Spika Ndugai: Miradi yote aliyoacha Rais Magufuli iko salama

Mji wa kiserikali Dodoma umeshakamilika.. Ila kama nauona ukigeuka na kuwa magofu... Loh..

Inasikitisha. Zimetumika fedha nyingi mnoo.
Dodoma kuwa makao makuu ni mpango wa siku nyingi...Magufuli kautekeleza
 
Mafisadi wanatabasamu ila hawataweza
Ukiona JK anaingia hakuna jinsi ya kukwepa ufisadi na Samia hana ubavu wa kumkatalia! Kinachoweza kutuokoa ni kuwa na VP imara na mzalendo wa Tanganyika
 
Hotel ya kitalii chato vip?
Tangu tarehe 17 mwezi march Tanzania imekumbwa na simanzi isiyo na kifani mara baada ya kutangazwa kwa kifo cha rais Magufuli.
Mamilioni ya watanzania wameangua kilio kila kona kwamba sasa mwokozi wao ameondoka, cha kushitusha ni kwamba wananchi wa hali ya chini kabisa ndiyo wanaoongoza kwa kilio kinyume na tulivyokuwa tumeaminishwa kwamba Magufuli alikuwa ananyonga wanyonge!
Kitendo cha hayati rais Magufuli kuagwa na mamilioni ya watanzania huku wakiangua vilio njia nzima na kutandika kanga zao chini ili mwili upite imeenda kinyume kabisa na wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu na genge lake.

Kwa jinsi msiba huu unavyoenda naamini utakuwa darasa tosha kwa wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu ,Godbless Lema, Chahali, Ngurumo, Mange Kimambi na wengine wengi, sasa wataelewa kumbe watanzania siyo vilaza.
Wataelewa kumbe watanzania wanajua yupi anapigania haki zao kwa vitendo na ni yupi ni mpiga makelele nyuma ya keyboard.

Kwa mapenzi haya yanayoonyeshwa na Watanzania kwenye msiba huu ni lofa tu atakayeendelea kuamini kwamba eti Tundu Lisu aliibiwa kura kwenye uchaguzi mkuu uliopita.

Wito wangu kwa wasaliti wa nchi hii wanaoshangilia msiba kwamba sasa Magufuli ameondoka watarudi Tanzania na kuanza tena kutumika kuiba rasilimali za nchi hii kama walivyokuwa wanafanya huko nyuma wajue tu kwamba wanapoteza muda.
Watanzania siyo vilaza ,wanajua fika Tundu Lisu aliwatisha kwamba watashitakiwa MIGA ikiwa watabadili sheria za madini.
Tundu Lisu aelewe kuwa hawezi kuwa rais wa Tanzania kwa kushinda Twitter akikejeli kila lililojema kuhusu nchi yetu,
Tundu Lisu kupitia msiba huu atakuwa ameelewa na kupata darasa kwamba ukitaka kupendwa na Watanzania tumikia watanzania na siyo kutumikia Acacia.
 
Wanyonge ni wanyonge tu hawajawahi kukuwa haki yao
 
Watanzania tunavushwa na Mungu siyo mtu mtu tuu tena mzee!!

Akajibu utoporo wake huko kwa mola.
Anajifanya mungu mtu.kiburi cha uzima kumbe uzima nusu.

Anatembea dead body siku mbili tu kwishne!!!eti mlificha??? Asa kilio kimewaumbua si mngeendelea kumficha!! Sasa tuone!!

Mumzike kimya kimya km Aeriel shalon! Alivozikwa!!

Ole wenu km mmedanganya chanzo cha kifo.kumbe akafa kwa Covid eti mkaficha! Sababu beberu asiwacheke!! na nyie mtakufa soon!!!

Yule beberu kapima kwa corona satelites majibu anayo!!hata mkiongopa majibu yapo.

km mlisema ukweli mko salama sana. Mliona aibu kumpeleka USA? Beberu angewanyanyasa mpaka mtie akili.
Sasa mtu Wewe unajua nje hawakupendi si ujipendekeze nyumbani kwenu upendwe???

Madaktari wanaolinda afya yako unawanyanyasa unawaita fake sasa umeona?? Umeona??Eti unatumbua!! ukafurahi ukawananga kitendo chao cha kusaidia watanzania bure!!
sasa wewe leo!! Jiandae tu!! Kutumbuliwa na nyenyere wanakula mafuta futa yale yote uliowazurumu mishahara yao ukala wewe!!!

Zilizo baki ukajenga uwanja wa ndege kwenu! Hkn ndege itakayo tua hapo zaidi ya ile ya kukuzika.hela ya zuruma hiyo ilikupa kiburi ukafanya mambo ya hovyo!ukasahau kuweka kigae cha maana.

hata hao madaktari waliobaki kukutibu hiyo covid. Ulitaka msaada wao. Lkn hawakukuamini!! Walijua one day ukishiba mtori utawageuka tu!! Shukrani hakuna

Ulikuwa na kiburi cha uzima ukiamini km ungeumwa ulitegemea kutibiwa nje!!

Lkn sasa zama zimebadirika ghafla ungetua wapi? Kwa nani? Mungu hadhihakiwi Walipe wale madaktari uliowatumbua kwa utumishi wao! muwe salama.

Ukatamka baada ya kushiba vya Ikulu watu wataishi km Mashetani!!! Hukujua kuna watu wa Mungu humo!! Umewajumuishamo.

Leo nani anaishi km shetani?? Tena Malaika hawajakupa muda wa kutubu!! Bora angekupatia mda tena. Miaka mitano ya awali n ili utubu kitu hicho hukufanya yamekukuta!

Hili neno nashindilia msumari iwe kumbukumbu kwa wale watawala wajai wenye viburi km gujiwe!!

Akhsanteni sana kwa kunisikiliza!!
 
Tangu tarehe 17 mwezi march Tanzania imekumbwa na simanzi isiyo na kifani mara baada ya kutangazwa kwa kifo cha rais Magufuli.
Mamilioni ya watanzania wameangua kilio kila kona kwamba sasa mwokozi wao ameondoka, cha kushitusha ni kwamba wananchi wa hali ya chini kabisa ndiyo wanaoongoza kwa kilio kinyume na tulivyokuwa tumeaminishwa kwamba Magufuli alikuwa ananyonga wanyonge!
Kitendo cha hayati rais Magufuli kuagwa na mamilioni ya watanzania huku wakiangua vilio njia nzima na kutandika kanga zao chini ili mwili upite imeenda kinyume kabisa na wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu na genge lake.

Kwa jinsi msiba huu unavyoenda naamini utakuwa darasa tosha kwa wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu ,Godbless Lema, Chahali, Ngurumo, Mange Kimambi na wengine wengi, sasa wataelewa kumbe watanzania siyo vilaza.
Wataelewa kumbe watanzania wanajua yupi anapigania haki zao kwa vitendo na ni yupi ni mpiga makelele nyuma ya keyboard.

Kwa mapenzi haya yanayoonyeshwa na Watanzania kwenye msiba huu ni lofa tu atakayeendelea kuamini kwamba eti Tundu Lisu aliibiwa kura kwenye uchaguzi mkuu uliopita.

Wito wangu kwa wasaliti wa nchi hii wanaoshangilia msiba kwamba sasa Magufuli ameondoka watarudi Tanzania na kuanza tena kutumika kuiba rasilimali za nchi hii kama walivyokuwa wanafanya huko nyuma wajue tu kwamba wanapoteza muda.
Watanzania siyo vilaza ,wanajua fika Tundu Lisu aliwatisha kwamba watashitakiwa MIGA ikiwa watabadili sheria za madini.
Tundu Lisu aelewe kuwa hawezi kuwa rais wa Tanzania kwa kushinda Twitter akikejeli kila lililojema kuhusu nchi yetu,
Tundu Lisu kupitia msiba huu atakuwa ameelewa na kupata darasa kwamba ukitaka kupendwa na Watanzania tumikia watanzania na siyo kutumikia Acacia.
Akhsante baba!! umenikumbusha Mange ngoja nimfuate hukooo!!! kunako ukurasa wake huyu atasema kil kitu km ni covid au hiyo fabulesheni yenu......
 
Leo Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai wakati akitoa salamu za pole kufutia kifo cha Rais Magufuli, amewataka watanzania kuwa watulivu na kusema ilani ya CCM ya 2020 - 2025 na miradi yote ya maendeleo aliyoacha Rais Magufuli itatekelezwa kwani fedha zote za miradi hiyo zilikuwa zinapitishwa na Bunge.

Amewataka wabunge ambao kupitia kamati mbalimbali sasa hivi wako wanatembelea miradi hiyo kuwa watulivu.

=======

SPIKA NDUGAI: Ikumbukwe kwamba mheshimiwa Rais kwa nafasi yake ni sehemu ya pili ya Mhimili wa Bunge kwahiyo ni mdau wetu muhimu sana katika uendeshaji wa Bunge na shughuli za Bunge kwa ujumla wake kwahiyo tumepata pigo kubwa sana.

Natoa pole nyingi kwa mheshimiwa makamu wa Rais, mama Samia Suluhu, viongozi wa serikali, kipekee tunatoa pole nyingi sana kwa mama Janeth Magufuli, familia ya mheshimiwa Rais wetu lakini kikubwa zaidi kwa watanzania wote popote pale walipo.

Kama mnavyofahamu ndugu waandishi, waheshimiwa wabunge walikuwa katika ziara za kukagua miradi ya maendeleo kutokana na utekelezaji wa bajeti inayoendelea ambayo inaishia tarehe 30 June mwaka huu.

Imebidi tutoe wito na maelekezo kwamba, sasa wabunge wote waliokuwa katika waliokuwa katika ziara hizo za ukaguzi wa maendeleo warudi Dodoma haraka sana.

Kwahiyo wabunge wako njiani kutoka sehemu mbalimbali za nchi kurudi hapa Dodoma.

Kama tunavyojua, mheshimiwa Magugufuli ana mambo ambayo alijipambanua mapema, ni mengi sana lakini kwa kifupi alikuwa ndio Rais mjenga nchi hasa katika eneo la miundombinu. Miundombinu ya barabara, reli, bandari, shirika letu la ndege, ujenzi wa viwanja vya ndege, miradi mikubwa mikubwa ya maji, miundombinu ya elimu, eneo la afya. Sijui ni eneo gani utaweza kusema kwamba mheshimiwa Rais ameweka kumbukumbu ya aina yake.

Kwahiyo tunayo kazi kuwa sana sisi Watanzania ya kuhakikisha kwamba tunaendeleza nngwe ambayo amekwisha kuiweka ili kuhakikisha kwamba kazi zote alizokuwa akizisimamia ikiwemo ya utekelezaji wa ilani ya chama cha Mapinduzi ya mwaka 2020-25 na kwa mambo mbalimbali ambayo aliyaainisha kupitia hotuba ambazo alizitoa hapa bungeni yeye mwenyewe tunaendelea kuzisimamia kwa faida kubwa zaidi ya Mtanzania.
Hahahahha mtatapatapa sana. Itoshe tu hukusema nchi haiongozwi na nyapara tena. He is no more. Kutapanya pesa za umma kwa matamko ya majukwaani sasa basi. Hakuna kupora korosho tena. Ati unatafuta kangomba pumbavu
 
Dah! aisee kweli hata mimi nitaumia sana kama miradi itasimama. Jana nimeenda stendi mpya Mbezi, jamani jamani sio mchezo wazee ile stendi ni ya kibabe sana, kwa hapa Afrika ya Mashariki nadhani itakuwa inakimbiza.
Wakati tunapita wami pale nikaangalia zile nguzo upande wa kulia kule na ile barabara iliyochongwa kwaajili ya daraja jipya, dah bandugu tuacheni utani JPM ameondoka mapema sana, nilipata majonzi ghafla nikamkumbuka mzee wetu. Kile kidaraja cha wami napita pale mwaka wa 20 sasa kidaraja hichohicho, laiti lingekuwa limekamilika ndugu zangu wa njia hii wangefurahi mno

RIP JPM.
 
Lakini nimefarijika sana Jana kwa hotuba ya makamu wa rais Dr Mpango
 
Kuna mwuungwana kaandika, mwaka huu kuna watu wataokota makopo hadi majalalani.

Hiiiiii bagosha!
 
Back
Top Bottom