Spika Ndugai: Miradi yote aliyoacha Rais Magufuli iko salama

Spika Ndugai: Miradi yote aliyoacha Rais Magufuli iko salama

Ni vizuri somo la historia ya nchi yetu limeanzishwa hiyo miradi yoote itawekwa humo
 
MRADI WA UMEME WA BWAWA LA NYERERE NDO UANZE.

maana japo ametangulia mtetezi wetu, sisi wanyonge nchi ikiwa na umeme wa uhakika mambo yetu yataenda.
 
Vyote ni muhimu hapo kikubwa kuangalia lipi la muhimu kwa wakati husika. Kutaka yote kwa wakati mmoja big noooooo
 
Mji wa kiserikali Dodoma umeshakamilika.. Ila kama nauona ukigeuka na kuwa magofu... Loh..

Inasikitisha. Zimetumika fedha nyingi mnoo.
 
Ningekuwa vyema na jambo la maana zaidi ili kumuenzi Magufuli vizuri tukamilishe Uwanja wa ndege wa chato na ule uwanja wa Mpira mkubwa kuliko yote Afrika.
 
Ya muhimu ni namba 1 na 3 tu. Mingine tupa kule tuinue vipato vya watu mifukoni.
 
Kuna wale waliokua wanapewa milioni 300 per month kama ruzuku ya kuendesha chama, ajabu hata ofisi ya milioni 10 hawana. Eti wanataka wapewe nchi watufikishe kaanani kwenye maziwa na asali... Usipoaminika kwa kdg huwezi kuaminika kwa kikubwa.

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
Katika kumuenzi Rais wetu kipenzi Marehemu Dr John Pombe Magufuli ni vyema kuweka mpango wa haraka wa kukamilisha miradi iliyoanzishwa katika awamu hii.
Iekeweke vyema kuwa mama Samia Suluhu Alikuwa ni Mgombea mwenza wa Magufuli hivyo ahadi yake kwa wananchi ipo pale pale.
utekelezaji wa Ilani ni lazima.

1-MRADI WA UMEME WA MWALIMU NYERERE
2-MRADI WA RELI YA SGR
3-MIRADI YA MADARASA NA VITUO VYA AFYA
4-UJENZI WA IKULU YA DODOMA
5-........ORODHA ITAENDELEA
 
SGR na IKULU Dodoma ni miradi mufilisi....haina umuhimu wowote.
SGR ni mhimu sana katika ukuaji wa uchumi, nchi zote zilizoendelea zinatumia train, na zinazoendelea ili zikuze uchumi lazima ziende kwenye usafiri wa train. Usafiri wa malori na mabasi kwa masafa marefu umebaki kwenye nchi masikini tu, ukipinga rail basi jua kuwa bado hujakua
 
Katika kumuenzi Rais wetu kipenzi Marehemu Dr John Pombe Magufuli ni vyema kuweka mpango wa haraka wa kukamilisha miradi iliyoanzishwa katika awamu hii.
Ieleweke vyema kuwa mama Samia Suluhu alikuwa ni Mgombea mwenza wa Magufuli hivyo ahadi yake kwa wananchi ipo pale pale.
utekelezaji wa Ilani ni lazima.

1-Mradi wa umeme wa mwalimu nyerere

2- Mradi wa reli ya SGR

3- Miradi ya madarasa na vituo vya afya

4. Ujenzi wa Ikulu ya Dodoma

5-........Orodha itaendelea
Ila ikiingizwa ufisadi haitakuwa na maana
 
Back
Top Bottom