Spika Ndugai: Lissu kwa miaka 10 ya Ubunge hakuna 'legacy' yoyote aliyoacha Jimboni kwake

Hivi ndungai kafanya nini kongwa cha kukumbukwa?
 
Anaweweseka sana
 
Anawafedhehesha Sana wanae huyu Baba😂😂😂chuki chuki imemjaa
 
Watanzania wengi akili zao zipo kama anavyowaza huyu mh.
Wajibu wa serikali tunamtwisha mbunge. Kama hatujui kuwa mbunge hakusanyi kodi yoyote.
Jumlisha akili za jiwe kuwa majimbo ya upinzani yasipate huduma ya serikali ila yatozwe kodi.


Akili hizi bahati mbaya zinarithiwa na vijana wadogo tena wasomi.
Bado tuna safari ndefu.
 
Tanzania tuna balaa sehemu nyeti kama hiyo anapata mtu asie na sifa kabisa kiuwekedi na maadili hana kabisa na ni kinala wa kueneza chuki..
 
Tanzania tuna balaa sehemu nyeti kama hiyo anapata mtu asie na sifa kabisa kiuwekedi na maadili hana kabisa na ni kinala wa kueneza chuki..
Acha uhuni wa Lisu uwekwe hadharani
 
Huyu arudishwe India hukupona vizuri.
 
kongwa ndiyo mtambo wa kuzalisha ombaomba waliotapakaa dar es salaam.
 
Huo ndio uhalisia anashughulika kumnanga JPM mpaka jimbo linasahauka that was my point

Mkuu, niko sehemu toka nchi ipate uhuru kijiji hakina maji na kila mbunge alikuwa ni wa CCM, diwani mpaka mwenyekiti wa kijiji.

Kumlaumu Lissu ni kuonesha kuwa kila kijiji kina maji katika nchi isipokuwa cha Lissu? Hata kama alikaa miaka 10, kabla ya miaka hiyo si kulikuwa na mbunge wa CCM, mbona Lissu hakukuta maji??

You dont have a point, bro. You are spewing shyte!!
 
Hivi ndugai naye ni wa kusikilizwa?

Afafanue kwanza juu ya ufisadi wa ile gharama ya matibabu yake India (us$ 12 million) inayompa sifa ya kuwa mgonjwa ghali zaidi duniani !!!
 
Mkuu jamaa anakaribia kurudi mavumbini it is not too long mtakuja kuniambia humu jamvini


Kweli hata mwendazake alianza taratibu kama huyu....tuwe na subira kidogo kwani anamalizia kuandika WISH
 
Kwani huyo Lissu alimaliza kweli hiyo miaka kabla ya huyo Ndugai na akina Magufuli kufanya njama kutaka kumuua.

Je huyo Ndugai huko anakotoka kuna nini cha maana zaidi ya huko anakotoka huyo Tundu Lissu. Na je, huyo Tundu Lissu alikuwa anakusanya kodi huko kwao.

Unaweza ukawa spika na bado ukawa mjinga tu, uspika haumuondolei mtu ujinga kama ni mjinga kama huyu Ndugai.
 
Nguvu aliyotumia kutetea acacia kwa nini hakutumia kutetea wapiga kura wake?
 
Huyu jamaa ni k iliyo kwenye siku zake kabisa
 
Sabufa Ndugu yai asipomsema Mbowe Basi atamsema Lissu. Bila kuwataja Hawa labda atumie vumbi la kongo
 
CCM ipo madarakani tangia uhuru, lakini kuna maeneo mengi tu nchi hii hayana maji safi! Hata hapo Dodoma tu (ambapo wabunge wamekuwa wa CCM kwa miaka mingi), kuna maeneo maji hakuna....achilia mbali huko mikoani na hata Dar. Angeanzia hapo kwanza tutafakari pamoja!
 
Stupid minds!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…