Spika Ndugai haya uliyosema kuhusu Wabunge wa CHADEMA waliofukuzwa mbona mwaka 2017 hukuyasema wabunge wa CUF walipotimuliwa?

Kumbuka maneno ya Prof Assad, Bunge dhaifu, spika dhaifu sana. Tanzania halijawahi kua na bunge kama hili la Ndugai tangu tupate uhuru, ata mama Anna Makinda alijitahidi kwa mbali sana compare na huyu Mgogo
Assad nae kafilisika maarifa, miaka yote alikuwa wapi hadi hivi sasa ndio anakuja na vibweka kama Dr. Shika!
 
Chadema walisusa matokeo ya uchaguzi 2020, walikaza hata walioshinda wasiende kuapishwa na kushiriki bunge, sasa kinachowauma chadema kutaka akina Halima wasishiriki vikao vya bunge ni nini?

Akina Halima mmeshawafukuza kwenye chama chenu tayari hivyo wametumia mbinu zao binafsi na akina Ndugai kuendelea kuhudhuria bunge pamoja na kufukuzwa kwenye chama chao. Sasa hoja ya Chadema na Bawacha kutaka Ndugai awafukuze bungeni akina Halima ni nini?. Nini kinawawasha akina Halima kubaki bungeni wakati wao wameyasusa matokeo wenyewe?

Au wanataka sasa kuyakubali matokeo ya uchaguzi ule ili wachague watu wao badala ya akina Halima kwenda bungeni?

Kwani hela wanazokipwa akina Mdee kwa kwenda bungeni ni za chadema?

Nijuavyo mimi akina Halima waliona ni upuizi kuachia nafasi 19 zote ziende bure kama vionhozi wa chadema walivyotaka iwe. Kwa njia zao na mipango yao wenyewe nje ya chama wakazitumia hizo nafasi badala ya zingebaki tupu au kuchukuliwa na CCM.

Je, kama Ndugai angeamua kuwapa CCM hizo nafasi 19 za ubunge zilizosuswa na chadema viongozi wa chadema wangesema nini? Bado wangedai?

Chadema mlishasusa kupeleka majina 18 ya wabunge wa viti maalumu kwenda kula kiapo, pia mlitaka hata yule mbunge mmoja aliyechaguliwa jimboni asiende bungeni, hivyo wenyewe kwa njia zao wako bungeni na nyie mmeshawafukuza kwenye chama, hivyo mwacheni Spika Ndugai ahangaike nao yeye mwenyewe kwa kutumia njia zake nyie endeleeni kutoyatambua matokeo hivyohivyo.

Au mnataka kuwapeleka wake zetu bungeni badala ya akina Halima? Kama ni hivyo anzeni kwanza kwa kuyakubali matokeo ya uchaguzi kabla ya kudai akina Halima watoke bungeni.
 
Kutokana na shinikizo la kutaka wabunge hawa waondolewe Bungeni, na pia ili kumpa Spika amani na zaidi ili kulinda hadhi ya Bunge isiendelee kuporomoka, wenye mamlaka watawataka wabunge hawa wajiuzu ila watahakikisha wanalindwa hata wakiwa nje ya Bunge.

CCM na Ndugai swala hili limewakalia vibaya na sioni uwezekano wao wao kuendelea kuwalinda hawa wabunge zaid ya kuwataka tu watangaze kujiuzulu ila watakubaliana wabunge hawa waseme nini kwa umma siku ya kutangsza kujiuzulu.

Hii aibu ni ngumu kuibeba tena huku nafasi inskusta hivyo ni swala la muda tu.

Baada ya Bunge hili kwisha,sitarajii kama watarudi katika mkutano ijayo wa Bunge

Tusubiri.
Mnaandika sana lakini sioni mwenye ufahamu kwa mlio toa michango yenu, na Spika amewatega ili muhangaike sana.

Taarifa ya kuwapokea na kuwavua ubunge inaanzia tume ya Uchaguzi ambao hutoa maelekezo kwa Spika.

Baada ya kupata barua ya maelekezo kutoka Tume ndio Spika ana pelekewa petition ya kuwaondosha bungeni.

Kama mtang'anga'nia Spika,Spika,Spika hili suala halitoisha mnavyo fikiri nyie. Kuna kazi muhimu mnaisahau ambayo ni kuwataka tume wamfahamishe Spika kuwa futa Uanachama wabunge hao.

Hawa sio wabunge wa majimbo ambao akipata barua ya ushindi Jimboni baada ya uchaguzi inatosha.

Yetu macho tuta zidi kuelimika na kuelimishwa na mchakato utakavyo enda.
 
Inashangaza taifa ambalo katiba yake imetamka wazi kuwa ni taifa linaloheshimu misingi ya demokrasia haki na utii wa sheria alafu linakuwa na spika asiyejitambua. Hii ni aibu kwa karne hii ambayo kila mtu anatambua umuhimu wa kuheshimu sheria.

Kama spika unayejitambua basi ungesoma ibara ya 8(1)(a) alafu ukawaomba msamaha watanzania kwa jinsi ulivyokengeuka na kuisigina katiba inayotoa mamlaka ya kutawala.

Kwa kuwa katiba ndio inatoa mamlaka ya kutawala na mamlaka hayo yapo kwa watu wanaounda taifa la Tanzania basi ulipaswa kuacha mara moja kuikanyaga katiba maana madhara yake ni makubwa.

Ibara ya 71(1)(e) ya katiba ya jamhuri ya Tanzania ipo wazi na haihitaji ufafanuzi. Ukomo wa mbunge utatokea pale uanachama wake utakoma kwenye chama alichochaguliwa kuwa mbunge.

Sasa kama watu walishafukuzwa Chadema, na chama chao kikakuandikia barua kuwa walishafukuzwa wewe kwa nini hutaki kuamini kuwa walishafukuzwa? Ok kama huamini kwa nini usiombe uthibitisho kuwa walifukuzwa na vikao halali?

Kwa kuwa katiba ni sheria mama na ndio inayotoa mamlaka ya kutawala na mamlaka haya yapo mikononi mwa wananchi basi tambua hii nchi ni mali ya watanzania. Hivyo usifanye maamuzi kwa utashi wako bali zingatia kaiba inasema nini.

Unaliabisha taifa letu kwa kuleta ubabe usio na maana.

Huu mchezo wanataka kuufanya kama ule wa Lipumba na Cuf , yaani kuwalinda kwa nguvu zote
 
Mnaandika sana lakini sioni mwenye ufahamu kwa mlio toa michango yenu, na Spika amewatega ili muhangaike sana.

Taarifa ya kuwapokea na kuwavua ubunge inaanzia tume ya Uchaguzi ambao hutoa maelekezo kwa Spika.

Baada ya kupata barua ya maelekezo kutoka Tume ndio Spika ana pelekewa petition ya kuwaondosha bungeni.

Kama mtang'anga'nia Spika,Spika,Spika hili suala halitoisha mnavyo fikiri nyie. Kuna kazi muhimu mnaisahau ambayo ni kuwataka tume wamfahamishe Spika kuwa futa Uanachama wabunge hao.

Hawa sio wabunge wa majimbo ambao akipata barua ya ushindi Jimboni baada ya uchaguzi inatosha.

Yetu macho tuta zidi kuelimika na kuelimishwa na mchakato utakavyo enda.
Mwenye chama kaamua kuwatikisa wale wana-mama ili wasaini 10% yake.

Mjini hapa, watu wametumwa hela!
 
Chadema walisusa matokeo ya uchaguzi 2025, walikaza hata walioshinda wasiende kuapishwa na kushiriki bunge, sasa kinachowauma chadema kutaka akina Halima wasishiriki vikao vya bunge ni nini?

Akina Halima mmeshawafukuza kwenye chama chenu tayari hivyo wametumia mbinu zao binafsi na akina Ndugai kuendelea kuhudhuria bunge pamoja na kufukuzwa kwenye chama chao. Sasa hoja ya Chadema na Bawacha kutaka Ndugai awafukuze bungeni akina Halima ni nini?. Nini kinawawasha akina Halima kubaki bungeni wakati wao wameyasusa matokeo wenyewe?

Au wanataka sasa kuyakubali matokeo ya uchaguzi ule ili wachague watu wao badala ya akina Halima kwenda bungeni?

Kwani hela wanazokipwa akina Mdee kwa kwenda bungeni ni za chadema?

Nijuavyo mimi akina Halima waliona ni upuizi kuachia nafasi 19 zote ziende bure kama vionhozi wa chadema walivyotaka iwe. Kwa njia zao na mipango yao wenyewe nje ya chama wakazitumia hizo nafasi badala ya zingebaki tupu au kuchukuliwa na CCM.

Je, kama Ndugai angeamua kuwapa CCM hizo nafasi 19 za ubunge zilizosuswa na chadema viongozi wa chadema wangesema nini? Bado wangedai?

Chadema mlishasusa kupeleka majina 18 ya wabunge wa viti maalumu kwenda kula kiapo, pia mlitaka hata yule mbunge mmoja aliyechaguliwa jimboni asiende bungeni, hivyo wenyewe kwa njia zao wako bungeni na nyie mmeshawafukuza kwwnye chama, hivyo mwacheni Spika Ndugai ahangaike nao yeye mwenyewe kwa kutumia njia zake nyie endeleeni kutoyatambua matokeo hivyohivyo.

Au mnataka kuwapeleka wake zetu bungeni badala ya akina halima? Kama ni hivyo anzeni kwanza kwa kuyakubali matokeo ya uchaguzi kabla ya kudai akina Halima watoke bungeni.
Kwanza unaandika kimihemko sana, umetuambia eti Chadema walisusa uchaguzi 2025? You are from the future to the Past? Ndio maana hata sheria na Katiba vikivunjwa wazi wazi unaona sawa tu, eti akina Halima wametumia njia zao na akina Ndugai kuingia Bungeni. Kweli? Hivi ndivyo kodi za Wananchi zinapaswa kuchezewa kwa Ndugai kuwaingiza watu wowote tu Bungeni? Bila kufuata sheria?
 
Hii nchi inawatu wapumbavu sana...
Jitu kama lilete mada unaweza kuta lipo katika taasisi kubwa ya kiserikali.
 
Hii ya chadema kususia uchaguzi wa mwaka 2025 na hiyo habari tunaipata leo 2021 kitaalamu inaitwa Future present tense of the current moment of the location in Google find X.
 
Chadema walisusa matokeo ya uchaguzi 2025, walikaza hata walioshinda wasiende kuapishwa na kushiriki bunge, sasa kinachowauma chadema kutaka akina Halima wasishiriki vikao vya bunge ni nini?

Akina Halima mmeshawafukuza kwenye chama chenu tayari hivyo wametumia mbinu zao binafsi na akina Ndugai kuendelea kuhudhuria bunge pamoja na kufukuzwa kwenye chama chao. Sasa hoja ya Chadema na Bawacha kutaka Ndugai awafukuze bungeni akina Halima ni nini?. Nini kinawawasha akina Halima kubaki bungeni wakati wao wameyasusa matokeo wenyewe?

Au wanataka sasa kuyakubali matokeo ya uchaguzi ule ili wachague watu wao badala ya akina Halima kwenda bungeni?

Kwani hela wanazokipwa akina Mdee kwa kwenda bungeni ni za chadema?

Nijuavyo mimi akina Halima waliona ni upuizi kuachia nafasi 19 zote ziende bure kama vionhozi wa chadema walivyotaka iwe. Kwa njia zao na mipango yao wenyewe nje ya chama wakazitumia hizo nafasi badala ya zingebaki tupu au kuchukuliwa na CCM.

Je, kama Ndugai angeamua kuwapa CCM hizo nafasi 19 za ubunge zilizosuswa na chadema viongozi wa chadema wangesema nini? Bado wangedai?

Chadema mlishasusa kupeleka majina 18 ya wabunge wa viti maalumu kwenda kula kiapo, pia mlitaka hata yule mbunge mmoja aliyechaguliwa jimboni asiende bungeni, hivyo wenyewe kwa njia zao wako bungeni na nyie mmeshawafukuza kwwnye chama, hivyo mwacheni Spika Ndugai ahangaike nao yeye mwenyewe kwa kutumia njia zake nyie endeleeni kutoyatambua matokeo hivyohivyo.

Au mnataka kuwapeleka wake zetu bungeni badala ya akina halima? Kama ni hivyo anzeni kwanza kwa kuyakubali matokeo ya uchaguzi kabla ya kudai akina Halima watoke bungeni.
Umekula maharage ya wapi wewe?
 
Kumbe siku hizi kuna chaguzi zinafanyika kabla muda haujatimia? How did Chadema boycott uchaguzi wa mwaka 2025 ilhali mwaka huu ndo kwanza 2021?
 
Chadema walisusa matokeo ya uchaguzi 2015, walikaza hata walioshinda wasiende kuapishwa na kushiriki bunge, sasa kinachowauma chadema kutaka akina Halima wasishiriki vikao vya bunge ni nini?

Akina Halima mmeshawafukuza kwenye chama chenu tayari hivyo wametumia mbinu zao binafsi na akina Ndugai kuendelea kuhudhuria bunge pamoja na kufukuzwa kwenye chama chao. Sasa hoja ya Chadema na Bawacha kutaka Ndugai awafukuze bungeni akina Halima ni nini?. Nini kinawawasha akina Halima kubaki bungeni wakati wao wameyasusa matokeo wenyewe?

Au wanataka sasa kuyakubali matokeo ya uchaguzi ule ili wachague watu wao badala ya akina Halima kwenda bungeni?

Kwani hela wanazokipwa akina Mdee kwa kwenda bungeni ni za chadema?

Nijuavyo mimi akina Halima waliona ni upuizi kuachia nafasi 19 zote ziende bure kama vionhozi wa chadema walivyotaka iwe. Kwa njia zao na mipango yao wenyewe nje ya chama wakazitumia hizo nafasi badala ya zingebaki tupu au kuchukuliwa na CCM.

Je, kama Ndugai angeamua kuwapa CCM hizo nafasi 19 za ubunge zilizosuswa na chadema viongozi wa chadema wangesema nini? Bado wangedai?

Chadema mlishasusa kupeleka majina 18 ya wabunge wa viti maalumu kwenda kula kiapo, pia mlitaka hata yule mbunge mmoja aliyechaguliwa jimboni asiende bungeni, hivyo wenyewe kwa njia zao wako bungeni na nyie mmeshawafukuza kwenye chama, hivyo mwacheni Spika Ndugai ahangaike nao yeye mwenyewe kwa kutumia njia zake nyie endeleeni kutoyatambua matokeo hivyohivyo.

Au mnataka kuwapeleka wake zetu bungeni badala ya akina Halima? Kama ni hivyo anzeni kwanza kwa kuyakubali matokeo ya uchaguzi kabla ya kudai akina Halima watoke bungeni.
Uliposema "Chadema hawana hoja" nikaja mbio kucheki hoja zako, asalaleeee 💩
 
UPUUZI MTUPU!

Back
Top Bottom