Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,769
- 16,799
Kumtatua marinda bimdashi wakoKazi ya mbunge ni nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumtatua marinda bimdashi wakoKazi ya mbunge ni nini
Duh! Lissu hayupo bungeni lakini kivuli chake kinawatesa!!!Leo kwenye mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya maji, spika Ndugai amesema kwa masikitiko makubwa kuwa licha ya Tundu Lissu kuwa mbunge wa Ikungi kwa miaka 10 lakini hakuna alichofanya cha kukumbukwa na wananchi!
Ndugai amesema hata kijiji anachotoka Lisu hakuweza kuwapelekea maji kwa miaka kumi!
My take
Nguvu aliyoitumia Lissu mzee wa MIGA kutetea Acacia angeielekeza kutetea wananchi wa jimbo lake wangefika mbali sana kwa miaka 10.
Inasikitisha sana wananchi hawana maji alafu yeye anatetea wezi wa madini !!
Hivi huyu bwana hana kazi nyingine hapo Bungeni? anahangaika tu ooh Mbowe ooh Lema ooh Lisu , huyu jamaa vipi? kwakweli hapa tumepatikana , mambo yamaana hayaguswi hata kidogo hii ni takataka kabisa
Ndugu,Ni lini Lisu aliikumbusha serikali badala ya kuwa bize akitetea Acacia?
Yaani Lissu amekuwa mjadala bungeni!Leo kwenye mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya maji, spika Ndugai amesema kwa masikitiko makubwa kuwa licha ya Tundu Lissu kuwa mbunge wa Ikungi kwa miaka 10 lakini hakuna alichofanya cha kukumbukwa na wananchi!
Ndugai amesema hata kijiji anachotoka Lisu hakuweza kuwapelekea maji kwa miaka kumi!
My take
Nguvu aliyoitumia Lissu mzee wa MIGA kutetea Acacia angeielekeza kutetea wananchi wa jimbo lake wangefika mbali sana kwa miaka 10.
Inasikitisha sana wananchi hawana maji alafu yeye anatetea wezi wa madini !!!
Yuko mwingine alipiga picha shule ya msingi kijijini kwake Ndugai.Nakumbuka kuna kijana alipiga picha choo cha zahanati fulani huko Kongwa kilichokuwa na hali mbaya kiasi kwamba hata mende waliishi humo kwa machale na hata kama umebanwa kiasi gani ukiambiwa jisaidie humo haja inayeyuka.
Lakini kilikuwa kinatumiwa na wagonjwa wa zahanati husika yaliyomkuta huyo kijana alikamatwa na polisi na kusundwa ndani akiulizwa yeye ni nani apige picha na kuisambaza, kumbe shida ilikuwa ni jimbola spika kwamba limetiwa aibu.
Unabii wa nabii Lema unaelekea kutimiaHuyu Spika itakua aanakaribia.
Kwani alikuwa nazo lini?Yaani Lissu amekuwa mjadala bungeni!
Huyu spika kweli sasa kaishiwa hoja!
Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
Kumbe hujui, debe tupu ndio liko bungeni sasa hivi.Lisu ni debe tupu
Mpuuzi mkubwa huyo Ndugai na genge lake. Ni lini budget au maendeleo yalipelekwa mikoa ya upinzani? Mtwara kwenyewe kwa CUF mmeua Korosho. Mikoa ya Kaskazini maendeleo naona wanajifanya wenyewe kupitia vyama vyao vya maendeleo. Yaani acheni Siasa za chooni. Yule mbobezi wa hizo siasa majitaka hayupo tena na aliyepo sasa huo ushuzi hautaki. Sijui kwa nini huo umeme haukumalizi. Mnapakua damu kila siku mnaweka za ngamia. Shit.Leo kwenye mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya maji, spika Ndugai amesema kwa masikitiko makubwa kuwa licha ya Tundu Lissu kuwa mbunge wa Ikungi kwa miaka 10 lakini hakuna alichofanya cha kukumbukwa na wananchi!
Ndugai amesema hata kijiji anachotoka Lisu hakuweza kuwapelekea maji kwa miaka kumi!
My take
Nguvu aliyoitumia Lissu mzee wa MIGA kutetea Acacia angeielekeza kutetea wananchi wa jimbo lake wangefika mbali sana kwa miaka 10.
Inasikitisha sana wananchi hawana maji alafu yeye anatetea wezi wa madini !!!
Na miaka mingine nyuma ya hiyo miaka 10 kulikuwa na maji? Maana Tanzania tulipata uhuru mwaka 1961 na ukitoa miaka 10 ya Lissu unapata miaka 50 kabla yake, je kulikuwa na maji na hii miaka 10 ya Lissu ndiyo iliyoyaondoa? Naamini maji ni moja ya mahitaji muhimu ya binadamu na wananchi wana haki ya kuyapata. Lakini siyo huko tu, bado kuna sehemu nyingi Tanzania hakuna maji na nyingi maana yake more than one.Leo kwenye mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya maji, spika Ndugai amesema kwa masikitiko makubwa kuwa licha ya Tundu Lissu kuwa mbunge wa Ikungi kwa miaka 10 lakini hakuna alichofanya cha kukumbukwa na wananchi!
Ndugai amesema hata kijiji anachotoka Lisu hakuweza kuwapelekea maji kwa miaka kumi!
My take
Nguvu aliyoitumia Lissu mzee wa MIGA kutetea Acacia angeielekeza kutetea wananchi wa jimbo lake wangefika mbali sana kwa miaka 10.
Inasikitisha sana wananchi hawana maji alafu yeye anatetea wezi wa madini !!!
Wewe ndie shabiki.Jielekeza kwenye shutuma ondoa ushabiki, watu wanataka maji. Ushabiki haulizi maji. Tujifunze kukubaliana kwente mapungufu yetu kwa kujenga nchi bora.
Haijalishi ni mbunge wa chama gani kama alifanya uzembe wakati majimbo mengine wenzao walichangamkia fursa...ni mzembe. Na ondoa mawazo ya kijinga kwamba fulani akifanya uzembe na wewe ufanye uzembe then uutumie uzembe wa mtangulizi wako kama justfication ya kuzuia kukosolewa kwa uzembe wako wa sasa.Mkuu, niko sehemu toka nchi ipate uhuru kijiji hakina maji na kila mbunge alikuwa ni wa CCM, diwani mpaka mwenyekiti wa kijiji.
Kumlaumu Lissu ni kuonesha kuwa kila kijiji kina maji katika nchi isipokuwa cha Lissu? Hata kama alikaa miaka 10, kabla ya miaka hiyo si kulikuwa na mbunge wa CCM, mbona Lissu hakukuta maji??
You dont have a point, bro. You are spewing shyte!!
DC wa CCM, DED wa CCM, RC wa CCM, Waziri wa CCM, PM Wa CCM VP wa CCM na Rais wa CCM, Kwanini hawajapeleka maji kwenye hicho kijiji?!Lissu anapeleka miradi jimboni au serikali?
Vp kule kongwa 🤣🤣🤣🤣🤣Leo kwenye mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya maji, spika Ndugai amesema kwa masikitiko makubwa kuwa licha ya Tundu Lissu kuwa mbunge wa Ikungi kwa miaka 10 lakini hakuna alichofanya cha kukumbukwa na wananchi!
Ndugai amesema hata kijiji anachotoka Lisu hakuweza kuwapelekea maji kwa miaka kumi!
My take
Nguvu aliyoitumia Lissu mzee wa MIGA kutetea Acacia angeielekeza kutetea wananchi wa jimbo lake wangefika mbali sana kwa miaka 10.
Inasikitisha sana wananchi hawana maji alafu yeye anatetea wezi wa madini !!!
Maji anapeleka nani au raisi wakuuu wa wilaya wakurugezi mkuu wa mkoa wapo mkoani kwa jambo ganiLeo kwenye mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya maji, spika Ndugai amesema kwa masikitiko makubwa kuwa licha ya Tundu Lissu kuwa mbunge wa Ikungi kwa miaka 10 lakini hakuna alichofanya cha kukumbukwa na wananchi!
Ndugai amesema hata kijiji anachotoka Lisu hakuweza kuwapelekea maji kwa miaka kumi!
My take
Nguvu aliyoitumia Lissu mzee wa MIGA kutetea Acacia angeielekeza kutetea wananchi wa jimbo lake wangefika mbali sana kwa miaka 10.
Inasikitisha sana wananchi hawana maji alafu yeye anatetea wezi wa madini !!!
Na toka tupate Uhuru watawala ni CCM.DC wa CCM, DED wa CCM, RC wa CCM, Waziri wa CCM, PM Wa CCM VP wa CCM na Rais wa CCM, Kwanini hawajapeleka maji kwenye hicho kijiji?!