Spika Ndugai: Enyi majaji kumbukeni Hukumu anatoa Mungu siyo ninyi hivyo mkamtangulize Mungu katika utendaji wenu

Mbona nae amejigeuza mungu mtu kule bungeni kwa kuwalinda wale wanawake 19 kinyume na sheria?
Huyu jamaa kimsingi huwa namkubar sana, suala la kuwalinda wabunge 19 mi naona ni la kiungwana na roho safi ya kibinadamu.
 
Kiukweli sijawahi kuona kama huyu bwana ni any smart
 
Hivi na ndugai anamjua Mungu!
 
Muhimili anao uongoza unatunga sheria kwa influence za 'kishetani' then anashauri muhimili unaoenda kuzitafsiri umtangulize Mungu, tangu lini Mungu akatafsiri kazi za shetani?!
 
Muhimili anao uongoza unatunga sheria kwa influence za 'kishetani' then anashauri muhimili unaoenda kuzitafsiri umtangulize Mungu, tangu lini Mungu akatafsiri kazi za shetani?!
Taratibu bwashee!
 
Vyeo huwa vinawachanga sana watani zangu
 
Haya maneno Ole Ndugai ameyapata wapi?
 
Je Mungu amesema tuwapige wenzetu na magongo!!?
 
Mbona alimhukumu Lissu akishirikiana na JIWE kwa kumfukuza sisivyo halali na kula mishahara yake huku akiwalipa COVID 19 isivyo halali na hata mwambe?
Hii laana ya nchi hii.
 
Imeandikwa futa ninayonena na wala si ninayotenda.
 
Duh!! Kweli kila mtu anayo haki ya kutaja jina la Mungu hata kama matendo yake yana ubatili. Jamaa hana hata aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…