johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaaa.........!Ni Siri ya Ndugai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa.........!Ni Siri ya Ndugai
Safi bwana supika. Lazima kupambana na huyu mjivuni wa kitutsi. Hao ni watu wanaojiona wao tu ndio wanajua wengine hawajui kitu na mazereu ndio usiseme. Tangu ajue wenzake hawawezi kwa hila zao kumsimika kama rais tz kazi yake ni kupinga kila kitu..aheri hata chadema. Tena anavyozeeka na pombe kali ndio hasira zimemzidi. Macho hadi utafikiri mchina 😂😂Ametoa onyo hilo leo Mjini Dodoma na amemtaka Ulimwengu kuacha mara moja kutoa lugha za dharau dhidi ya Mhimili wa bunge .
Bali hakusema ni hatua gani atachukua ikiwa Jenerali Ulimwengu atakaidi onyo hilo , ila anasema watapambana naye ndani na nje .
Atakebasitake[emoji102][emoji102]tuta muongezea.. Kwani ni uongo alisema? Hivi Ulimwengu kamtaja mtu??
Wewe peke yako ndio mtanzania unaekubali kuramba miguu ya ndugaiKwani Jenerali ni nani mpaka kudhihaki bunge na spika? Kwanza Jenerali siyo mtanzania
Huwezi kumtenganisha Spika na bunge!Kitendo cha Ndugai kuambiwa yeye kama spika hapaswi kujipendekeza kwa serikali kimemuuma ile mbaya. Analitaja bunge ili kuficha ukweli kuwa suala la kujipendekeza ni yeye aliambiwa, hivyo analitaja bunge kwa ujumla wake ili ionekane ni dharau kwa bunge zima. Lakini ukweli ni kuwa spika anajipendekeza kwa bunge, na bunge lake ni dhaifu kweli.
Andunje aache mikwala ya kishambaAmetoa onyo hilo leo Mjini Dodoma na amemtaka Ulimwengu kuacha mara moja kutoa lugha za dharau dhidi ya Mhimili wa bunge .
Bali hakusema ni hatua gani atachukua ikiwa Jenerali Ulimwengu atakaidi onyo hilo , ila anasema watapambana naye ndani na nje .
Na sijui Israili anakwama wapi kwani kwa huyu amesharahisishiwa kazi yeye ni kufanya finishing tu.Ubongo wa Ndugai umeharibiwa mno na virusi vya UKIMWI na Kisukari,ni vyema aende Kawe kwenye kwenye madhabahu ya Arise & Shine atapona
Wenzetu mna akaunti nyingi ngoja niende polepoleUbongo wa Ndugai umeharibiwa mno na virusi vya UKIMWI na Kisukari,ni vyema aende Kawe kwenye kwenye madhabahu ya Arise & Shine atapona
Huwezi kumtenganisha Spika na bunge!
[emoji23][emoji23]Na sijua Israili anakwama wapi kwani kwa huyu amesharahisishiwa kazi yeye ni kufanya finishing tu.
Safii wacha tuone mafahali wawili!Ametoa onyo hilo leo Mjini Dodoma na amemtaka Ulimwengu kuacha mara moja kutoa lugha za dharau dhidi ya Mhimili wa bunge .
Bali hakusema ni hatua gani atachukua ikiwa Jenerali Ulimwengu atakaidi onyo hilo , ila anasema watapambana naye ndani na nje .