Spika Ndugai: Mbowe alikuwa Ulaya sasa katumwa na watu wake anapotosha kuhusu ripoti ya CAG

Spika Ndugai: Mbowe alikuwa Ulaya sasa katumwa na watu wake anapotosha kuhusu ripoti ya CAG

Ukisikia na kuona uhorojokaji wa kiwango hiki, hapo ujue tu kuna mtu lile kabati la baridi kule Lugalo linamwita kwa mbali.

Au nakosea ndugu zangu? Maana tumepata uzoefu by now!
Mimi Sina tatizo na huo mwito, tatizo ni Kwanini kabati hilo linachelewesha sana miito yake, linakwama wapi, au Lugalo hakuna umeme?!🤣
 
Kwa uonevu kwakuwa sio mwanasiasa mwenzake, ila kamfumbia macho mwanasiasa mwenzake. Katika mazingira hayo kuna querries zozote au utapeli?
tindo kwani yule mtuhumiwa mwingine ni mtumishi wa wizara ya maliasili? Au bado ni mtumishi wa wizara ya afya? Kama huyu dada hauhusiki hawezi kupata matatizo.
 
Mataga ndo akina nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waramba miguu kama wewe
JamiiForums1992601550.jpg
 
Mkuu mimi ni auditor na nilishawahi kushiriki audit za CAG. Audit queries huwa zinakuwa communicated kwa wahusika kabla ya final audit report haijatoka ili kama wana majibu ziweze kuondolewa. Audit queries zikikosa majibu ndio hapo audit report inakuwa finalised na kupewa mhusika. .
Mueleze huyu na wenzie. Watu wanajifanya wajuaaaaji kumbe empty sets.

Yaani Rais na Bunge wakapewe report nusunusu? Then iweje? Kwamba watuhumiwa wakijibu tena then CAG akaedit na kumpa tena Rais & Bunge?
 
Dada hata 40 ya babe wako haijaisha, unakuja kushindana na wanaume huku?! Omboleza mama, tutakusubiri umalize!
Mkuu hapa ndiyo wapo wanapigana kuhakikisha kuwa wanamsafisha hata kwa kutumia dodoki la misumali
 
Kwa nini Assad mlimfukuza!?

Ndugai huwa nakkibali sana ila kwa hoja yako hii umenidhalikisha.!
 
Back
Top Bottom