Spika Ndugai: Nampa onyo kali Jenerali Ulimwengu kuchunga ulimi wake, haipendezi mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyo ovyo

Spika Ndugai: Nampa onyo kali Jenerali Ulimwengu kuchunga ulimi wake, haipendezi mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyo ovyo

Kitendo cha Ndugai kuambiwa yeye kama spika hapaswi kujipendekeza kwa serikali kimemuuma ile mbaya. Analitaja bunge ili kuficha ukweli kuwa suala la kujipendekeza ni yeye aliambiwa, hivyo analitaja bunge kwa ujumla wake ili ionekane ni dharau kwa bunge zima. Lakini ukweli ni kuwa spika anajipendekeza kwa serikali, na bunge lake ni dhaifu kweli.
 
Ametoa onyo hilo leo Mjini Dodoma na amemtaka Ulimwengu kuacha mara moja kutoa lugha za dharau dhidi ya Mhimili wa bunge .

Bali hakusema ni hatua gani atachukua ikiwa Jenerali Ulimwengu atakaidi onyo hilo , ila anasema watapambana naye ndani na nje .
Safi bwana supika. Lazima kupambana na huyu mjivuni wa kitutsi. Hao ni watu wanaojiona wao tu ndio wanajua wengine hawajui kitu na mazereu ndio usiseme. Tangu ajue wenzake hawawezi kwa hila zao kumsimika kama rais tz kazi yake ni kupinga kila kitu..aheri hata chadema. Tena anavyozeeka na pombe kali ndio hasira zimemzidi. Macho hadi utafikiri mchina 😂😂
 
Atakebasitake[emoji102][emoji102]tuta muongezea.. Kwani ni uongo alisema? Hivi Ulimwengu kamtaja mtu??

Screenshot_20211110-160551.png
 
Kitendo cha Ndugai kuambiwa yeye kama spika hapaswi kujipendekeza kwa serikali kimemuuma ile mbaya. Analitaja bunge ili kuficha ukweli kuwa suala la kujipendekeza ni yeye aliambiwa, hivyo analitaja bunge kwa ujumla wake ili ionekane ni dharau kwa bunge zima. Lakini ukweli ni kuwa spika anajipendekeza kwa bunge, na bunge lake ni dhaifu kweli.
Huwezi kumtenganisha Spika na bunge!
 
Generali ulimwengu ana uhuru wa katia mawazo yake ndugai ujuwe utawala wa kidicteta wa mwendazake umeshapita wala hautarudi tena kama unauwezo jibu hoja za generali.
 
Ametoa onyo hilo leo Mjini Dodoma na amemtaka Ulimwengu kuacha mara moja kutoa lugha za dharau dhidi ya Mhimili wa bunge .

Bali hakusema ni hatua gani atachukua ikiwa Jenerali Ulimwengu atakaidi onyo hilo , ila anasema watapambana naye ndani na nje .
Safii wacha tuone mafahali wawili!
 
Back
Top Bottom