wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,983
- 4,138
Labda aseme team ya majadiliano, mnaweza kumpa nondo mtu mwenye kipaji hata kama cheti chake kimejaa makarai lakini uwezo wake wa kuukoroga mdomo, gestures na kujiamini wachina wakamwona kama mtu mwenye PhD wakati kaishia kidato cha nne.Negotiating has nothing to do with A level and O level academic achievement
Mitihan huko watu wanafungia chps kavu mtaan acha kujitoa ufahamu,hao mnaowaita wenye ufaulu mzur ndo wamelifikisha taifa hapa kwa kushndwa kutafsir mikataba hiyo.Ndio maana amesema O level na A level wawe na division 1......uwe unaelewa!
Sijaelewa ama,
Kufanya negotiations na Wachina kwenye jambo au mambo gani?
Kwa nini wametajwa Wachina na sio jamii nyingine ya wanadamu?
Mtemi wa Vijisenti unajua Vyuo alivyosoma?Kwa mara ya kwanza nimemwelewa Ndungai yupo sahihi kuna watu wamelitia ili taifa hasara ya mikataba kwa kushindwa kutafasiri lugha tu.
Hakuna uhusiano kati ya first class na uzalendo, ambao ndio kigezo mujimu katika negotiations.Ukiwa mzalendo huwezi kuiza nchi yako.Kwanini tusitafte viongoz wenye 1st clas maana ndyo wanafanya negotiation kma wao ndyo wwko vzuri. Kwanini wajinga nfyo wawe viongoz na waelevu wawe watumishi?
Hahahah....1st class yake na negotiations na Acacia[emoji23]Prof kabudi anatoa macho tu ndo negotiation zenyewe hizo!!!
Kama first class ndio nyie basi hio ni mbaya sana, Unasahau private companies nyingi zipo chini ya watu ambao hata class hawajagusa au wako ktk level ya kawaida tu shule, Mchukulie mtu kama Nasib Abdul leo akiita vijana wenye first class interview mtapeleka bahasha wangapi ili muajiliwe Wasafi, Kiukweli sio kuwa hamna umuhimu umuhimu mnao haswa kwenye kushika chalk we huoni hao maprofessor wanavyomuangusha Uncle nyie bakini na research na kushika chaki huku kwenye mipambano ya Risk achieni vilaza mana wao wana uthubutu na hawaogopi kuanguka. Wazee wa triangle hata chuo mna lag sana mtu anaishi town mpaka chuo kinaishaa yupo yupo na midftari anashindwa ata kuwa na mishe wakati yupo chuoUtawatoa wapi? Na ziro yako unawaza kuna kuajiri.wewe mwenyewe akuajiri Nani?
Huwa anaongea upupu mtupu.Elimu ya darasani kukariri ni tofauti na maarifa.Mbuge wa Kahama Mh. Kishimba namkubali sana kwa hoja zake japo huenda hakumaliza hata elimu ya Msingi., anawazidi maprofesa na Madoctor wengi.
Negotiations has nothing to do with first class. Negotiations ina hitaji elimu ya kawaida na exposure katika nyanja husika.Kauli hii imetolewa bungeni leo na Spika wetu Mh. Job Ndugai.
Kimsingi kuna hoja ya msingi, lakini je, ni nani anayepelekewa ujumbe huo?
Of course, sisi wananchi tumekusikia .
Kauli hii imetolewa bungeni leo na Spika wetu Mh. Job Ndugai.
Kimsingi kuna hoja ya msingi, lakini je, ni nani anayepelekewa ujumbe huo?
Of course, sisi wananchi tumekusikia .
Kwani ngwengwe inaponaga mkuu..Kwani hajapona bado?
Sio kwa pesa ile ya matibabu!!
Na watanzania wa aina hiyo wapo.....mfano kibajaji na msukuma!Labda aseme team ya majadiliano, mnaweza kumpa nondo mtu mwenye kipaji hata kama cheti chake kimejaa makarai lakini uwezo wake wa kuukoroga mdomo, gestures na kujiamini wachina wakamwona kama mtu mwenye PhD wakati kaishia kidato cha nne.
Mwanasheria wa wanyama? Huna lolote unalolijua wee!Ni mwanasheria mzuri tu hata lile tundu halimfikii hata chembe
State agent
Umejibu ukiwa umelala au?Ni mwanasheria mzuri tu hata lile tundu halimfikii hata chembe
State agent