Spika Ndugai: Baadhi ya watu wananiandika vibaya kwasababu mimi Mgogo

Anaandikwa vibaya kwa ufisadi wake wa kuiingiza wabunge hewa wale covid 19, kutumia bilioni 29 kwa matibabu hewa na kulifanya Bunge kuwa kusanyiko la mazuzu. Huko kuhusisha kabila lake ni inferiority complex inamtafuna
 
Heshima ya mtu ni tabia na mwenendo, mtu hadharauliwi au kuheshimiwa kwa sababu ya kabila lake. Ndugai ndiye aliyehakikisha bunge linakuwa la chama kimoja, kwa nn usidharauliwe kwa hilo?
 
Kama wagogo wote wana akili kama za Ndugai, basi kazi ipo 🙄
 
Malechela,Le Mutuzi,Ben Pal,Job Ndugai,Mavunde,Juma Nkamia,Matonya hawa ni baadhi tu ya Wagogo ambao ni Icons....ukijua tabia zao utaelewa kwa nini tunasema WAKOMA wana akili za hovyo.
Kweli hili kabila ni kiboko! Umemsahau na kibajaji..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…