Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo naiona dar yetu ikizidi ku shineSGR na IKULU Dodoma ni miradi mufilisi....haina umuhimu wowote.
Hapo naiona dar yetu ikizidi ku shine
Kamwe Dom hawana ubavu wa kuipiga dar chini.Pole sana kwa Dom.
Anaona aibuMbona hujautaja uwanja wa Chato?
Hilo daraja la muhimu sana boss , kama umeshawahi pita hiyo njia utaelewaDaraja la Busisi
Ningekuwa vyema na jambo la maana zaidi ili kumuenzi Magufuli vizuri tukamilishe Uwanja wa ndege wa chato na ule uwanja wa Mpira mkubwa kuliko yote Afrika.
Katika kumuenzi Rais wetu kipenzi Marehemu Dr John Pombe Magufuli ni vyema kuweka mpango wa haraka wa kukamilisha miradi iliyoanzishwa katika awamu hii.
Iekeweke vyema kuwa mama Samia Suluhu Alikuwa ni Mgombea mwenza wa Magufuli hivyo ahadi yake kwa wananchi ipo pale pale.
utekelezaji wa Ilani ni lazima.
1-MRADI WA UMEME WA MWALIMU NYERERE
2-MRADI WA RELI YA SGR
3-MIRADI YA MADARASA NA VITUO VYA AFYA
4-UJENZI WA IKULU YA DODOMA
5-........ORODHA ITAENDELEA
SGR ni mhimu sana katika ukuaji wa uchumi, nchi zote zilizoendelea zinatumia train, na zinazoendelea ili zikuze uchumi lazima ziende kwenye usafiri wa train. Usafiri wa malori na mabasi kwa masafa marefu umebaki kwenye nchi masikini tu, ukipinga rail basi jua kuwa bado hujakuaSGR na IKULU Dodoma ni miradi mufilisi....haina umuhimu wowote.
Ila ikiingizwa ufisadi haitakuwa na maanaKatika kumuenzi Rais wetu kipenzi Marehemu Dr John Pombe Magufuli ni vyema kuweka mpango wa haraka wa kukamilisha miradi iliyoanzishwa katika awamu hii.
Ieleweke vyema kuwa mama Samia Suluhu alikuwa ni Mgombea mwenza wa Magufuli hivyo ahadi yake kwa wananchi ipo pale pale.
utekelezaji wa Ilani ni lazima.
1-Mradi wa umeme wa mwalimu nyerere
2- Mradi wa reli ya SGR
3- Miradi ya madarasa na vituo vya afya
4. Ujenzi wa Ikulu ya Dodoma
5-........Orodha itaendelea