Spika Ndugai: Kwenye majadiliano ya mikataba ya kimataifa tusipeleke watu waliopata makarai "O" level "A" level na Chuo kikuu

At least i have lived in China for so many years, nawajua in and out...

Kama ishu ni namna gani ya kuingia nao mikataba, usomi tu hautoshi bali kuwa na watu wanaojua janja janja zahawa wageni, negotiators inapaswa kuwa no timu ya watu wanaojua ujasusi, sheria n.k
Wachina ndiyo wahataki win to win situation tofauti na labla tuseme Marekani, mchina kwenye negotiation ukizembea anakupiga tobo, bora Marekani anaweza asikuumize sana
 
Mkuu kwa hivyo vikozi vingine ni rahisi sana kupata GPA ya 4+, labda uniambie engineering au medicine


Hakuna Kozi rahisi au ngumu. Inategemea na Akili na Mtazamo wa Mtu.

Soma vizuri nilichoandika Mkuu.
 
Kuna akili na maarifa!
 
Chenge Chenge alisoma chuo namba moja duniani hana mkataba alio ingia mkataba wenye maslahi kwa Taifa
 
Change yuko fit kichwani lakini bado Taifa lilifanya madudu ya kutosha sasa huyu Ndunga..anazungumzia division I zipi inayozi ya mhongo!. hayo makaratasi , the so called vyeti msiwe mnayaamini sana. mfano mzuri ni Diamond
 
Tuweke vyeti hapa. Chako na changu.

Kuanzia Kidato cha nne, Cha sita na Shahada.

Uone kama utaongea huo upupu wako.
Vyeti? Are you stupid!?

Mimi nilishasoma kabla wewe na baba yako hamjazaliwa.

Nikafaulu mitihani yote nikatunukiwa elimu na shahada zote zilizopo chini ya jua!

Ninachopaswa kufanya hapa ni kukuonyesha wewe bank statements zangu, mishahara na marupurupu yote!

Vyeti pelekea mama yako akafungie sambusa!
 
Upo sahihi kabisa kwasisi tunaoujua mziki wa UNIVERSITY hasa vyuo kama UDSM, MZUMBE, UDOM, SUA ,ARDHI ,NIT, DIT

kupata Upper second Tu mziki wake lazima uchakae ,
Kwani hivyo vyuo vyenu uchwara huwa vinafundisha rocket sciences?
 


Kwenye Ishu ya pesa achana nayo.

Maana huko huna ujualo.

Mimi ni JokaJeusi. Siendeshwi na maneno matupu kama Kiduku Lilo. Narudia ishu ya pesa achana nayo kwa maana huna ujualo.

Huna la ziada angalau kwenye elimu ungepambana na mimi huko kwenye pesa umepotea njia.
 
Naona huyu kasahau jinsi Joka lenye makengeza lilivyotuingiza mkenge kwenye mikataba. Vipanga tatizo watatuibia. Hapa nadhani speaker angetakiwa aseme tupeleke vipanga walio wazalendo ambao hawatautumia ukipanga wao kupiga 10%.Chenge ni mfano mkuu.
 
Hata bungeni hii sifa ingefaa.

Vilaza kutunga sheria za nchi ndiyo chanzo cha sheria za ajabuajabu yaan kila bill ikiletwa wanagonga meza tu.
Umeona eeeh?
 
Go take a sleep, KID.
 
Naomba kujua matokeo ya O-level na advanced level ya Former CAG, kwa maono yangu nahisi hili dongo limezungushwa saaaana!
 
Elimu na hekima havihusiani lipo somi zombii hata shauri dogo na mtoto tena katukanwa anashindwa kujieleza huu ushauri wa spika unaonyesha Nchi inaenda mrama
Wapobakina Msukuma darasa la saba mbona wanawaendesha hapo bungeni? Ndugai ukomae Mr
 
Weka vyeti acha bla blaa kama bashite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…