Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,652
- 2,273
Mimi Sina tatizo na huo mwito, tatizo ni Kwanini kabati hilo linachelewesha sana miito yake, linakwama wapi, au Lugalo hakuna umeme?!🤣Ukisikia na kuona uhorojokaji wa kiwango hiki, hapo ujue tu kuna mtu lile kabati la baridi kule Lugalo linamwita kwa mbali.
Au nakosea ndugu zangu? Maana tumepata uzoefu by now!