Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Magufuli alishindwa kumuua Lissu,akafa yeye kabla yake.Mkijaribu tena mtakufa Wana CCM wote na familia zenu.Wajinga nyinyi.Na atapigwa tena akirudi , risasi ni haki ya msaliti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli alishindwa kumuua Lissu,akafa yeye kabla yake.Mkijaribu tena mtakufa Wana CCM wote na familia zenu.Wajinga nyinyi.Na atapigwa tena akirudi , risasi ni haki ya msaliti
Achana na JPM kwa Sasa. MATAGA bwana......
Ana bahati kwamba nafasi ya uSPika inampa hadhi ya kujadiliwa. Vinginevyo, huyu ni kielelezo cha aibu iliyoletwa na mwendazake katika taasisi muhimu za taifa hili. Watu aliowapa nyadhfa za kuongoza taasisi kuu za taifa wengi ni fyatu na wasio na haya kudhihirisha ujinga wao hadharani. Hata wanaohangaika kuitetea "legacy" nao ni hivyo hivyo. Hawana mantiki kabisa. Ni propaganda uchwara tu. Lissu apeleke maji kijijini? Utter stupidity.Hivi huyu mtu huwa anajiuliza yeye amecha legacy gani ktk;
Bunge
Jimbo lake
familia yake?
namshauri kufunga na kuomba hekima na busara kwani uelekeo alio nao ni mbovu sana.
Kaangalie Kongwa alafu kulinganishaLeo kwenye mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya maji, spika Ndugai amesema kwa masikitiko makubwa kuwa licha ya Tundu Lissu kuwa mbunge wa Ikungi kwa miaka 10 lakini hakuna alichofanya cha kukumbukwa na wananchi!
Ndugai amesema hata kijiji anachotoka Lisu hakuweza kuwapelekea maji kwa miaka kumi!
My take
Nguvu aliyoitumia Lissu mzee wa MIGA kutetea Acacia angeielekeza kutetea wananchi wa jimbo lake wangefika mbali sana kwa miaka 10.
Inasikitisha sana wananchi hawana maji alafu yeye anatetea wezi wa madini !!!
Sikatai kuwa kuna maeneo ambayo wapinzani walifanya vizuri, ila nimejaribu kuonyesha kuwa kukosekana maendeleo kwenye majimbo mengi ya wapinzani, kumetokana na juhudi za makusudi za serikali kupitia chama tawala ili kuwakomoa wabunge wa upinzani. ukikataa hoja hii basi pengine umekuwa si mfuatialiji mzuri wa siasa za Nchi hii au kwa makusudi umeamua kukataa tu.Mbona mbowe,Sugu, msigwa, mdee walipelekea maji majimbo yao?
Hasa pale zikichoka kufanya kazi yake, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ARV ni shiiiiida.
Inasikitisha sana hiiLeo kwenye mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya maji, spika Ndugai amesema kwa masikitiko makubwa kuwa licha ya Tundu Lissu kuwa mbunge wa Ikungi kwa miaka 10 lakini hakuna alichofanya cha kukumbukwa na wananchi!
Ndugai amesema hata kijiji anachotoka Lisu hakuweza kuwapelekea maji kwa miaka kumi!
My take
Nguvu aliyoitumia Lissu mzee wa MIGA kutetea Acacia angeielekeza kutetea wananchi wa jimbo lake wangefika mbali sana kwa miaka 10.
Inasikitisha sana wananchi hawana maji alafu yeye anatetea wezi wa madini !!!
Mbunge wa taifa hupatikanaje?Alikuwa mbunge wa taifa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inaonekana ilani ya ccm inalitambua jimbo la Lissu liko Libya sio Tz
Mbna alipita ubunge huko jimboni kwake.Siku Ndugai akipita bila kupingwa,natabiri nchi italipuka kwa shangwe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa kashadata!! Mnara hausomi... Kuna muda dawa hizi huwa zinaanza kugoma sasa ukishaona hivi basi safari ya mavumbini huwa i mbioni..ni muda wa maombi yetu kwake ili aongezewe siku hamna namna nyingine kwa kweli
Kuna kitu hakiko sawa nafsini mwake juu ya lissu na mbowe.Yani Ndugai yupo busy na mbowe na Lissu hadi naanza kumfikiria vibaya....