Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugai ana 25 Kongwa kama mbunge lakini kongwa yenyewe haina, maji, barabara, wala madawati.Unafaidika nini kutetea ujinga?
Tumsamehe tu huyu bwana kwani yaelekea kila siku anakuwa na ndoto kumkumbuka mwendazake na hizo ni maongezi ya ndotoni akiwa na mwendazake.Ndugai ana 25 Kongwa kama mbunge lakini kongwa yenyewe haina, maji, barabara, wala madawati.
Ni aibu sana kwa nchi kuwa na viongozi aina ya NdugaiTumsamehe tu huyu bwana kwani yaelekea kila siku anakuwa na ndoto kumkumbuka mwendazake na hizo ni maongezi ya ndotoni akiwa na mwendazake.
Nakumbuka kuna wakati furani walichangisha michango pale mjengoni karibu Mil 200 kwenda kuangalia Taifa stars wakati wa mashindano ya Kombe ya mataifa, lakini cha ajabu ama cha kusikitisha baada ya wiki chache akaja kuomba msaada wa bati kwa ajili ya ujenzi wa matundu ya choo jimboni kwake kutoka kwa mwendazake ambaye kipindi hicho alikuwa ziarani katika jibo hilo la bwana Job.
Ccm imetawala kwa miaka 60 sasa na nchi ndivyo ilivyo hivi na unashindwa kuilaumu unawalaumu wale wahanga wake ni kuonyesha ni jinsi gani ulivyo na fikra finyu.Nguvu aliyotumia kutetea acacia kwa nini hakutumia kutetea wapiga kura wake?
hiyo ni kanuni kama kwenda chooni.Mkuu jamaa anakaribia kurudi mavumbini it is not too long mtakuja kuniambia humu jamvini
Hali halisi kongwa ikoje?Leo kwenye mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya maji, spika Ndugai amesema kwa masikitiko makubwa kuwa licha ya Tundu Lissu kuwa mbunge wa Ikungi kwa miaka 10 lakini hakuna alichofanya cha kukumbukwa na wananchi!
Ndugai amesema hata kijiji anachotoka Lisu hakuweza kuwapelekea maji kwa miaka kumi!
My take
Nguvu aliyoitumia Lissu mzee wa MIGA kutetea Acacia angeielekeza kutetea wananchi wa jimbo lake wangefika mbali sana kwa miaka 10.
Inasikitisha sana wananchi hawana maji alafu yeye anatetea wezi wa madini !!!
Arv zimeadimika tena?Mkuu jamaa anakaribia kurudi mavumbini it is not too long mtakuja kuniambia humu jamvini
Sasa ndiyo mumpige RISASI??Leo kwenye mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya maji, spika Ndugai amesema kwa masikitiko makubwa kuwa licha ya Tundu Lissu kuwa mbunge wa Ikungi kwa miaka 10 lakini hakuna alichofanya cha kukumbukwa na wananchi!
Ndugai amesema hata kijiji anachotoka Lisu hakuweza kuwapelekea maji kwa miaka kumi!
My take
Nguvu aliyoitumia Lissu mzee wa MIGA kutetea Acacia angeielekeza kutetea wananchi wa jimbo lake wangefika mbali sana kwa miaka 10.
Inasikitisha sana wananchi hawana maji alafu yeye anatetea wezi wa madini !!!
Hawa Jamaa hawapo Bungeni lkn vivuli vyao vinamtesa Ndugai. Kuna siku huyu Ndugai ataropoka zaidi hadi kutamka kwa kinywa chake mwenyewe ni jinsi gani alivyoshiriki jaribio la Mh Lissu kupigwa risasi.Hivi huyu bwana hana kazi nyingine hapo Bungeni? anahangaika tu ooh Mbowe ooh Lema ooh Lisu , huyu jamaa vipi? kwakweli hapa tumepatikana , mambo yamaana hayaguswi hata kidogo hii ni takataka kabisa
Ccm kutawala kwa miaka 60 ndiyo sababu ya Lisu kuacha kutetea wapiga kura wake?Ccm imetawala kwa miaka 60 sasa na nchi ndivyo ilivyo hivi na unashindwa kuilaumu unawalaumu wale wahanga wake ni kuonyesha ni jinsi gani ulivyo na fikra finyu.
By 100% wewe utakuwa ni afande selle au musiba.Na atapigwa tena akirudi , risasi ni haki ya msaliti
Achana na JPM kwa Sasa. MATAGA bwana......Huo ndio uhalisia anashughulika kumnanga JPM mpaka jimbo linasahauka that was my point