Spika Ndugai: CHADEMA kuna mfumo dume

Spika Ndugai: CHADEMA kuna mfumo dume

Ameishajibiwa katika uchaguzi uliopita Chadema iliweka wanawake 62,wanawake waliopewa nafasi kwenye vyama vyote ukiwajumlisha hawafikii hii idadi,sasa wapi Kuna mfumo dume,Ndugai ni mtu aliyeoza ubongo,
Halafu eti jitu lililooza ubongo ndilo spika!!!! Only in Tanzania!
 
Hii ni nukuu kutoka kwenye moja ya magazeti siku ya leo.
Inatajwa kuwa Chadema kuna mfumo dume hivyo kuna umuhimu wa kuwatetea wanawake.
Spika Ndugai anasubiri barua rasmi.
Chadema ni chama pekee kilichoteua wagombea wanawake kwenye uchaguzi mkuu, lakini wakaporwa na CCM kwa kutumia dola.
 
Speaker analipa fadhili ya matibabu ya gharama kubwa India. Ana fanya haramu zote ili wafadhili waitambue serikali hii dhalimu.
Safari hii imekula kwake. Hakuna cha Apolo Hsp tena. Na aking'ang'ania kwenda atarudi jina limebadilika. Badala ya kuanza na Mh. Litaanza na....
 
To be honest with you, suala la wabunge wanawake wateuliwa ni la wanawake wenyewe na mimi sioni haja ya wao kurudi kwenye kamati kuu za vyama ambazo ni patriarchal ili kuja kuthibitisha uteuzi huo. It's a women thing. They can pick their own representatives through UWT and BAWACHA who they see fit without male interferences or approval so to speak.

Kama hao 19 wa Chadema wamejichagua wenyewe kukwepa mfumo dume wa kamati kuu, it's all good to me. Unless kama kamati kuu ilikuwa na majina yake.

pendekezwa, that's another story. Kwa hali ilivyo sasa hivi, sioni uwezezekano wa majina hayo 19 ya wabunge wa "Chadema" kubatilishwa na nina uhakika Ndungai ata-stick to guns na wabunge wake na kuwalinda pia.
 
Wabunge hawa wa gereji watakua ni vijibwa vya CCM in short tayari wameshakua wana CCM as long as wanashiriki haramu za CCM.

Sisi kazi yetu ni kufukuza tu, wabaki bungeni au gereji hilo halituhusu ila tumeshatimua hao waasi.
Poleni
 
Ulimtetea Mdee alipokamata mabegi ya kura za Gwajima na kisha yeye mlalamikaji ndo akakamatwa na Polisi? Au kipindi hicho hakuwa mwanamke?
Mlimfukusa Shonza kisa kuhoji fedha za ruzuku
 
Ulimtetea Mdee alipokamata mabegi ya kura za Gwajima na kisha yeye mlalamikaji ndo akakamatwa na Polisi? Au kipindi hicho hakuwa mwanamke?
Mlimfukusa Shonza kisa kuhoji fedha za ruzuku
 
Kwamba haki yao ikiminywa wasisemewe kisa ni wa upinzani?
Acha kuongea kamasi mbona hamkuyasema hayo pindi mmezulumu ushindi wao wa halali mmeupola bila huruma limekuja hili mwajitia watetezi shame on you we kitaragosi
 
Ubongo wa spika Unatafunwa na ugonjwa wa Menemene Tekeli na Pelesi.
 
Ulimtetea Mdee alipokamata mabegi ya kura za Gwajima na kisha yeye mlalamikaji ndo akakamatwa na Polisi? Au kipindi hicho hakuwa mwanamke?
Mlimfukusa Shonza kisa kuhoji fedha za ruzuku
Acha kuongea kamasi mbona hamkuyasema hayo pindi mmezulumu ushindi wao wa halali mmeupola bila huruma limekuja hili mwajitia watetezi shame on you we kitaragosi
Mmeupola ???
 
Hii ni nukuu kutoka kwenye moja ya magazeti siku ya leo.
Inatajwa kuwa Chadema kuna mfumo dume hivyo kuna umuhimu wa kuwatetea wanawake.
Spika Ndugai anasubiri barua rasmi.
Upuuzi mtupu,walipomfukuza Sofia Simba hawakujua kama ni mwanamke.Ndani ya Chama na ndaniya serikali kunajambo halipo sawa kabisa.Bashiru,Humphrey Polepole ni wakati wa ku retreat.

Mnazidi kuharibu mambo.Hivi mngeacha upepo ukatulia na hata mkatumia wazee wenye busara kuwashawishi Chadema kwa taratibu naamini isingefika April na wabubge wa viti maalum wangepatikana kwa mfumo ulio wazi zaidi.

Spika Ndugai,wakati mwinngine anyamaze tu,CUF walitimua wabinge na usiku Ndugai akiwa India akawaandikia NEC kutangaza nafasi wazi.Sad!!
 
Hii ni nukuu kutoka kwenye moja ya magazeti siku ya leo.
Inatajwa kuwa Chadema kuna mfumo dume hivyo kuna umuhimu wa kuwatetea wanawake.
Spika Ndugai anasubiri barua rasmi.
Ya Chadema yana muhusu nini?
 
Back
Top Bottom