Jerry Ekky
JF-Expert Member
- May 6, 2018
- 1,683
- 5,236
Chezea ulaji wewe, maslahi ya wenye chama yametikiswa!Chadema kuwaandama wabunge wa chama chao wenyewe ni kupoteza uelekeo wa kisiasa, ni sawa na kujipiga risasi mguuni...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chezea ulaji wewe, maslahi ya wenye chama yametikiswa!Chadema kuwaandama wabunge wa chama chao wenyewe ni kupoteza uelekeo wa kisiasa, ni sawa na kujipiga risasi mguuni...
Itakuwa ni jambo jema. Lets wait & see thoughUtashangaa na hutoamini.
Nape kapigwa biti na NdugaiKama Nape Nnauye atakomaa nao lazima watatolewa nduki bungeni.
Nyuma ya Nape kuna nguvu kubwa isiyoonekana ambayo imeapa kuvisambaratisha vikaragosi vyote vya naniliu!
Nape kapigwa biti na Ndugai asiliongee tena hiliMimi naamini Mama yuko nyuma ya Nape na watu wasidhani hawa jamaa walioamua kufunguka wanakurupuka, bali wajue wana support kubwa tu ya watu wazito katika chama na serikali.
Swali ni je, nani anapaswa kwenda kuomba hiyo review? Kwanini hataki/hajaamua kwenda mpaka leo? Au hajui kama anapaswa kwenda huko?Hata kama binafsi sina ABC za sheria lkn naona lipo wazi sana .
Inawezekana kabisa kwenda mahakamani kuomba tafsiri ya sheria inayotumika kuwaweka hawa wabunge wasiyo na chama.
Na vikaragosi vya Naniliu vinakiherere hatareKama Nape Nnauye atakomaa nao lazima watatolewa nduki bungeni.
Nyuma ya Nape kuna nguvu kubwa isiyoonekana ambayo imeapa kuvisambaratisha vikaragosi vyote vya naniliu!
Hiyo lazima itakuwa msoga gangNyuma ya Nape kuna nguvu kubwa isiyoonekana ambayo imeapa kuvisambaratisha vikaragosi vyote vya naniliu!
Bunge ni muhimili unaojitegemea ewe kigaragosi wa mboweMimi naamini Mama yuko nyuma ya Nape na watu wasidhani hawa jamaa walioamua kufunguka wanakurupuka, bali wajue wana support kubwa tu ya watu wazito katika chama na serikali.
Kwa mfano CHADEMA kuna loopholes zipi ?Swali ni je, nani anapaswa kwenda kuomba hiyo review? Kwanini hataki/hajaamua kwenda mpaka leo? Au hajui kama anapaswa kwenda huko?
Ndugai anapata “kiburi” cha kuongea yale yoote kupitia loopholes zilizopo kotekote
Mdee ni mpare siyo mchaga.Labda wengine ila sio Mdee,mchaga aache pesa kwa kelele za mbu!
Spika Ndugai lazima dhamira imsute.Nimemsikia Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiendelea kuwatetea, tena kwa kushupaza shingo, Wabunge 19 wa Viti Maalum anaodai kwamba wametoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema.
Hoja anayoishikilia Spika ni kwamba Wabunge hao ni halali na wako Bungeni kihalali na akasisitiza kwamba yeye kama Spika, atawalinda kwa nguvu zote kwani Chama chao cha Chadema (japo sina hakika sana kama ni wanachama bado) kinawaonea kutokana na mfumo dume uliomo ndani yake.
Sina haja sana ya kubishana na hoja za spika, isipokuwa tu nimkumbushe kwamba akiwa mwongo asiwe msahaulifu.
Mwaka 2017, spika huyo huyo wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, siku moja baada ya kupokea barua kutoka kwa Mwenyekiti wa CUF Taifa aliyekuwa akitambuliwa na Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa, kipindi wana mgogoro wa ndani ya chama, Prof. Ibrahim Lipumba, inayoeleza kuwafukuza uanachama Wabunge wanane wa Viti Maalum na Madiwani wawili, Bunge lake likaridhia uamuzi huo chap chap bila kuchelewa.
Ilikuwa ni Julai 26, 2017 Bunge hilo likatoa tarifa kupitia kwa ofisi ya Bunge kwamba Spika Job Ndugai ameridhia kufutwa uanachama kwa Wabunge hao na hivyo nafasi zao ziko wazi.
Taarifa hiyo ikasema: "Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai
Prof. Lipumba alitangaza kuwafuta uanachama Wabunge wanane na Madiwani wawili kwa makosa mbalimbali yakiwemo ya kinidhamu, kukihujumu chama, Kumkashifu na kumdhalilisha Mwenyekiti.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Spika Ndugai amejiridhisha kuwa Wabunge hao wamefutiwa uanachama kulingana na taratibu za chama hicho na hivyo hawana sifa za kuendelea na Ubunge. Hivyo kwa mamlaka aliyonayo kwa kuzingatia kifungu cha 67(1)(b) cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 kikisomwa pamoja na kifungu 37(3) cha Sheria ya Uchaguzi Sura ya 343 kama ilivyojadidiwa Mwaka 2015, Spika ametangaza nafasi hizo kuwa wazi na kumuandikia Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi aendelee na hatua zinazostahili kujaza nafasi hizo kwa mujibu wa Sheria. Waliovuliwa ubunge ni Mheshimiwa Severina Silvanus Mwijage, Mheshimiwa Saumu Heri Sakala, Mheshimiwa Salma Mohemed Mwassa, Mheshimiwa Riziki Shahari Mngwali, Mheshimiwa Raisa Abdallah Mussa, Mheshimiwa Miza Bakari Haji, Mheshimiwa Hadija Salum Ally al Kassmy na Mheshimiwa Halima Ali Mohamed.
Swali la kujiuliza hapa ni kwamba sakata hilo la CUF kipindi hicho mbona linafanana na la Chadema la sasa lakini maamuzi yanayotolewa ni tofauti? Spika anafanya makusudi au ndio kile kinachoitwa double Standards?
Anaposema kwamba wabunge 19 wanaodaiwa ni wa Chadema wanaonewa kutokana na mfumo dume wa ndani ya chama chao kwa kuwa wao ni wanawake, mbona hata wale wa CUF mwaka 2017 walikuwa ni wanawake lakini hakusema hivyo? Au pengine anafanya maamuzi hayo ili mradi tu kupingana na Chadema na si chama kingine chochote? Tuanzie hapo kwanza.
Mimi ni mgeni hapa Bongo, hivi Ndugai hana file milembe kweliNimemsikia Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiendelea kuwatetea, tena kwa kushupaza shingo, Wabunge 19 wa Viti Maalum anaodai kwamba wametoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema.

Job Ndugai hajawahi kuwa mtu mwenye soni usoni pake. Yale tu aliyomfanyia Tundu Lissu yanajieleza jinsi kibushuti hiki kilivyoNimemsikia Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiendelea kuwatetea, tena kwa kushupaza shingo, Wabunge 19 wa Viti Maalum anaodai kwamba wametoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema.
Hoja anayoishikilia Spika ni kwamba Wabunge hao ni halali na wako Bungeni kihalali na akasisitiza kwamba yeye kama Spika, atawalinda kwa nguvu zote kwani Chama chao cha Chadema (japo sina hakika sana kama ni wanachama bado) kinawaonea kutokana na mfumo dume uliomo ndani yake.
Sina haja sana ya kubishana na hoja za spika, isipokuwa tu nimkumbushe kwamba akiwa mwongo asiwe msahaulifu.
Mwaka 2017, spika huyo huyo wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, siku moja baada ya kupokea barua kutoka kwa Mwenyekiti wa CUF Taifa aliyekuwa akitambuliwa na Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa, kipindi wana mgogoro wa ndani ya chama, Prof. Ibrahim Lipumba, inayoeleza kuwafukuza uanachama Wabunge wanane wa Viti Maalum na Madiwani wawili, Bunge lake likaridhia uamuzi huo chap chap bila kuchelewa.
Ilikuwa ni Julai 26, 2017 Bunge hilo likatoa tarifa kupitia kwa ofisi ya Bunge kwamba Spika Job Ndugai ameridhia kufutwa uanachama kwa Wabunge hao na hivyo nafasi zao ziko wazi.
Taarifa hiyo kutoka kwa Spika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ikadai kuwa
Mwenyekiti wa CUF Prof. Lipumba alitangaza kuwafuta uanachama Wabunge wanane na Madiwani wawili kwa makosa mbalimbali yakiwemo ya kinidhamu, kukihujumu chama, Kumkashifu na kumdhalilisha Mwenyekiti.