Mbilima yimo
JF-Expert Member
- Sep 14, 2020
- 286
- 348
Kwa nini hukuikataa hiyo chanjo ya ndui?Nshaipata utotoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini hukuikataa hiyo chanjo ya ndui?Nshaipata utotoni.
Kwa nini hukuikataa hiyo chanjo ya ndui?
Spika siku zote huwa upande wa Serikali dhidi ya CAG badala ya kuwa kinyume chake
Mimi pia najiuliza Spika ni mteule wa Serikali au Wabunge. Akumbushwe wajibu wake na wajibu wa Bunge. Anatuzalilisha wanachama hata Kama uelewa wetu mdogoHapo ndio najiuliza hili Bunge ni la wananchi ama ni la serikali.?
CAG hana huruma na mzaha kabisa.Spika wa Bunge Job Ndugai, amezitaka kamati za Bunge za Hesabu za Serikali (PAC) na Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) zichambue ripoti ya CAG na kuiwakilisha bungeni katika mkutano wa nne, kwa kuwa inapotoshwa huku akimtaja Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kuwa mmoja wapo
Spika wa Bunge Job Ndugai amezitaka kamati za Bunge za Hesabu za Serikali (PAC) na Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) zichambue ripoti ya Mdhibiti na Mkuguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) na kuiwakilisha bungeni katika mkutano wa nne badala ya mkutano wa tano, kwa kuwa inapotoshwa.
Akizungumza leo Jumatatu Aprili 12 2021, Ndugai huku akimtaja Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amedai kuwepo upotoshaji wa ripoti hiyo.
Kauli ya Spika imekuja siku moja baada ya Mbowe kuhutubia kupitia mitandao ya jamii, ambapo pamoja na mambo mengine alilituhumu Bunge kwa vitendo vya rushwa.
“Watu wanabeba tu mabilioni yameibiwa sasa huyo rafiki yangu Freeman Mbowe alikuwa Ulaya huko sasa katumwa na watu wake huko anapotosha mambo,” amesema.
Amesema sio watu wengi wenye uelewa wa kuchambua taarifa za kihasibu na hivyo kunaweza kukawa na ujenzi wa kituo cha afya wa Sh 500milioni lakini Sh 499milioni zimetumika vizuri kabisa.
Hata hivyo, amesema lakini kati ya fedha hizo Sh1milioni ikikosa kiambatanisho fulani ni kawaida wakaguzi wanahoji fungu zima la Sh 500milioni.
Amesema kwa hiyo unaposoma mtaani unaona sh 500 zimeibwa lakini kumbe pale ni Sh milioni moja ndio hazina risiti.
Amesema kamati hizo zitaanza mapema kuchambua ripoti hizo ili waangalie ratiba yao na kuwaelimisha watu kuhusiana na ripoti ya CAG ambayo ni taarifa nzuri lakini baadhi ya watu wanabeba na kupotosha tu.
Mwananchi
Wabongo bana Dubai ni ulaya?Ndugai yuko sahihi.
Mbowe amechambuliwa huko ulaya taarifa ya CAG akameza anakuja kujiropokea hapa Bongo.
Kwa tunaojua mambo ya kihasibu hatushangai na hua hatukurupukii taarifa ya CAG maana mkaguzi asipoelewa kitu basi hukibeba kama kilivyo kwenye report yake.
Ndio maana cases nyingi ambazo hua CAG anataja, watuhumiwa wakiitwa kwenye kamati za Bunge hua majibu yanatolewa na baadae zinaonekana hazina msingi.
Sasa Mbowe ametafsiriwa report na wazungu huko anakuja kujiropokea tu hapa.
haya ndio yanamfanya ndugai kuwa kigeugeu na mtu asie na msimamo. aibu sanaCAG hana huruma na mzaha kabisa.
Nimeona ametoa hati ya mashaka Wilaya ya Bahi. Mkurugenzi wa Wilaya ni mke wa Ndugai.
CAG ameweka wazi ufisadi wa sh.364,107,100 mapato ya ushuru yaliyotafunwa bila kupelekwa benki.
Bibie safari ya Ughaibuni tutakayoenda lazima chanjo ya Homa ya manjano ikuhusu sijui kama utagoma.Unafahamu inatolewa wakati upi?
Bibie safari ya Ughaibuni tutakayoenda lazima chanjo ya Homa ya manjano ikuhusu sijui kama utagoma.
Ni ujinga tu unawasumbua, ripoti zote kila mwaka ziko hivyo,zinaonyesha mapungufu katika maeneo mbalimbali na hazimhukumu mtu moja kwa moja bali zinaacha jukumu la kurejebisha au kuwajibisha kwa mamlaka husika.Hakika sipati picha kwanini kuna baadhi ya Watu wanajaribu kutumia mpaka Nguvu zao zote kupinga Ripoti ya CAG .CAG ni Mteule wa Hayati Magufuli,Hayati Magufuli alimwamini CAG ndio maana Akamteua leo iweje mpinge Utendaji wa CAG aliyeteuliwa na Hayati Magufuli? Mnavyomwamini Hayati Magufuli kwa Utendaji Wake basi Muaminini na CAG kwa Ripoti yake Acheni Unafiki .CAG ameripoti kile Alichokagua na kuelezwa na Watendaji Wenyewe.Ripoti ya CAG iheshimiwe na ndio Sababu Rais Wetu Ameipokea.