Spika Ndugai: Miradi yote aliyoacha Rais Magufuli iko salama

Spika Ndugai: Miradi yote aliyoacha Rais Magufuli iko salama

Anyamaze huyu Ndugai asianze kumuingilia mama Samia
Anajipendekeza wakati yeye ni mmoja aliyeshiriki kulifanya bunge kuwa rupper stamp.
Kwanza Ndugai ana kesi ya kuvunja katiba kwa kuruhusu wabunge feki.
Miradi iliopo inategemea priorities za serikali na mwelekeo wa Samia President wa Tanzania sio Magufuli
 
Ikiuzwa utafaidi Nini?

Swali la Kiwaki...Haujui hasara inayosababishwa na hayo madege? Kasome ripoti ya CAG tusichoshane, ukishapata mabilioni ya hasara kwenye ATCL convert katika huduma ya jamii ingefaidisha nini.
 
H
Muulizeni Ndugai vipi hata zile ndege alizonunua fedha zake zilipitishwa na bunge lini, aache unafiki sasa hivi hana mwega hawezi kurudi.
Hujaacha uchawi?
Kamuulize wewe mwenyewe kwani unamuogopa?
Kama hujui kitu kaa kimya au tafuta msaada.
 
Mwambieni anaitwa na lema
Screenshot_20210318-082931.jpg
 
Huyu baba kifo alijitengenezea mapema mwenyewe kwa mikono yake.

Sijui upinzani ulimkosea nini kwa kweli, akiwa waziri Wa ujenzi hakuwahi kupingwa na upinzani kuhusu kazi yake, walimwita jembe.

Ila alivyoukwaa urais akawa mwiba kwa demokrasia hataki upinzani kabisa, akasahau kuwa hata sera zilizompaisha juu ni za upinzani kwa kuzifanyia kazi.

Badala ya kuanza kuishi na watu vizuri akaanzisha timbwilitimbwili na wapinzani hataki uwepo kitu ambacho ni next impossible.
 
Aache kiherehere, aheshimu mamlaka husika. Ampe nafasi mama Samia (kutoka muhimili sahihi wa Serikali) apate kusema jambo!!

Miradi sio ya Bunge bali Serikali.
 
Back
Top Bottom