Spika Ndugai: Baadhi ya watu wananiandika vibaya kwasababu mimi Mgogo

Sio kweli kwamba unaandikwa vibaya kwa sababu wewe ni mgogo na wala hakuna anayewadharau wagogo ni wewe mwenyewe na matendo yako yanakufanya udharauliwe.unafanya vitu vya ajabu sana huko bungeni.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Vina protein ya hali ya juu. Usidharau tamaduni ya mwenzako.

Wewe mbona unakula chura na hatusemi( jokes, kwa sababu sikujui ha haaa)
Mimi kwetu kuna wadudu wanaitwa Mang'eng'e tunakula kwa msimu wakati wa mwezi Nov. Hatuli sababu hatuna chakula ila ni kama utamaduni. Sasa wale ndugu zake Ndugai walikuwa hawana chakula njaa iliwapiga balaa ndiyo wakaopt kula viwavi. Wakiwa na chakula hawali viwavi Wagogo.
 
Aache huo ujinga,anaandikwa kutokana na ujinga wake

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ndugu zake wanakula viwavi yeye anajidai kutibiwa huku kalala hotel ya 5 stars ugenini kwa nusu mwaka. Lazima adharaulike
😄😄😄 viwavi ? Jeshiiiiiiiiiiiiii? Ama vingine .labda wana vinasaba vya kichina kama ni vile jeshi
 
Wewe usitake kudanganya watu Wagogo kina Malecela Kina marehemu Job Lusinde Kina Chibulunje wanaheshimika sana tena wengine wapo level ya juu kabisa kina Dada Dr Mwele mbona hukusema wakati mwendazake anamfukuza Daktari Mwelle kuwa amekfukuzwa kisa Mgogo ukweli ni KWAMBA UNAMLETEA MH RAIS DHARAU HATA ULIPOKUWA UNAWASILISHA ILE HOTUBA YAKO body language yake ilikuwa ya Dharau kubwa eti Huyu mama amekopa juzi uliishi kwa mazoea pesa uliyotumia India kwa matibabu bili 27 wewe peke yako tozo ya watu wangapi kwa muda gani usitafute huruma ya kabila wewe ni spika wa hovyo hata watoto wako wanajua baba ni MUHOVYO
 
Inferiority complex.
 
Inferiority complex inamsumbua Sana huyu kijana.Alishasema kwamba anamchukia Mbowe kwa sababu wakati wanasoma Kibaha boys ,yeye alikuwa anapata shida sababu ya umaskini huku Mbowe anakula raha.
 
Tatizo lako wewe ni mkabila,mchama na mpumbavu.
 
Nashangaa afanye maamuzi ya hovyo halafu kinga iwe ugogo?jahazi letu(tanzania)linazamishwa na hawa viongozi walafi na wenye kiburi.
 
Anaandikwa vibaya kwa ufisadi wake wa kuiingiza wabunge hewa wale covid 19, kutumia bilioni 29 kwa matibabu hewa na kulifanya Bunge kuwa kusanyiko la mazuzu. Huko kuhusisha kabila lake ni inferiority complex inamtafuna
Chama chake,kichukue hatua stahiki,anadhalilisha Chama chake, taasisi aliyoaminiwa kuiongoza na maamuzi yake yanatia hasara kwa taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…