Stan Mashamba
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 3,183
- 2,479
Your name is a reflection of what you are. Tell me; can CCM leadership tolerate insubordination and contempt from any member regardless of one's sex?Huwa hufuatilii vizuri vikao vya CCM...Membe alianza kuhukumiwa pamoja na kina EL kipindi hiko.
Halafu eti jitu lililooza ubongo ndilo spika!!!! Only in Tanzania!Ameishajibiwa katika uchaguzi uliopita Chadema iliweka wanawake 62,wanawake waliopewa nafasi kwenye vyama vyote ukiwajumlisha hawafikii hii idadi,sasa wapi Kuna mfumo dume,Ndugai ni mtu aliyeoza ubongo,
Chadema ni chama pekee kilichoteua wagombea wanawake kwenye uchaguzi mkuu, lakini wakaporwa na CCM kwa kutumia dola.Hii ni nukuu kutoka kwenye moja ya magazeti siku ya leo.
Inatajwa kuwa Chadema kuna mfumo dume hivyo kuna umuhimu wa kuwatetea wanawake.
Spika Ndugai anasubiri barua rasmi.
Ndugai = jingalaoHii ni nukuu kutoka kwenye moja ya magazeti siku ya leo.
Inatajwa kuwa Chadema kuna mfumo dume hivyo kuna umuhimu wa kuwatetea wanawake.
Spika Ndugai anasubiri barua rasmi.
Mkuu. Unapoteza mda wako bure kubishana na mtu kama huyu. Tutashindwa kukutofautisha kati yako na yeye.Tangu lini fisi akawa mtetezi wa sungura??
Safari hii imekula kwake. Hakuna cha Apolo Hsp tena. Na aking'ang'ania kwenda atarudi jina limebadilika. Badala ya kuanza na Mh. Litaanza na....Speaker analipa fadhili ya matibabu ya gharama kubwa India. Ana fanya haramu zote ili wafadhili waitambue serikali hii dhalimu.
Ulimtetea Mdee alipokamata mabegi ya kura za Gwajima na kisha yeye mlalamikaji ndo akakamatwa na Polisi? Au kipindi hicho hakuwa mwanamke?Kwamba haki yao ikiminywa wasisemewe kisa ni wa upinzani?
Hatukatai na wala hilo hatuna tatizo nalo ila siyo Wabunge wa Chadema bali wa Ndugai na genge lake.Unapotoka, akina mdee ni wabunge hadi 2025
PoleniWabunge hawa wa gereji watakua ni vijibwa vya CCM in short tayari wameshakua wana CCM as long as wanashiriki haramu za CCM.
Sisi kazi yetu ni kufukuza tu, wabaki bungeni au gereji hilo halituhusu ila tumeshatimua hao waasi.
poleni na ruzuku mtaiacha?Hatukatai na wala hilo hatuna tatizo nalo ila siyo Wabunge wa Chadema bali wa Ndugai na genge lake.
Poleni nyie mataga mnaohara baada ya chadema kuwafukuza waasi.Poleni
Muulize Wakudadavua aka Juliana Shonza anajua alikosea nn.Mlimfukusa Shonza kisa kuhoji fedha za ruzuku
Acha kuongea kamasi mbona hamkuyasema hayo pindi mmezulumu ushindi wao wa halali mmeupola bila huruma limekuja hili mwajitia watetezi shame on you we kitaragosiKwamba haki yao ikiminywa wasisemewe kisa ni wa upinzani?
Mlimfukusa Shonza kisa kuhoji fedha za ruzukuUlimtetea Mdee alipokamata mabegi ya kura za Gwajima na kisha yeye mlalamikaji ndo akakamatwa na Polisi? Au kipindi hicho hakuwa mwanamke?
Mmeupola ???Acha kuongea kamasi mbona hamkuyasema hayo pindi mmezulumu ushindi wao wa halali mmeupola bila huruma limekuja hili mwajitia watetezi shame on you we kitaragosi
Upuuzi mtupu,walipomfukuza Sofia Simba hawakujua kama ni mwanamke.Ndani ya Chama na ndaniya serikali kunajambo halipo sawa kabisa.Bashiru,Humphrey Polepole ni wakati wa ku retreat.Hii ni nukuu kutoka kwenye moja ya magazeti siku ya leo.
Inatajwa kuwa Chadema kuna mfumo dume hivyo kuna umuhimu wa kuwatetea wanawake.
Spika Ndugai anasubiri barua rasmi.
Ya Chadema yana muhusu nini?Hii ni nukuu kutoka kwenye moja ya magazeti siku ya leo.
Inatajwa kuwa Chadema kuna mfumo dume hivyo kuna umuhimu wa kuwatetea wanawake.
Spika Ndugai anasubiri barua rasmi.