Spika Ndugai: Mbowe alikuwa Ulaya sasa katumwa na watu wake anapotosha kuhusu ripoti ya CAG

Spika Ndugai: Mbowe alikuwa Ulaya sasa katumwa na watu wake anapotosha kuhusu ripoti ya CAG

Amejisahau tu, au Labda alisahau dawa zake asubuhi! Utamaduni wa kusema nchi wahisani ni mabeberu eti, Tupo kwenye vita ya uchumi, umeisha kama wiki mbili zilizopita!
Inawezekana maana hata hatujui ni kwanini aliamua kubadilisha njia ya kuingilia bungeni.
 
Waambie Mkuu....mi huwa naangalia michango ya wengi humu wasojua chochote kuhusu ukaguzi nacheka tu.

Ila nitailaumu serikali yangu ya CCM kuwaacha mitaani waliomaliza form four 2012. Walitakiwa kuwa jela wote....ndo wanatusumbua humu jamvini.
Mmh? Tena [emoji2][emoji3][emoji2][emoji3][emoji2][emoji2][emoji3][emoji2]
 
Ndugai sijui ni kiongozi wa aina gani, wish ningekuwa na uwezo nimfumue kile kichwa niangalie ubongo wake ukoje.
Jaribu kumchunguza alivyo vimba vimba usoni na kichwa utagumdua kuna dawa anatumia
 
Mimi nimeisikiliza hotuba ya Mh. Mbowe hakuna mahali amegusia ripoti ya CAG. Huyu Ndungai usaliti na unafiki wake aliounyesha kwenye mradi wa Bandari ya Bagamoyo ndiyo unamtesa anatafuta scapegoat. Ndungai ibebe mwenyewe aibu yako. Hufai kabisa wewe.View attachment 1750279
Hana akili tu na ana roho ya kinyama
 
Huu ndiyo ukweli, leo spika Ndugai amesema Mbowe ametumwa kuja kuharibu riport ya CAG na kwa kwasababu alikuwa ulaya bila shaka bado Ndugai anaamini katika UBEBERU. Jambo la kusikitisha pia Ndugai ameshindwa kujibu hoja za taasisi ya CHADEMA bali amemuatack Mbowe personaly, na huu ni udhaifu mkubwa. Binafsi naamini uharibifu wa katiba na mambo yaliyotokea uchaguzi mkuu yalikuwa engineered Ofisini kwa Ndugai.
ALIPOKUWA ANAUMWA ALIPANDA NDEGE KWENDA KWA MABEBERU KUTIBIWA. HUYU MTU NI TAAHIRA ASIYE NA KUMBUKUMBU.

YULE MWINGINE ALIKUWA ANAUMWA ILIBIDI AFE MIAKA MINGI ILIYOPITA ILA MABEBERU WAKAMUWEKEA BETRI KWENYE MOYO, NA KWA JINSI ASIVYO NA SHUKRANI AKAWA ANAWATUKANA WALIOSHIKA UHAI WAKE, Magofool!
 
Kwa hiyo Mbowe ndiyo anasababisha taarifa za hizo kamati kusomwa mkutano wa 4 badala ya wa 5, na siyo ratiba ya Bunge?

Halafu hizo kamati zina wataalamu kiasi gani kuwazidi wale wa ofisi ya ukaguzi? Lakini hizo kamati ndiyo zitajibu hoja za CAG na siyo taasisi husika zilizotuhumiwa, na mwisho kwa mabadiliko haya ya Ndugai haoni kuwa hizo taarifa za kamati zitakuwa hazina uhalisia zaidi ya kujibu hoja za kumbagaza CAG kama alivyoanza yeye, bunge likiitwa dhaifu tusisikie kutisha watu pingu na maazimio ya kutofanya kazi na CAG maana ndiyo kawaida yake
Mwenyekiti wa mojawapo wa hizo kamati si mmoja wa wale wabunge wa viti maalum wasio na chama?

Amandla...
 
Huu ndiyo ukweli, leo spika Ndugai amesema Mbowe ametumwa kuja kuharibu riport ya CAG na kwa kwasababu alikuwa ulaya bila shaka bado Ndugai anaamini katika UBEBERU. Jambo la kusikitisha pia Ndugai ameshindwa kujibu hoja za taasisi ya CHADEMA bali amemuatack Mbowe personaly, na huu ni udhaifu mkubwa. Binafsi naamini uharibifu wa katiba na mambo yaliyotokea uchaguzi mkuu yalikuwa engineered Ofisini kwa Ndugai.
Tumsamehe bure mgonjwa ghali zaidi duniani...HAJITAMBUI...haya magonjwa huharibu mfumo wa ufahamu wa mtu
 
Spika wa Bunge Job Ndugai, amezitaka kamati za Bunge za Hesabu za Serikali (PAC) na Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) zichambue ripoti ya CAG na kuiwakilisha bungeni katika mkutano wa nne, kwa kuwa inapotoshwa huku akimtaja Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kuwa mmoja wapo

Spika wa Bunge Job Ndugai amezitaka kamati za Bunge za Hesabu za Serikali (PAC) na Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) zichambue ripoti ya Mdhibiti na Mkuguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) na kuiwakilisha bungeni katika mkutano wa nne badala ya mkutano wa tano, kwa kuwa inapotoshwa.

Akizungumza leo Jumatatu Aprili 12 2021, Ndugai huku akimtaja Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amedai kuwepo upotoshaji wa ripoti hiyo.

Kauli ya Spika imekuja siku moja baada ya Mbowe kuhutubia kupitia mitandao ya jamii, ambapo pamoja na mambo mengine alilituhumu Bunge kwa vitendo vya rushwa.

“Watu wanabeba tu mabilioni yameibiwa sasa huyo rafiki yangu Freeman Mbowe alikuwa Ulaya huko sasa katumwa na watu wake huko anapotosha mambo,” amesema.

Amesema sio watu wengi wenye uelewa wa kuchambua taarifa za kihasibu na hivyo kunaweza kukawa na ujenzi wa kituo cha afya wa Sh 500milioni lakini Sh 499milioni zimetumika vizuri kabisa.

Hata hivyo, amesema lakini kati ya fedha hizo Sh1milioni ikikosa kiambatanisho fulani ni kawaida wakaguzi wanahoji fungu zima la Sh 500milioni.

Amesema kwa hiyo unaposoma mtaani unaona sh 500 zimeibwa lakini kumbe pale ni Sh milioni moja ndio hazina risiti.

Amesema kamati hizo zitaanza mapema kuchambua ripoti hizo ili waangalie ratiba yao na kuwaelimisha watu kuhusiana na ripoti ya CAG ambayo ni taarifa nzuri lakini baadhi ya watu wanabeba na kupotosha tu.

Mwananchi
Hivi ndugai spika wa bunge anahofu ya mungu kwel?. Samahani wadau nimewaza Sana hasa Sisi tunae tumia kula nyama ya ngurue 85% maranyingi akilizetu some time zinarogwa na akili za yule mdudu maana wala ngurue wengi ni wanafiki na wanaroho mbaya,onasasa. Marais wote mungu amewaita mapema na wale waupande wapili wanadunda na kuenjoy kazi yao waliyo ifanya kwa haki 80%.
Ukiwa duniani tenda wema 80% tuache unafiki.
 
Ndugai yuko sahihi.

Mbowe amechambuliwa huko ulaya taarifa ya CAG akameza anakuja kujiropokea hapa Bongo.

Kwa tunaojua mambo ya kihasibu hatushangai na hua hatukurupukii taarifa ya CAG maana mkaguzi asipoelewa kitu basi hukibeba kama kilivyo kwenye report yake.

Ndio maana cases nyingi ambazo hua CAG anataja, watuhumiwa wakiitwa kwenye kamati za Bunge hua majibu yanatolewa na baadae zinaonekana hazina msingi.

Sasa Mbowe ametafsiriwa report na wazungu huko anakuja kujiropokea tu hapa.
Umesikikiza hotuba ya MBOWE?
 
Back
Top Bottom