Spika Ndugai: Lissu kwa miaka 10 ya Ubunge hakuna 'legacy' yoyote aliyoacha Jimboni kwake

Lisu hakuwahi kuwa mbunge wa singida bali alikuwa mbunge wa taifa, watu tulimpenda zito sio kwakuwa alikuwa mbunge wa kigoma bali taifa, ndugai ajitathimini kwakweli, mkoa anaotoka ndugai ndio unaoongoza kwa kutoa omba omba
 
Mtu chizi mwenye faili Mirembe eti anafunguliwa uzi kwenye forum ya hadhi ya JF.

Pathetic!
 
Angepelekaje ilihali yeye ni mpinzani na serikali ilikua haishirikiani na wapinzani...
 
Ahh mnyonge mnyongeni haki yake mpeni Ile ni habari nyingine ya Sheria mwanasheria Nguli Lissu anaijua ni jasiri asiye Igopa hata risasi wengi wangefinywa pumbu kidogo tu na mkasi siasa wangeacha siku hiyohiyo au kuunga juhudi mkono....pia maisha yake yamedhihirisha uwepo wa Mungu na utukufu wake haingii akilini risasi zote zile mwilini mwa mtu na akaishi..mwingine akipigwa kirisasi kimoja anakufa hii inatuambia kama mwisho haujafika hutakufa...mpaka Mungu atie sign....
 
Serikali gani ilikua madarakani wkt huo?....... Kwa hiyo Tundu Lissu ni mbunge tangu tanganyika ipate uhuru?.......

Hawa ccm hawana na hawajawahi kua na akili kabisa
 
Aseme tangu uhuru serikali haijawahi kutoa fedha kwa ajili ya maji.Lisu ana fungu?
 
Hivi Ndugai ana tatizo gani na Lissu? Maana Lissu hayupo bungeni lakini kila siku anamshambulia. Hivi jimboni kwake ni yeye anayepeleka maji au ni serikali. Amesahau kuwa yeye na serikali ya mwendazake ndio waliokuwa wanabagua wapinzani
 
Kwani ndugai kafanya Nini jimboni kwake? Nilipita huko maji wanabeba na punda.
 
Muonekano wa JIJI la KONGWA kwa Sasa
 
Nenda Kongwa Jimbo la Ndugai ndio utaelewa maana ya methali "Nyani haoni kundule!", Licha ya kujipendekeza kwa Magufuli, ni spika, ni mccm nk; Kongwa hoi bin taabani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…