Spika Ndugai: Miradi yote aliyoacha Rais Magufuli iko salama

Spika Ndugai: Miradi yote aliyoacha Rais Magufuli iko salama

Hata hatujazika ameanza kukimbilia miradi..miradi tunajua itaendelezwa tu kwani kuna shida gani, wewe baba ako alikua anajenga nyumba akaachia kwenye lenta, Bahat mbaya akafariki , utaiacha nyumba usiimalizie ?
Akili mbovu ile
 
Hahahahah, kweli kwa sasa Nchi hii inahitaji Wanasaiklojia,maana daaaaah, matusi,masimangi na mabezo yamejaa kila kona si mitandaoni, si mitaani, vijiwe vya kahawa kila kona,
 
Na wengine wengi tu wamekufa.
Lakini aliyesababisha vifo hivyo ni mtu mmoja ambaye angeruhusu watu watahadhari na kuchukua hatua za kujikinga hao watu wangekuwa hai leo.
Hicho ndio kinanisikitisha.
Basi ndo hivyo ishatokea. Tugange yajayo.
 
Ndugai naawaita wabunge wakajazane Dodoma huko waambukizane Covid 19 halafu baadae wakifa aseme CHADEMA wabaya siyo wazalendo kwa nchi
 
Back
Top Bottom