Spika Ndugai: Nampa onyo kali Jenerali Ulimwengu kuchunga ulimi wake, haipendezi mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyo ovyo

Spika Ndugai: Nampa onyo kali Jenerali Ulimwengu kuchunga ulimi wake, haipendezi mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyo ovyo

Ametoa onyo hilo leo Mjini Dodoma na amemtaka Ulimwengu kuacha mara moja kutoa lugha za dharau dhidi ya Mhimili wa bunge .

Bali hakusema ni hatua gani atachukua ikiwa Jenerali Ulimwengu atakaidi onyo hilo , ila anasema watapambana naye ndani na nje .
Yeye mwenyewe ni mlemavu wa akili
 
Ametoa onyo hilo leo Mjini Dodoma na amemtaka Ulimwengu kuacha mara moja kutoa lugha za dharau dhidi ya Mhimili wa bunge .

Bali hakusema ni hatua gani atachukua ikiwa Jenerali Ulimwengu atakaidi onyo hilo , ila anasema watapambana naye ndani na nje .
Comrade 'ZUZU' katika ubora wake
 
Ametoa onyo hilo leo Mjini Dodoma na amemtaka Ulimwengu kuacha mara moja kutoa lugha za dharau dhidi ya Mhimili wa bunge .

Bali hakusema ni hatua gani atachukua ikiwa Jenerali Ulimwengu atakaidi onyo hilo , ila anasema watapambana naye ndani na nje .

630622E8-5980-4C21-8033-1643755EB004.jpeg
 
Spika wa Bunge, Job Ndugai amempa onyo kali Mwanazuoni Jenerali Ulimwengu kutokana na alichokiita tabia yake ya kukashifu Watu mitandaoni.

Akizungumza katikati ya mjadala wa marekebisho ya Sheria mbalimbali uliowasilishwa Bungeni, Spika Ndugai amesema Ulimwengu ambaye ni Mwandishi wa Habari Nguli amekuwa akilikashfu Bunge na Spika apendavyo.

"Jenerali amekuwa akilivunjia heshima Bunge na Spika pia, napenda kumpa onyo kali kuchunga ulimi wake, haipendezi Mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyoovyo, akiendelea na sisi tutaacha ukimya itabidi Watu washughulike nae ndani na nje yaani Mahakamani, habari imfikie uvumilivu wetu umefika mwisho, sisi sio kama anavyodhani" ——— Spika Ndugai
Subwoofer ktk tambo zake
 
Kwani Jenerali ni nani mpaka kudhihaki bunge na spika? Kwanza Jenerali siyo mtanzania
Ni mtanzania na mzalendo kuliko wewe, la msingi ni kupangua hoja zake kwa hoja kama WAWEZA. Vitisho vya mungu mtu Ndugai ni vichekesho hata kwa watoto wa darasa la awali.
 
Kwani sasa hivi kuna Bunge linalo endelea? Na linazungumzia nn mbona Sisi wananchi hatujui kama kuna bunge
 
Safi bwana supika. Lazima kupambana na huyu mjivuni wa kitutsi. Hao ni watu wanaojiona wao tu ndio wanajua wengine hawajui kitu na mazereu ndio usiseme. Tangu ajue wenzake hawawezi kwa hila zao kumsimika kama rais tz kazi yake ni kupinga kila kitu..aheri hata chadema. Tena anavyozeeka na pombe kali ndio hasira zimemzidi. Macho hadi utafikiri mchina 😂😂
Hoja please?
 
Ametoa onyo hilo leo Mjini Dodoma na amemtaka Ulimwengu kuacha mara moja kutoa lugha za dharau dhidi ya Mhimili wa bunge .

Bali hakusema ni hatua gani atachukua ikiwa Jenerali Ulimwengu atakaidi onyo hilo , ila anasema watapambana naye ndani na nje .
Eti bunge, my foot. Akitumwa bunge ataleta hicho kikundi Cha wezi??
 
Back
Top Bottom