meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,425
- 4,768
Dodoma kuwa makao makuu ni mpango wa siku nyingi...Magufuli kautekelezaMji wa kiserikali Dodoma umeshakamilika.. Ila kama nauona ukigeuka na kuwa magofu... Loh..
Inasikitisha. Zimetumika fedha nyingi mnoo.
Mafisadi wanatabasamu ila hawatawezaIla ikiingizwa ufisadi haitakuwa na maana
Ukiona JK anaingia hakuna jinsi ya kukwepa ufisadi na Samia hana ubavu wa kumkatalia! Kinachoweza kutuokoa ni kuwa na VP imara na mzalendo wa TanganyikaMafisadi wanatabasamu ila hawataweza
Tangu tarehe 17 mwezi march Tanzania imekumbwa na simanzi isiyo na kifani mara baada ya kutangazwa kwa kifo cha rais Magufuli.Hotel ya kitalii chato vip?
Wanyonge ni wanyonge tu hawajawahi kukuwa haki yaoTangu tarehe 17 mwezi march Tanzania imekumbwa na simanzi isiyo na kifani mara baada ya kutangazwa kwa kifo cha rais Magufuli.
Mamilioni ya watanzania wameangua kilio kila kona kwamba sasa mwokozi wao ameondoka, cha kushitusha ni kwamba wananchi wa hali ya chini kabisa ndiyo wanaoongoza kwa kilio kinyume na tulivyokuwa tumeaminishwa kwamba Magufuli alikuwa ananyonga wanyonge!
Kitendo cha hayati rais Magufuli kuagwa na mamilioni ya watanzania huku wakiangua vilio njia nzima na kutandika kanga zao chini ili mwili upite imeenda kinyume kabisa na wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu na genge lake.
Kwa jinsi msiba huu unavyoenda naamini utakuwa darasa tosha kwa wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu ,Godbless Lema, Chahali, Ngurumo, Mange Kimambi na wengine wengi, sasa wataelewa kumbe watanzania siyo vilaza.
Wataelewa kumbe watanzania wanajua yupi anapigania haki zao kwa vitendo na ni yupi ni mpiga makelele nyuma ya keyboard.
Kwa mapenzi haya yanayoonyeshwa na Watanzania kwenye msiba huu ni lofa tu atakayeendelea kuamini kwamba eti Tundu Lisu aliibiwa kura kwenye uchaguzi mkuu uliopita.
Wito wangu kwa wasaliti wa nchi hii wanaoshangilia msiba kwamba sasa Magufuli ameondoka watarudi Tanzania na kuanza tena kutumika kuiba rasilimali za nchi hii kama walivyokuwa wanafanya huko nyuma wajue tu kwamba wanapoteza muda.
Watanzania siyo vilaza ,wanajua fika Tundu Lisu aliwatisha kwamba watashitakiwa MIGA ikiwa watabadili sheria za madini.
Tundu Lisu aelewe kuwa hawezi kuwa rais wa Tanzania kwa kushinda Twitter akikejeli kila lililojema kuhusu nchi yetu,
Tundu Lisu kupitia msiba huu atakuwa ameelewa na kupata darasa kwamba ukitaka kupendwa na Watanzania tumikia watanzania na siyo kutumikia Acacia.
Akhsante baba!! umenikumbusha Mange ngoja nimfuate hukooo!!! kunako ukurasa wake huyu atasema kil kitu km ni covid au hiyo fabulesheni yenu......Tangu tarehe 17 mwezi march Tanzania imekumbwa na simanzi isiyo na kifani mara baada ya kutangazwa kwa kifo cha rais Magufuli.
Mamilioni ya watanzania wameangua kilio kila kona kwamba sasa mwokozi wao ameondoka, cha kushitusha ni kwamba wananchi wa hali ya chini kabisa ndiyo wanaoongoza kwa kilio kinyume na tulivyokuwa tumeaminishwa kwamba Magufuli alikuwa ananyonga wanyonge!
Kitendo cha hayati rais Magufuli kuagwa na mamilioni ya watanzania huku wakiangua vilio njia nzima na kutandika kanga zao chini ili mwili upite imeenda kinyume kabisa na wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu na genge lake.
Kwa jinsi msiba huu unavyoenda naamini utakuwa darasa tosha kwa wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu ,Godbless Lema, Chahali, Ngurumo, Mange Kimambi na wengine wengi, sasa wataelewa kumbe watanzania siyo vilaza.
Wataelewa kumbe watanzania wanajua yupi anapigania haki zao kwa vitendo na ni yupi ni mpiga makelele nyuma ya keyboard.
Kwa mapenzi haya yanayoonyeshwa na Watanzania kwenye msiba huu ni lofa tu atakayeendelea kuamini kwamba eti Tundu Lisu aliibiwa kura kwenye uchaguzi mkuu uliopita.
Wito wangu kwa wasaliti wa nchi hii wanaoshangilia msiba kwamba sasa Magufuli ameondoka watarudi Tanzania na kuanza tena kutumika kuiba rasilimali za nchi hii kama walivyokuwa wanafanya huko nyuma wajue tu kwamba wanapoteza muda.
Watanzania siyo vilaza ,wanajua fika Tundu Lisu aliwatisha kwamba watashitakiwa MIGA ikiwa watabadili sheria za madini.
Tundu Lisu aelewe kuwa hawezi kuwa rais wa Tanzania kwa kushinda Twitter akikejeli kila lililojema kuhusu nchi yetu,
Tundu Lisu kupitia msiba huu atakuwa ameelewa na kupata darasa kwamba ukitaka kupendwa na Watanzania tumikia watanzania na siyo kutumikia Acacia.
Hahahahha mtatapatapa sana. Itoshe tu hukusema nchi haiongozwi na nyapara tena. He is no more. Kutapanya pesa za umma kwa matamko ya majukwaani sasa basi. Hakuna kupora korosho tena. Ati unatafuta kangomba pumbavuLeo Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai wakati akitoa salamu za pole kufutia kifo cha Rais Magufuli, amewataka watanzania kuwa watulivu na kusema ilani ya CCM ya 2020 - 2025 na miradi yote ya maendeleo aliyoacha Rais Magufuli itatekelezwa kwani fedha zote za miradi hiyo zilikuwa zinapitishwa na Bunge.
Amewataka wabunge ambao kupitia kamati mbalimbali sasa hivi wako wanatembelea miradi hiyo kuwa watulivu.
=======
SPIKA NDUGAI: Ikumbukwe kwamba mheshimiwa Rais kwa nafasi yake ni sehemu ya pili ya Mhimili wa Bunge kwahiyo ni mdau wetu muhimu sana katika uendeshaji wa Bunge na shughuli za Bunge kwa ujumla wake kwahiyo tumepata pigo kubwa sana.
Natoa pole nyingi kwa mheshimiwa makamu wa Rais, mama Samia Suluhu, viongozi wa serikali, kipekee tunatoa pole nyingi sana kwa mama Janeth Magufuli, familia ya mheshimiwa Rais wetu lakini kikubwa zaidi kwa watanzania wote popote pale walipo.
Kama mnavyofahamu ndugu waandishi, waheshimiwa wabunge walikuwa katika ziara za kukagua miradi ya maendeleo kutokana na utekelezaji wa bajeti inayoendelea ambayo inaishia tarehe 30 June mwaka huu.
Imebidi tutoe wito na maelekezo kwamba, sasa wabunge wote waliokuwa katika waliokuwa katika ziara hizo za ukaguzi wa maendeleo warudi Dodoma haraka sana.
Kwahiyo wabunge wako njiani kutoka sehemu mbalimbali za nchi kurudi hapa Dodoma.
Kama tunavyojua, mheshimiwa Magugufuli ana mambo ambayo alijipambanua mapema, ni mengi sana lakini kwa kifupi alikuwa ndio Rais mjenga nchi hasa katika eneo la miundombinu. Miundombinu ya barabara, reli, bandari, shirika letu la ndege, ujenzi wa viwanja vya ndege, miradi mikubwa mikubwa ya maji, miundombinu ya elimu, eneo la afya. Sijui ni eneo gani utaweza kusema kwamba mheshimiwa Rais ameweka kumbukumbu ya aina yake.
Kwahiyo tunayo kazi kuwa sana sisi Watanzania ya kuhakikisha kwamba tunaendeleza nngwe ambayo amekwisha kuiweka ili kuhakikisha kwamba kazi zote alizokuwa akizisimamia ikiwemo ya utekelezaji wa ilani ya chama cha Mapinduzi ya mwaka 2020-25 na kwa mambo mbalimbali ambayo aliyaainisha kupitia hotuba ambazo alizitoa hapa bungeni yeye mwenyewe tunaendelea kuzisimamia kwa faida kubwa zaidi ya Mtanzania.
Dah! aisee kweli hata mimi nitaumia sana kama miradi itasimama. Jana nimeenda stendi mpya Mbezi, jamani jamani sio mchezo wazee ile stendi ni ya kibabe sana, kwa hapa Afrika ya Mashariki nadhani itakuwa inakimbiza.Leo Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai wakati akitoa salamu za pole kufutia kifo cha Rais Magufuli, amewataka watanzania kuwa watulivu na kusema ilani ya CCM ya 2020 - 2025 na miradi yote ya maendeleo aliyoacha Rais Magufuli itatekelezwa kwani fedha zote za miradi hiyo zilikuwa zinapitishwa na Bunge.
Amewataka wabunge ambao kupitia kamati mbalimbali sasa hivi wako wanatembelea miradi hiyo kuwa watulivu.
=======
SPIKA NDUGAI: Ikumbukwe kwamba mheshimiwa Rais kwa nafasi yake ni sehemu ya pili ya Mhimili wa Bunge kwahiyo ni mdau wetu muhimu sana katika uendeshaji wa Bunge na shughuli za Bunge kwa ujumla wake kwahiyo tumepata pigo kubwa sana.
Natoa pole nyingi kwa mheshimiwa makamu wa Rais, mama Samia Suluhu, viongozi wa serikali, kipekee tunatoa pole nyingi sana kwa mama Janeth Magufuli, familia ya mheshimiwa Rais wetu lakini kikubwa zaidi kwa watanzania wote popote pale walipo.
Kama mnavyofahamu ndugu waandishi, waheshimiwa wabunge walikuwa katika ziara za kukagua miradi ya maendeleo kutokana na utekelezaji wa bajeti inayoendelea ambayo inaishia tarehe 30 June mwaka huu.
Imebidi tutoe wito na maelekezo kwamba, sasa wabunge wote waliokuwa katika waliokuwa katika ziara hizo za ukaguzi wa maendeleo warudi Dodoma haraka sana.
Kwahiyo wabunge wako njiani kutoka sehemu mbalimbali za nchi kurudi hapa Dodoma.
Kama tunavyojua, mheshimiwa Magugufuli ana mambo ambayo alijipambanua mapema, ni mengi sana lakini kwa kifupi alikuwa ndio Rais mjenga nchi hasa katika eneo la miundombinu. Miundombinu ya barabara, reli, bandari, shirika letu la ndege, ujenzi wa viwanja vya ndege, miradi mikubwa mikubwa ya maji, miundombinu ya elimu, eneo la afya. Sijui ni eneo gani utaweza kusema kwamba mheshimiwa Rais ameweka kumbukumbu ya aina yake.
Kwahiyo tunayo kazi kuwa sana sisi Watanzania ya kuhakikisha kwamba tunaendeleza nngwe ambayo amekwisha kuiweka ili kuhakikisha kwamba kazi zote alizokuwa akizisimamia ikiwemo ya utekelezaji wa ilani ya chama cha Mapinduzi ya mwaka 2020-25 na kwa mambo mbalimbali ambayo aliyaainisha kupitia hotuba ambazo alizitoa hapa bungeni yeye mwenyewe tunaendelea kuzisimamia kwa faida kubwa zaidi ya Mtanzania.
Lakini nimefarijika sana Jana kwa hotuba ya makamu wa rais Dr MpangoDah! aisee kweli hata mimi nitaumia sana kama miradi itasimama. Jana nimeenda stendi mpya Mbezi, jamani jamani sio mchezo wazee ile stendi ni ya kibabe sana, kwa hapa Afrika ya Mashariki nadhani itakuwa inakimbiza.
Wakati tunapita wami pale nikaangalia zile nguzo upande wa kulia kule na ile barabara iliyochongwa kwaajili ya daraja jipya, dah bandugu tuacheni utani JPM ameondoka mapema sana, nilipata majonzi ghafla nikamkumbuka mzee wetu. Kile kidaraja cha wami napita pale mwaka wa 20 sasa kidaraja hichohicho, laiti lingekuwa limekamilika ndugu zangu wa njia hii wangefurahi mno
RIP JPM.
Kweli mkuu, hata mimi natumai mambo yatakuwa superLakini nimefarijika sana Jana kwa hotuba ya makamu wa rais Dr Mpango