Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
What is freedom of speech?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aonewe huruma kwani huyo ni mjomba wako? --yeye anavyotishia watu huoni?Haya maswali ni magumu sana kwake jamani muoneeni huruma.
KIWINGUHiyo pombe ya madaraka ipoje??-- ni kama pombe ya pingu au gongo??[emoji1787]
Mbona tunao humu kama wote!?[emoji23] na kila mmoja ana chawa wake wa kutosha kabisaHii ni observation muhimu. Kitendo cha Ndugai kuhamaki maneno ya Jenerali mitandoni, basi ni ushahidi tosha kuwa wanashinda mitandaoni, wanasoma.
Kwahiyo tuandike sana, kumbe wanasoma, wanapata ujumbe kutoka kwa wananchi.
TUANDIKE SANA
Lkn mwenyewe anajiona ana akili sanaShida kubwa ni upumbavu anaoumiliki