Leo trh 11. 11. 2021 Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai amempa onyo kali kwa Mzee Jenerali Ulimwengu kutokana na tabia yake ya kutoa lugha za kejeli na dharau kwa viongozi mbalimbali na haswa Bunge.
kwa maoni yangu naona,
ni muhimu mzee Jenerali akajitathimini juu ya kauli zake anazo zitoa.
mzee ulimwengu ni mtu maarufu na ana heshimika ktk jamii, hivyo ni bora akaendelea kulinda heshima yake kwa kuwa makini na kauli zake anazo zitoa ambazo hazifai kuwatamkia binaadmu wenzake.
waswahili wanasema, "Heshima ni kitu cha bure"