sawa kabisa mdee nakumbuka alisema hivyo kwahiyoi wasifikiri wakina mdee hawana akili mbowe anahusiukaBaada ya kile kikao cha kujifanya wanawavua uanachama Mdee alitokea hadharani akasema wao siyo watoto kwahiyo kina Mbowe wajaribu kuwa wastaarabu...
Wacha ndoto za mchana weweKwa kuwa kila upande umeshupaza shingo na kuendelea kujihesabia haki, hili saga linaweza kwenda mpaka Oct 2025
Sema amesema iko kwa Msajili? Aifuate huko, kwani shida nini? Yeye si ndio anataka kujiridhisha?Hiyo katiba ndio spika anataka apelekewe
Sasa jiwe halipo na hao covid ndiyo muda wao kung'okaThe Legendary, Untouchable, Chosen one, Jiwe the Great ndio aliwachagua.
Ccm ni kichaka cha maovuNdugai kajificha chini ya kivuli cha NEC maana majina ya Wabunge yanatoka NEC. Hili swali hata Ndugai mwenyeww atalirefer kwa NEC
Kwenye hayo madai ya forgery nadhani hata NEC wanaweza kujitoa ufahamu na kuitaka CHADEMA ikaithibitishe hiyo forgery kortini
Atuthibitishie kwanza nani alipeleka majina ya hao wabunge NEC ikiwa chama kimakanusah halafu ndio tuone nani mvunjaji wa sheriaMpaka hapo inaonesha wazi spika anajua chadema walikosea wapi kisheria ndio maana kila siku anawataka wapeleke
Maybe kwenye hiko kikao akidi ilikuwa haijatimia au kuna mapungufu kutokana na Katiba yao
Siyo hakidi ni akidi. Hivi nyie shule mlienda kujifunzia ujinga?Hakidi haikutimia wakati watu maelfu kwa maelfu walikesha mlimani city kwenye kikao cha kamati kuu?
... nani aende mahakamani?kwanini hawaendi mahakamani sasa
2017 alipolekewa barua na profesa LIPUMBA ya kuwavua uanachama wabunge 8 wa vitimaalum wa cuf je unakumbuka alifanyaje?labda nikuulize mkuu, kama nini wewe spika angefanyeje kuhusiana na hilo.
wewe una chuki. maono mafupi na akili mbovuWao wanachosema ni kuwa waliwatimua uanachama sasa uandishi wa mihtasari ni mambo ya katiba ya chama yeye inamhusu nini
Salary slip, this is a very important question. Likijibiwa hili the case is closed!Kwani ni nani aliwateua kuwa wabunge?
Ni swala la muda tu itabidi sheria ifuate mkondo wake. Kifo cha Jiwe kimekuja kama fundisho kwa wale wote wanaoshindwa kutofautisha mamlaka ya kidunia na ya kiMungu.Sasa jiwe halipo na hao covid ndiyo muda wao kung'oka
HakikaNi swala la muda tu itabidi sheria ifuate mkondo wake. Kifo cha Jiwe kimekuja kama fundisho kwa wale wote wanaoshindwa kutofautisha mamlaka ya kidunia na ya kiMungu.
Kawa kona- bonge la kabariMpaka hapo inaonesha wazi spika anajua chadema walikosea wapi kisheria ndio maana kila siku anawataka wapeleke
Maybe kwenye hiko kikao akidi ilikuwa haijatimia au kuna mapungufu kutokana na Katiba yao