Spika Ndugai: Nampa onyo kali Jenerali Ulimwengu kuchunga ulimi wake, haipendezi mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyo ovyo

Ndugai kwisha habari yake. Atakuja kufuatilia Bunge kwenye Luninga.

Asifikirie nguvu aliyokuwa nayo wakati wa awamu ya 5, iliyomuwezesha kuwashughulikia Pascal Mayala na Prof. Assad ataweza kui apply Kwa Jenerali Ulimwengu.

Ili kuweza kuijengea nguvu Mihimili hii miwili(Bunge na Mahakama) iweze kujisimamia yenyewe na kutekeleza shughuli zao kwa mujibu wa sheria, ni lazima apunguziwe nguvu za Kimamlaka ule Mhimili uliojichimbia chini zaidi.

Yote haya yatawezekana tukipata "KATIBA MPYA"
 
Na tuwe na mada endelevu, tatizo letu(Watanzania) tunapenda kurukia mada sana, hapo ndipo wakwepesha mijadala wanatuweza.
 
Hivi viongozi wetu kwanini hawapendi kukosolewa?! Wa Afrika tunakosea wapi? Mtawala wa kiAfrika ukitaka kukosana nae tu mkosoe walai utajuta kuzaliwa maana utabambikiwa kesi, utalaaniwa kwenye majukwaa yote na kubambikiwa kila aina ya majina yasiyo faa. Mimi nilifikiri kukosolewa iwe chachu ya kujitathmini ya kile akifanyacho.
Hivi na yeye Spika hajakosea kutoa vitisho kwa mtu aliye toa maoni yake juu ya uongozi wa Nchi unavyo kwenda? na katiba yetu inasemaje juu ya mtu kuwa ana uhuru wa kutoa maoni ktk Nchi hii?
 
Hii ni observation muhimu. Kitendo cha Ndugai kuhamaki maneno ya Jenerali mitandoni, basi ni ushahidi tosha kuwa wanashinda mitandaoni, wanasoma.
Kwahiyo tuandike sana, kumbe wanasoma, wanapata ujumbe kutoka kwa wananchi.
TUANDIKE SANA
Mbona tunao humu kama wote!?[emoji23] na kila mmoja ana chawa wake wa kutosha kabisa
 
Tangu uhuru huyu ndiye kilaza wa kwanza kuongoza muhimili wa bunge hakika bunge linaongozwa na ZuZu master! Kimsingi bado aamini kama jiwe kafa hata kauli zake ni za kimagufuligufuli mwambieni hii nchi ni yetu sio ya mama yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…