila kukejeli upinzani?
 
Halima Mdee, Upendo Peneza, Josefa Komba, Lucy Maregesi, Easther Bulaya, Matiko na wengineo wengi pia ni akina mama lakini waliporwa ushindi wao walioupigania kwa macho machozi na damu achana na hivi viti vya sandakarawe.
Mbona haongelei hilo la kuporwa??
 

SI WALISEMA HAWATAKI UPINZANI BUNGENI .SASA WASIPOLETA SINDIO ANATAKIWA AFURAHIE ILI WAWE WANACHEZA NGOMA NA KUIMBA NYIMBO ZA CCM BUNGENI ???
YANGA AU SIMBA HATA WACHUKIANE VIPI LAKINI MWISHO WA SIKU KILA MMOJA ANAMUHITAJI MWINGINE ....KWENYE DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI RAHA YA BUNGE NI KUWA NA VYAMA VINGI ...

TUNAJUA HATA HAO WABUNGE WAWILI WALIOSHINDA NI MPANGO TU UMEFANYIKA KUHAKIKISHA WANAWAWEKA ILI BUNGENI KUONEKANE KUNA WAPINZANI ...HIVYO WALIHAKIKISHA WANAWATANGAZA WAPINZANI AMBAO HAWANA MADHARA KWAO ........ "VIPENYO"

HAWA GHASIA NA MZEE KEISSY HAWAJASHINDWA BALI IMEAMULIWA WAWEKWE TU KANDO ILI KUBALANCE
 
Anahangaika sana diabetic Ndugai
 
Sasa we punguani si uendelee na bunge lako la ccm, kila saa chadema, wamekuibia mkeo au.
Waacheni chama chao kife masna ndo mnataka, mlishindwa kuua watu sasa mnataka kuua vyama ueni tu
 
Ayubu ni dhaifu sana!
 
Aache ujinga.
 
Ooh kumbe akili zimeanza kumjia sasa..kauli yake inaonyesha kukata tamaa sana. Sasa si ndy walicjotaka..?Shamba la mahindi umewachia Nyani halafu Nyani waseme mbona mwenye shamba hayupo?? INAWEZEKANAJE HII???

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Wakati wagombea wanakatwa majina na kuenguliwa na NEC kwa sababu za kijinga. Wewe na chama chako mlikuwa wapi?

Wakati wagombea wanatekwa nyara wakati wa kurudisha form za uteuzi wewe na CCM yako mlikuwa kimya..

Wakati mawakala wanazuiwa kuingia vituoni hadi na wengine kujeruhiwa wewe na CCM yako mlikuwa kimya...

Wakati makaratasi ya kura feki zilizopigiwa kwa mgombea wako yanakamatwa na kuzagaa mitaani.. wewe na CCM mlikuwa kimya..

Wakati wasimamizi wa vituo wanafanya uhuni wote wa kupika matokeo wewe na CCM mlikiwa kimya..

Sasa inashindwa nini kubakia kimya sasa? au unapata ujasiri gani wa kuwaomba CDM kukuletea majina ili uwaapishe?

Ndugu kama cheo ushapata, chama chako kinaongoza dola.. CDM waache watibu majeraha yao, kwani unateseka..!! Unahangaika!!
 
Spika msipoteze muda tengenezini kanuni za Bunge zitakazoendsna na hali halisi ya matokeo ya uchaguzi mwaka huu.

Tufike mahali tuwe na Bunge la Watanzania lenye miongozo ya sheria ikibidi mpya na kanuni za hali halisi ya Tanzania ya sasa. Jivueni hiyo minyororo ya kitumwa inayoitwa desturi za bunge la jumuiya ya madola na blabla nyengine.
 

Nilichogundua kwa utafiti mdogo sana , watanzania hawana furaha baada ya matokeo na hata first lady nae vivyo hivyo. Ila chama dola hawaamini kilichotokea na nadhani hawakujipanga kujua kwamba chama pinzani wamejipanga haswaaa.
Ila chama pinzani strategy zao kubwa sana za kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…