Yeye mwenyewe ni mlemavu wa akiliAmetoa onyo hilo leo Mjini Dodoma na amemtaka Ulimwengu kuacha mara moja kutoa lugha za dharau dhidi ya Mhimili wa bunge .
Bali hakusema ni hatua gani atachukua ikiwa Jenerali Ulimwengu atakaidi onyo hilo , ila anasema watapambana naye ndani na nje .
Comrade 'ZUZU' katika ubora wakeAmetoa onyo hilo leo Mjini Dodoma na amemtaka Ulimwengu kuacha mara moja kutoa lugha za dharau dhidi ya Mhimili wa bunge .
Bali hakusema ni hatua gani atachukua ikiwa Jenerali Ulimwengu atakaidi onyo hilo , ila anasema watapambana naye ndani na nje .
Bunge linalopokea wabunge wasiyo na chamaSiyo Jenerali tu Watanzania wote wenye akili Timamu wanatambua wazi kuwa hilo siyo Bunge bali ni genge la majizi na Majambaz ya CCM
Ametoa onyo hilo leo Mjini Dodoma na amemtaka Ulimwengu kuacha mara moja kutoa lugha za dharau dhidi ya Mhimili wa bunge .
Bali hakusema ni hatua gani atachukua ikiwa Jenerali Ulimwengu atakaidi onyo hilo , ila anasema watapambana naye ndani na nje .
Subwoofer ktk tambo zakeSpika wa Bunge, Job Ndugai amempa onyo kali Mwanazuoni Jenerali Ulimwengu kutokana na alichokiita tabia yake ya kukashifu Watu mitandaoni.
Akizungumza katikati ya mjadala wa marekebisho ya Sheria mbalimbali uliowasilishwa Bungeni, Spika Ndugai amesema Ulimwengu ambaye ni Mwandishi wa Habari Nguli amekuwa akilikashfu Bunge na Spika apendavyo.
"Jenerali amekuwa akilivunjia heshima Bunge na Spika pia, napenda kumpa onyo kali kuchunga ulimi wake, haipendezi Mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyoovyo, akiendelea na sisi tutaacha ukimya itabidi Watu washughulike nae ndani na nje yaani Mahakamani, habari imfikie uvumilivu wetu umefika mwisho, sisi sio kama anavyodhani" ——— Spika Ndugai
Alisema na kila mtu alisikia pale mjengoni na mwenzake KesyAtakebasitake[emoji102][emoji102]tuta muongezea.. Kwani ni uongo alisema? Hivi Ulimwengu kamtaja mtu??
Kayataka mwenyeweOhoooo
Spika anaweza kuacha kazi zake zoote aanze kukukimbiza😆mie mwenyewe nawadharau kinoma hako kakikundi hapo dom!
Ni mtanzania na mzalendo kuliko wewe, la msingi ni kupangua hoja zake kwa hoja kama WAWEZA. Vitisho vya mungu mtu Ndugai ni vichekesho hata kwa watoto wa darasa la awali.Kwani Jenerali ni nani mpaka kudhihaki bunge na spika? Kwanza Jenerali siyo mtanzania
Mwenye Matokeo ya kidato cha sita ya Ndungai tafadhaliNdugai huwa hajielewi
We ndo mtzKwani Jenerali ni nani mpaka kudhihaki bunge na spika? Kwanza Jenerali siyo mtanzania
Hoja please?Safi bwana supika. Lazima kupambana na huyu mjivuni wa kitutsi. Hao ni watu wanaojiona wao tu ndio wanajua wengine hawajui kitu na mazereu ndio usiseme. Tangu ajue wenzake hawawezi kwa hila zao kumsimika kama rais tz kazi yake ni kupinga kila kitu..aheri hata chadema. Tena anavyozeeka na pombe kali ndio hasira zimemzidi. Macho hadi utafikiri mchina 😂😂
Eti bunge, my foot. Akitumwa bunge ataleta hicho kikundi Cha wezi??Ametoa onyo hilo leo Mjini Dodoma na amemtaka Ulimwengu kuacha mara moja kutoa lugha za dharau dhidi ya Mhimili wa bunge .
Bali hakusema ni hatua gani atachukua ikiwa Jenerali Ulimwengu atakaidi onyo hilo , ila anasema watapambana naye ndani na nje .